Tundu Lissu: Ufukuaji wa Machifu unavunja Katiba na Sheria. Samia akemewe

Sifa za Lissu:
1. Smart
2.Knolewgeable
3.Outspoken
4. Bold and courageous.
5.Patriotic
6. Mtu mwenye foresight.

Ukiwa na sifa kama hizo na ukawa ni mwanasiasa tena wa upinzani, basi Africa kwako sio Sehemu sahihi na salama kwa wewe kuishi.
Lissu ni mwanasheria mzuri lakini siasa hulazimisha tu ni mbovu sana na anakwanga maeneo mengi sana
 
Teknologia haina unafiki.Huwezi kuhubiri uharamu wa pombe na wewe unainywa.
Ukifanya hivyo ni unafiki tu hata ukiuvika huo unafiki kilemba cha ukoka.
 
Hawa African chifs stayed with slave trade for 400yrs? Who wants them?
 
Sifa za Lissu:
1. Smart
2.Knolewgeable
3.Outspoken
4. Bold and courageous.
5.Patriotic
6. Mtu mwenye foresight.

Ukiwa na sifa kama hizo na ukawa ni mwanasiasa tena wa upinzani, basi Africa kwako sio Sehemu sahihi na salama kwa wewe kuishi.
Umesahau sifa moja muhimu, Lissu ni arrogant. Huwezi kujifanya ni outspoken huku ukitumia kinywa chako ku humuliate watu wengine. Kama ni foresight vipi kuhusu Miga? Kama ni Patriotic kwa nini alikimbia nchi?

Mbowe ni icon, na ni patriotic kwa kuwa hakimbii matatizo. Mbowe ni smart kuliko jamaa yako kwa kuwa huchagua aongee nini na wakati gani. Kwangu Mbowe ni mwanasiasa Bora wa upinzani.
 
Wazanzibari wanatunyonya sana.Mashekhe wa uamusho licha ya kuwa na makosa walisamehewa kwa kuwa Ni wanzanzibar huku Mbowe hana hata kosa anasota lumande.Wazanzibar wanaserikali mseto bala huwez ona kitu kama hicho.Wazanzibar wana usultani ulishafutwa huku bara Rais mzanzibar anaturudishia uchifu.Nilitegemea kabisa rais SH aende Zanzibar akasimikwe usultan.
Kiswahili chako ni mgogoro pamoja na kwamba nimekuelewa.

Punguza chuki za Kidini na Kieneo. Hoja yako ya kulinganisha (GAIDI )Mbowe na (MAGAIDI )Uamsho haina kichwa wala miguu.

Uamsho walikaa ndani takriban miaka 9 bila ushahidi hata ule wa uongo wakati Mbowe hakuwekwa ndani mpaka ushahidi ulipokamilika kilichobaki ni Mahakama tu kuukubali au kuupiga na chini.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sifa za Lissu:
1. Smart
2.Knolewgeable
3.Outspoken
4. Bold and courageous.
5.Patriotic
6. Mtu mwenye foresight.

Ukiwa na sifa kama hizo na ukawa ni mwanasiasa tena wa upinzani, basi Africa kwako sio Sehemu sahihi na salama kwa wewe kuishi.
huyu jamaa ni makini na ana IQ kubwa sana.tulikuwa nae pale Ilboru secondary.alianza kuwa mchangiaji wa debate akiwa kidato cha kwanza.he is really genious.
 
View attachment 2116953
Kupitia mtandao wa ClubHouse Mzalendo wa Kweli Tundu Lissu anahutubia na anaeleza kwa kina historia ya machif. Ameeleza chimbuko la machif wakati wa ukoloni na kufutwa kwake 1965. Anasema katika utawala wa Mwalimu Nyerere bunge la Tz chini ya Katibu Pius Msekwa lilitunga sheria kupiga marufuku machif na shughuli zao na kuondoa kabisa masalia ya machif.

Jamaa anaongea mambo mazito hatua kwa hatua ngazi kwa ngazi. Anaeleza historia kama vile katunga yeye.

