Tundu Lissu; Umesahau Kuwaambia Amri ya Polisi Ruksa Kuua na Wasishtakiwe

Mkumbusheni yote kabla hajarudi.

Amalize kuyasema kabla hajamaliza picknic.
 
Haya mambo ndiyo ya kumkumbusha. nadhani Mwanahabari huru anaweza akaufikisha ujumbe huu. This is extremely important to indict somebody with mass murder! Mwanahabari Huru
Amekwishaliongelea mahali fulani katika ziara hii inayoendelea , nimemsikia , labda tumwelekeze kwamba aliseme mara kwa mara ili lieleweke zaidi
 
Back
Top Bottom