Omulangi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 1,036
- 265
"Maana halisi ya mtu aliyefaulu ni yule aliyepata daraja la kwanza mpaka la tatu, chini ya hapo amefeli. Kwa maana hii basi waliofaulu katika mtihani
wa kidato cha nne mwaka 2011 ni asilimia 9.98 pekee.
Wanafunzi 10 kati ya 100! Hao ndio waliofaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza mpaka la tatu. Vijana wetu hawajifunzi tena. Hawa asilimia 90 wanaelekea wapi?"
Nawasilisha
Ukweli ni kuwa kati ya hao9.98% nusu wameibia mitihani. Hivyo uktafuta hasa waliofaulu kwa maana ya neno ni 3-4%.