Tundu Lissu: Viongozi wa Bunge la Marekani kuanzisha "hearing" on human rights situation in Tanzania

kote huko ili kuruhusu ushoga tu.lisu anatumiwa na shetani moja kwa moja
Shetani ni yule aliyetoa amri Lissu auawe kwa risasi kisha Shetani akashindwa kwa Damu ya Yesu, Ufunuo wa Yohana 12:11.
Nyie ni wajinga hasa, mnajibu Hoja kwa risasi, mmekosa point mmekalia kuropaka ushoga, sasa mtakiona cha Moto, CIA ipo kazini kuwanyoosha.
Mmejichanganya kujipendekeza kwa Israel wakati mnayaunga mkono magaidi ya kipalestina Mossad nao wamepata upenyo.
Mtakuja kushtuka mnapigwa kila sehemu, muulizeni Laurent Gagbo alidhani kukaa ikulu ndo kaimaliza Dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kote huko ili kuruhusu ushoga tu.lisu anatumiwa na shetani moja kwa moja

Hahahaha
Alafu ni uwongo mtupu
Ya Kashogi yamewashinda wamarekani, Government imekuwa shutdown, kweli huo muda wa kuhangaika na Tanzania uko wapi
Msaliti kachanganyikiwa hana pa kukombilia, wamebaki kutunga maneno ya uwongo na kuualeta jf
Pathetic failures forever
PIGA CHINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????

NI UWONGO TU NA UZUSHI
WADHUNGU HAWANA HUO MUDA WALAHI
PIGA CHINI FANATIC FOOLS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very obsolete mind indeed.The Americans have never been friendly to any country.Do you really believe they have good intentions for Tanzania?No way.These killers,thiefs,hooligans and grand conspirators of the type of Trump,Pompeo,Mike Pence and John Bolton will only cause mayhem and havoc as they have done in the DRC Congo and many other countries and live our country in ruins.Don't be cheated,Lissu eventually will just be used like many other stupid african leaders!
Soma article ifuatayo ikufungue macho.

Illuminati agenda for Africa,Obama the face of deception? - JamiiForums
Let American cause Mayhem,Tanzanians are sleepy ignorant fool let them suffer a little so they can wake up and stand up for their right
 
Vijana sijui kama mnamkumbuka KAMBONA ama mnaijua historia yake.

Alichukuliwa na hao leo wanaomfadhili Lissu na baada ya hapo alififia kama ENO kwenye maji.

Hawa kina Salary Slip ni vipaza sauti, bila umeme ama betri hawafanyi kazi. Tukiingia mtandao wa congress tutapata ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila zama na kitabu chake mkuu, kaa ukilitambua hilo.kushindwa kwa kambona hakumfanyi Lissu naye asipambane eti kisa kambona kafeli, Lissu never give up,

Safi kaka nilivyosoma neocolonialism na nikiangalia mambo yanayoendelea Libya na nchi za kiarabu sababu ya wazungu uwa natamani uyu lissu....
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????
 
Angalau Wasaudia wana Kashogi peke yake, Sisi tuna Ben Saanane, Kamanda Mawazo, Kanguye, Azori Gwanda, Mamia Rufiji, Lissu kaponea chupuchupu!. Kwa hiyo kijana haya mambo lazima yakomeshwe, unadhani yatakomeshwaje kama si kwa nguvu kubwa kuliko ya Jiwe kuingilia kati?

Ya Saudia Arabia yanawahusu wasaudia, sisi mmarekani akitusaidia kumnyoosha jiwe sisi yatutosha hayo!

Aliyehatari kwa mustakbali wa nchi hii ni hao walioua watu Kibiti, Kuteka watu na kuua watu!. Lissu anachokifanya ni kuiambia dunia juu ya uovu huu!

Au mkuu ulikuwa na ushauri gani ili wasiojulikana waache kuua watu na kuteka watu. Kuwapigia magoti au?
Ni tufani tu hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila zama na kitabu chake mkuu, kaa ukilitambua hilo.kushindwa kwa kambona hakumfanyi Lissu naye asipambane eti kisa kambona kafeli, Lissu never give up,

Sent using Jamii Forums mobile app
As far he is the tool of the corporations, he will fail and fail badly. They need for a short period only, once they have achieved their goals and Magufuli will bring them on his table to discuss their needs, Lissu will be immaterial to them and will be discarded as a tissue paper.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????
wasingempiga risasi kweupe au wangemuua kabisa haya yote yangetokea? uovu mmeuleta wenyewe unapowageuka mnataka huruma, mlijua mnaweza kuutwaa uhai wake bila idhini ya JEHOVAH?
 
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????
Nilikua nafikiriaga mzaha kwamba lissu ni mirembe material sasa ndio naamini. Hao wazungu kwanza wazungumze kuhusu kifo cha khashoghi yule mwandishi wa saudi arabia hiyo ndio kazi kama hawana kazi ya kufanya. Tz wala haiko kwenye kundi hilo ila huyu lissu mwenye kutafuta bwana ulaya ndio fitna zake.
 
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????
Wasiwasi wako nn?? Kama anaongea uongo problem yako nn?? Uminywaji wa democracy ahuuoni?? Watu kupigwa risasi ni siri tena, watu kupotea hasa kibiti to you is ok??, miili ya wenzetu kuokotwa tangu baharini, MTO ruvu to you is ok??
Hacha unafiki wako mkuu, vyeo bado vipo omba Mungu utapewa, better keep quiet utaeleweka kuliko kuongea as if you are not in Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afande asipomkamata Jambazi aliyeiba kwa jirani siyo Sababu na ya wewe kutokwenda kumshitaki Jambazi aliyevamia kwako!

Kama Marekani imeuchuna kwa Kashogi lakini Ikatusaidia kumnyoosha Jiwe kwetu ni Shukran tu kwa Mnyamwezi USA
 
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????
Uranium ya Dodoma
 
Back
Top Bottom