Uchaguzi 2020 Tundu Lissu yupo tayari kwa urais wa Tanzania, hatanii

Lissu ndiye rais wako ajaye hutaki hama nchi urudi kwenu Burundi
hata wewe jomba acha kujifichaficha kwa wengine, auutaki uraisi wewe? ona uvyojichekea kimoyomoyo, eti na wewe uwe raisi .....duh, lisu nae awe raisi.duh
 
Labda apewe uraisi wa Yanga:rolleyes: chama ambacho kimeshindwa kujenga hata ofisi ya chama leo wanataka tuwape nchi waijenge!!!?
 
Labda apewe uraisi wa Yanga:rolleyes: chama ambacho kimeshindwa kujenga hata ofisi ya chama leo wanataka tuwape nchi waijenge!!!?
Eti tuwape nchi bhange nyingine za kuvutia chooni kwa shemeji ni shida sana.

Wewe ndiyo mmiliki wa hii nchi?
 
Back
Top Bottom