appriciator
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 276
- 46
Watanzania kunaogopa wabunge kupigana kwenye vikao vya bunge ni ushamba hayo alisema Mwanasheria mkuu wa Chadema wakati alipohojiwa na mtangazaji wa Star TV wakati alipowasili mjini Dodoma jana tayari kwa kikao cha bunge.