Tundu Lissu; Umesahau Kuwaambia Amri ya Polisi Ruksa Kuua na Wasishtakiwe

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,933
2,000
Nimegundua kuwa kuna jambo moja Mheshimiwa sana Tundu Lissu, msemaji wetu asiye na chembe ya unafiki amesahau kuliweka wazi mbele ya dunia. Jambo hilo ni ruhusa iliyotolewa kwa askari Polisi na Amiri jeshi mkuu kuwa wanaweza kuua mshukiwa yeyote na hataki kusikia afanyaye hivyo akishtakiwa kijeshi au kiraia kwa kufanya mauaji. Nadhani sasa inataka kuwa kama Nchi moja kule mashariki ya mbali.
Nimekumbuka hili ili nimkumbushe asisahahu kuliweka hadharani kwani ni ukosefu wa utawala wa sheria na dunia nzima inapiga vita tabia lakini kwetu hata jana huko Arusha kijana kapigwa risasi kituo cha Polisi akiwa chini ya ulinzi na RPC wa huko anatoa majibu kama wameua mbwa wa mtaani kwani kinga wanayo.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,890

Haya mambo ndiyo ya kumkumbusha. nadhani Mwanahabari huru anaweza akaufikisha ujumbe huu. This is extremely important to indict somebody with mass murder! Mwanahabari Huru
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,933
2,000
Haya mambo ndiyo ya kumkumbusha. nadhani Mwanahabari huru anaweza akaufikisha ujumbe huu. This is extremely important to indict somebody with mass murder! Mwanahabari Huru
Ni kweli Mwanahabari Huru afikishe kwa kamanda Lissu ili kumpa nguvu maana amri hii ilitolewa pale Kurasini maafisa wa Polisi wakihitimu na pengine Lissu hana habari na tukio hilo. Hilo lina tofauti na kuruhusu mauaji ya jumuia?
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,598
2,000
Rais John Magufuli ametaka askari wa Jeshi la Polisi kutoshtakiwa kutokana na makosa yanayojitokeza wakati wakitekeleza majukumu yao ikiwamo kutuhumiwa kuua wahalifu.Akizungumza jana wakati wa sherehe za kufunga mafunzo kwa askari wa jeshi hilo katika Chuo cha Taaluma za Polisi, Kurasini jijini hapa, Rais Magufuli huku akiahidi kuwa nao bega kwa bega alisema askari wanafanya kazi kubwa ya kuimarisha usalama wa nchi.
(hii ilikua december 28, 2018, sio siri hii kauli ilinisikitisha sana, with great power comes great responsibility, sasa kiongozi wa nchi anapojaribu kuondoa 'respobsibility' kwa polisi wanaobeba siraha ni jambo la kutisha, what happened to the rule of law??? )
 
ikamama

JF-Expert Member
Jul 30, 2017
202
250
Nimegundua kuwa kuna jambo moja Mheshimiwa sana Tundu Lissu, msemaji wetu asiye na chembe ya unafiki amesahau kuliweka wazi mbele ya dunia. Jambo hilo ni ruhusa iliyotolewa kwa askari Polisi na Amiri jeshi mkuu kuwa wanaweza kuua mshukiwa yeyote na hataki kusikia afanyaye hivyo akishtakiwa kijeshi au kiraia kwa kufanya mauaji. Nadhani sasa inataka kuwa kama Nchi moja kule mashariki ya mbali.
Nimekumbuka hili ili nimkumbushe asisahahu kuliweka hadharani kwani ni ukosefu wa utawala wa sheria na dunia nzima inapiga vita tabia lakini kwetu hata jana huko Arusha kijana kapigwa risasi kituo cha Polisi akiwa chini ya ulinzi na RPC wa huko anatoa majibu kama wameua mbwa wa mtaani kwani kinga wanayo.
Pengine kingereza kimejupiga chenga hili alilisema kwa ufasaha...."under the rule of.......the police are now allowed to shoot and killl......." sililiza mahojiano vizuri. Uzuri wa social media kila neno wabaya wako wanalazimika, kila clip inatengenezewa video....."
 
fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
5,701
2,000
Rais John Magufuli ametaka askari wa Jeshi la Polisi kutoshtakiwa kutokana na makosa yanayojitokeza wakati wakitekeleza majukumu yao ikiwamo kutuhumiwa kuua wahalifu.Akizungumza jana wakati wa sherehe za kufunga mafunzo kwa askari wa jeshi hilo katika Chuo cha Taaluma za Polisi, Kurasini jijini hapa, Rais Magufuli huku akiahidi kuwa nao bega kwa bega alisema askari wanafanya kazi kubwa ya kuimarisha usalama wa nchi.
(hii ilikua december 28, 2018, sio siri hii kauli ilinisikitisha sana, with great power comes great responsibility, sasa kiongozi wa nchi anapojaribu kuondoa 'respobsibility' kwa polisi wanaobeba siraha ni jambo la kutisha, what happened to the rule of law??? )
Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,933
2,000
Pengine kingereza kimejupiga chenga hili alilisema kwa ufasaha...."under the rule of.......the police are now allowed to shoot and killl......." sililiza mahojiano vizuri. Uzuri wa social media kila neno wabaya wako wanalazimika, kila clip inatengenezewa video....."
Asante mzee, lakini sijui kama u,enielewa vizuri. Jee Lissu ametilia mkazo amri kuwa wakiua wasistakiwe? Maana kusema ...now allowed to shoot and kill haimaanishi kuwa hawatashtakiwa, hilo mpaka uliweke wazi.
Pamoja na hayo asante kwa mchango wako
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,741
2,000
Asante mzee, lakini sijui kama u,enielewa vizuri. Jee Lissu ametilia mkazo amri kuwa wakiua wasistakiwe? Maana kusema ...now allowed to shoot and kill haimaanishi kuwa hawatashtakiwa, hilo mpaka uliweke wazi.
Pamoja na hayo asante kwa mchango wako
Ameliweka hilo jambo kama ulivyoliweka hapo juu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom