Gmox
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 318
- 475
More exactly..!!Ipo siku hawa wauaji watakuja kuumbuka. Ni vigumu mtu akusudie kukuua ukinusurika kifo aidhinishe pesa za matibabu yako. Kwa kuwa malengo ya CCM kumuua Lissu yaligonga ukuta usitarajie watatoa fedha za matibabu. La hasha!