Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,516
- 1,865
Karibu Sisi tunaamini nchi imevamiwa na mamruki, hata wanaoongoza hawajiamini make vitisho vimezidi. wangekuwa wameongoza vyema wasingekuwa na vitisho, kwani Kazi yao ndo ingekuwa kick. Kwasababu ya hofu ndo maana wanazuia mikiutano ya wapinzani na kutunga sheria zinazokinzana na haki za binadamu.
Liwe jua au mvua iko siku hawa maharamia watapelekwa mahakama za kiuharifu.
Liwe jua au mvua iko siku hawa maharamia watapelekwa mahakama za kiuharifu.