Tundu Lissu, wewe unakula posho Ulaya unataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya

TULIPIGANIA uhuru ili tuweze kujitawala na kufanya maamuzi yetu binafsi kama taifa bila kuingiliwa.
Kama ni matatizo ya kisiasa tunapaswa kuyamaliza sisi wenyewe sio mambo ya kaka nipigie.
Marekani hakuna udhalimu, dhulma, uvunjifu wa Haki? Nani anawawekea vikwazo vya kiuchumi?
Shida hayo yanayoonekana ni matatizo ya ndani ya kisiasa wakati wengine wanatumia misingi ya hoja kufikish concerns zao WENGINE WANATUMIA MITUTU YA BUNDUKI ZA KIVITA halafu mwenye hoja anapotambua anaweza kuzitoa hata akiwa umbali mrefu, yule mwingine anamshinikiza aje karibu ili waendelee na mchakato ulipoishia ..
Pathetic
 
Unatamani kunena kitu kilichomo moyoni mwako ila unasita. Donor country inaogopa vikwazo? Tazama North Korea, Iran nk. Wamewekewa vikwazo lakini wanafanya maajabu.

Unakubali kuwa kuna uvunjifu wa Haki hapa kwetu? Wewe ukifanyiwa vitendo vya uvunjifu wa Haki unawezaje kujenga uchumi?
 
Shida hayo yanayoonekana ni matatizo ya ndani ya kisiasa wakati wengine wanatumia misingi ya hoja kufikish concerns zao WENGINE WANATUMIA MITUTU YA BUNDUKI ZA KIVITA halafu mwenye hoja anapotambua anaweza kuzitoa hata akiwa umbali mrefu, yule mwingine anamshinikiza aje karibu ili waendelee na mchakato ulipoishia ..
Pathetic
Nitajie nchi amabayo umefanikiwa kwa hii njia ya Tundu Lissu.
 
Mpumbavu ni nani?

Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazngu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba jumuiya ya kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.

Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.

Na hiv vikwazo havitomfanya Mama Mkwe na waandamiz wake wakose mshahara wala ccm na cdm wakose ruzuku HV vikwazo vitatufanya sis wa chini tuendelee kuongezewa tozo mbalimbali ili kudhamin mirad na mambo mengine ya kijamii na hapo ndipo huyu Tundu ninapomchukulia km wanasiasa wengine maslah yake ndio kipaumbele sisi anatuchukulia km nyenzo ya kufanikisha malengo yake
 
We
Mpumbavu ni nani?

Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.

Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.

We muache tu tunamsubiri tu 2025 aje mimacho imemtoka anataka urais,atajua kilichokunja mkia wa mbwa.
Yaani anafikiri vyikwazo watamuumiza Samia,kumbe ni Bibi yake wa Ikungi ndiye atayeumia.
 
Mkuu,
Weww ndiyo mpumpavu,

Miezi minne iliyopita mlikuwa mnaahangilia na kusema Tanzania ni Donorconty /sisi ni matajiri tutembee kifua mbele hatuhitaji misaada kutoka kwa MABEBERU,

Leo umesha sahau,Sasa hapo mpumbavu ni Nani ka siyo wewe?
Mbona hasira!!!!

Kwani lissu hataki tupewe pesa sababu ya demokrasia au sababu tulisema tuna hela???
 
Mpumbavu ni nani?

Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.

Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.

HUYU NAYE ANAHANGAIKA NA NINI SIJUI HUKO ALIKO SI ATULIE TU KELELE ZA NINIWATU SASA HIVI TUNAKULA MAISHA SAFIIIIIII NA MAMA YETU
 
We

We muache tu tunamsubiri tu 2025 aje mimacho imemtoka anataka urais,atajua kilichokunja mkia wa mbwa.
Yaani anafikiri vyikwazo watamuumiza Samia,kumbe ni Bibi yake wa Ikungi ndiye atayeumia.
ANAFIKIRI IKUNGI IKO NJE YA TANZANIA HUYU CHIZI
 
Mpumbavu ni nani?

Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.

Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.

anadeka kwa wazungu utafikiri dem, siku ile alideka kweli kwa balozo wa ujerumani tena mwanamke, anasindikizwa na kushikwa mgongoni kama dem. anakunywa bia huko lakini anataka wenzeka aliowaacha hapa wapewe vikwazo.
 
HAJUI NA IKUNGI NI TZ NA KULE KUNA BIBI ZAKE SHANGAZIZAKE WATAKULA UDONGO WE MWACHE TU MAMA KAZAAAAAAAAAAAA
 
Chadema pamoja na viongoz Wao wabinafsi Sana Yan kwa sababu ya Mbowe basi wote tupate kuteseka
 
Kwa sababu ya uroho Wao wa madaraka basi lazima tuteseke kwa ajili ya matumbo yao na ubinafsi Wao
 
HAJUI NA IKUNGI NI TZ NA KULE KUNA BIBI ZAKE SHANGAZIZAKE WATAKULA UDONGO WE MWACHE TU MAMA KAZAAAAAAAAAAAA
na ikungi kuna maisha magumuuu, ndo wanakula mtama na uwele, masikini balaa. yeye anabwia bia tu na kutaka wananchi wake wawekewe vikwazo kisa amekosa cheo.
 
Ndugu yangu ritz,kwani umesahau kuwa sisi ni matajiri,na kuwa tunatakiwa tutembee kifua mberee, na kuwa pia ni donor country, sasa nini Tena tunalialia kutembeza bakuli na kuwalaumu wengine?
Yeye anakula mishkaki alafu anamwambia mbowe asiombe dhamana,
Kazi mnayo
 
Mpumbavu ni nani?

Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada.

Lissu angekuwa wa maana angekuja Kuishi Tanzania kisha toa haya matamko yako upo Ulaya na familia yako unataka Watanzamia tupate vikwazo.

Inabidi apige kelele wajuwe yupo, hao homosexuality wenzake wamupe rupia
 
Back
Top Bottom