Tundu Lissu: Watanzania wanaoogopa mapigano bungeni ni washamba

appriciator

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
276
46
“Watanzania kunaogopa wabunge kupigana kwenye vikao vya bunge ni ushamba” hayo alisema Mwanasheria mkuu wa Chadema wakati alipohojiwa na mtangazaji wa Star TV wakati alipowasili mjini Dodoma jana tayari kwa kikao cha bunge.
 
Achukue familia yake akaipiganishe,
Kichwa nadhani hakijamkaa sawa huyo,

Nji haitawaliki....?
Ashindanishe hoja si viroja, huyu jamaa sifa za ujinga zinemvuka sasa.
 
Prof. Muhongo: Watanzania ni Wavivu wa Kusoma na ni Washamba wa Kuwekeza, Pesa zao ni za Kuuza Ubuyu tu... nani zaidi hapa, Kauli inaifuata Kauli tuache Poroja za Kipuuzi... Mkuki Kwa Nguruwe, Kumbe nawe Unaumia! Duh!
 
Back
Top Bottom