Tundu Lissu una nini? Mbona wanakuogopa?

kyene kyaka

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
318
315
Nimekaa nimefikiria kwa muda mrefu huyu wakili mkongwe anasumbua sana kama hamna mawakili wengine wenye kushindana naye, maana huwa naamin kuwa serikal inaajiri wanasheria au mawakili wenye IQ kubwa sana lakini wakikutana na huyu jamaa wote weupe tu.

Mpaka nimekuja kuandika hii thread hapa ni kutokana kusoma kesi ya jana ya Tundu Lissu pale mahakama ya hakimu mkazi na kupata mawazo ambayo yalinifikirisha yule jamaa anaogopwa.

Mfano 1; Pale Hakimu mkazi mkuu wa Kisutu bwana Thomas Simba kumwambia wakili wa serikali bwana Patrick Mwita kuwa unamuogopa Lissu, hiyo kauli ilitoka baada ya hakimu Thomas Simba kumuhoji sababu za kushindwa kutekeleza amri ya kumkamata Lissu wakati hati ya kumkamata ilitolewa Novemba 3, 2016 na wakili huyo kuisaini.

Kauli ya hakimu mkazi akimuambia wakili Mwita "kwanini hamkumkamata " si mlikuwa na wajibu wa kumkamata? Mnamuogopa?"

Mfano 2; Pale ambapo naye Hakimu mkazi akatoa povu kwa Lissu na kuonekana anajihami kwa wakili mkongwe huyo pindi Lissu alipohojiwa kwanini hakutoa taarifa wakati amesafiri na kwenda kwenye kesi Bunda na kushindwa kuudhuria kesi mara mbili mahakaman na Lisu kutoa kauli kuwa alituma barua ya udhuru kuwa hatokuwepo kupitia kwa wasaidizi wake.

Kujihami kwa hakimu mkazi baada ya kauli ya Lissu "Hakuna barua iliyotufikia. Usituingize katika migogoro kutokana na nafasi yako katika jamii ya mwanasheria. Hatukuogopi labda upande wa mashtaka ndio wamekuogopa.Tunataka kufuata mfumo hatutakuonea, Hapa naona upande wa mashtaka wanapiga blaa blaa, tuelewane tunaichukua hati yako yako ya kusafiria ili ukitaka kusafiri tujue"

.......Kupitia mifano miwili hapo juu nimebaki najiuliza wanachomuogopea Tundu Lissu haswa ni nini?

Kyenekyaka mkighanile une
 
Aogopwe ye nani? Inategemea na hao anaopambana nao ...Pale ni sheria tu inaweza kula upande wowote mda wowote,, Tatizo ni hofu tu za baadhi ya watu kuaminishwa kuwa flan anaogopeka.. Akikutana na wajuaji wenzake pale sio Maneno tu bali kifungu kwa kifungu
 
Nimekaa nimefikilia kwa muda mrefu huyu wakili mkongwe anasumbua sana kama hamna mawakili wengine wenye kushindana nae, maana huwa naamin kuwa serikal inaajir wanasheria au mawakili wenye IQ kubwa sana lakin wakikutana na huyu jamaa wote weupe tu.

Mpaka nimekuja kuandika hii thread hapa ni kutokana kusoma kesi ya jana ya Tundu Lissu pale mahakama ya hakimu mkazi na kupata mawazo ambayo yalinifikilisha yule jamaa anaogopwa.

Mfano 1; pale Hakimu mkazi mkuu wa kisutu bwana Thomas simba kumwambia wakili wa serikali bwana patrick mwita kuwa unamuogopa lissu, hiyo kauli ilitoka baada ya hakimu Thomas simba kumuhoji sababu za kushindwa kutekeleza amri ya kumkamata lissu wakati hati ya kumkamata ilitolewa Novemba 3, 2016 na wakili huyo kuisaini.

Kauli ya hakimu mkazi akimuambia wakili mwita "kwanini hamkumkamata " si mlikuwa na wajibu wa kumkamata? Mnamuogopa?"

Mfano 2; pale ambapo nae Hakimu mkazi akatoa povu kwa lissu na kuonekana anajihami kwa wakili mkongwe huyo pindi Lissu alipohojiwa kwanini hakutoa taarifa wakati amesafiri na kwenda kwenye kesi bunda na kushindwa kuudhulia kesi mara mbili mahakaman na lisu kutoa kauli kuwa alituma barua ya udhuru kuwa hatokuwepo kupitia kwa wasaidizi wake.

Kujihami kwa hakimu mkazi baada ya kauli ya lissu "Hakuna barua iliyotufikia.Usituingize katika migogoro kutokana na nafasi yako katika jamii ya mwanasheria. Hatukuogopi labda upande wa mashtaka ndio wamekuogopa.Tunataka kufuata mfumo hatutakuonea, Hapa naona upande wa mashtaka wanapiga blaa blaa, tuelewane tunaichukua hati yako yako ya kusafiria ili ukitaka kusafiri tujue"

.......Kupitia mifano miwili hapo juu nimebaki najiuliza wanachomuogopea tundu lissu hasw ni nini.....
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
kuna biashara gani kati ya lissu na wanasheria wa serikali hadi wamuogope.
 
kuna biashara gani kati ya lissu na wanasheria wa serikali hadi wamuogope.
Mkuu ndo swali najiuliza hapa nadhan hata kesi ya arusha angekuwepo Lema angekuwa anakula mbuzi jion hii kwamromboo lakin asaiv kashalala muda mrefu
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Tundu Lissu ana akili kukizidi kile Chama cha Kijani wote kabisa kwa ujumla wao
 
Mkuu nawa uso afu ndo uje usome thread acha kuandika bila kujua kilichopo kwenye mjadala hapa hakuna chama cha kijan wala cheusi kilichotajwa kwanin unaandika tu bora liende.
 
Kuna mahali nimewahi kusikia JK alipata kusema: ni hatari kwa Tundu Lissu kuwa Mbunge kuliko Dr Slaa kuwa Rais.

Sasa unaweza kupata picha unapomzungumzia Lissu... Halafu fanya comparison na mtu kama Kibajaji, Goodluck yule wa Sanamu ya diamond, nk nk.
 
Kuna mahali nimewahi kusikia JK alipata kusema: ni hatari kwa Tundu Lissu kuwa Mbunge kuliko Dr Slaa kuwa Rais.

Sasa unaweza kupata picha unapomzungumzia Lissu... Halafu fanya comparison na mtu kama Kibajaji, Goodluck yule wa Sanamu ya diamond, nk nk.
Mkuu lumumba nasi tuna vichwa vingi tu sema mfumo unatufanya tuwe viziw na kutetea hata kibaya ambacho tunakiona kina athari badae
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Kuna mahali nimewahi kusikia JK alipata kusema: ni hatari kwa Tundu Lissu kuwa Mbunge kuliko Dr Slaa kuwa Rais.

Sasa unaweza kupata picha unapomzungumzia Lissu... Halafu fanya comparison na mtu kama Kibajaji, Goodluck yule wa Sanamu ya diamond, nk nk.
 
Back
Top Bottom