Anaendelea. Anasema Katiba ya sasa imepiga marufuku vyeo vya kurithi au jadi ikiwemo uchifu. (Nawaza: Mama Samia hajui Katiba?).

Anasema kurejesha machif ni kitendo cha kijinai. Anamuuliza Rais Samia au Chief Hangaya kama ameamua kupuuza sheria na matakwa ya nchi?

Anasema kama malengo ni mazuri kwa nini Samia hajaanzisha michakato ya kufufua mfumo wa Usultani huko Zanzibar 🀣🀣🀣🀣🀣

"Rais Samia amekuwa na mwenendo wa kudhalilisha na kuipuuza katiba ya JMT. Dawa ya makosa ya kupuuza katiba ni kwa bunge kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani" anasema ☹☹☹

Nasema pamoja na misingi ya Jamhuri na maono ya Mwalimu na mwenyekiti wa CCM kuvunjwa,lakini CCM imekuwa kimya na haijasema chochote. Anashangaa wazee wa nchi ikiwemo Pius Msekwa, NGO na taasisi za kisheria wamekuwa kimya huku vyama vingine vikipigana vikumbo kumpongeza Rais.

Anaeleza kuna malengo ya kisiasa ndani yake na kuvuruga kabisa mfumo huru wa Serikali za Mitaa.

Rais Samia anasema machief watakuwa wanatatua migogoro ya kijamii. Anahoji wenyeviti wa mitaa na mahakama zitakuwa na kazi gani? Samia anasema serikali imetenga fedha za kuanzia. Lissu anaahoji vyanzo ya mapato ya kugharamia shughuli za machief.

Tundu Lissu anahoji mfumo huu utaendeshwa kwa sheria ipi?

Anahitimisha kuwa Katiba Mpya ni muhimu sana kwa sababu nchi inaendeshwa kwa utashi wa mtu mmoja au kikundi cha watu bila kuhofia chochote
Anasema Rais ana ajenda hatari sana.

Hatua za kuchukua
1. Bunge kutoa azimio la kumuondoa Rais kwa kukiuka Katiba na sheria
2. TLS wanashauriwa kufungua kesi mahakamani. Raia yeyote au taasisi zingine ziungane kwenda mahakamani.
3. Mapambano ya Katiba Mpya yaendelee

Anaongeza kwamba hajaalikwa kwenye ujio wa Rais,ila ikitokea amealikwa ataenda kumwambia Rais mlolongo wa vitu ambavyo anakosea na kumshauri.

Naendelea kumsikiliza kwa makini. Naomba na Rais Samia apewe link amsikilize

Chadema chini ya uongozi wa Tundu Lissu Kwa Sasa hawana support kutoka Kwa mabeberu. Mama kawabeba. .Hana support ya wazungu tena. Samia kawashika. Samia sio Hayati Magufuli. Magufuli alichukiwa na nchi za magharibi, kwasababu alitetea mali za Watanzania zisiibiwe. Wazungu wakaungana na Chadema na Tundu Lissu kwa kumumwagia fedha na kumukodia wakiri BOb Armsterdam kumusaidia aingie madarakani ili makampuni yawo yafaidike na mali za Watanzani. Wakamuchafuwa Hayati Magufuli na propaganda za uwongo kupitia vyombo vyawo vya habari. kwa sasa vyombo vyawo vimehama Tanzania. Samia Kwa Sasa kakubali mali zetu kusombwa. Kwa hiyo Tundu Lissu kagonga ukuta. Wameisha mushika Samia. Kwa Sasa Tundu Lissu hana support, ndiyo maana kelele zake zimepunguwa. BBC, na Sauti ya Ujerumani na America hawako tena. Mission completed. Wazungu wako pamoja na mama. Ni Rais, na ana madaraka ya kuwasaidia. Tundu Lissu hana chochote. Akate tamaa. Wazungu hawamutaki, tangu lini mzungu aka mpenda mtu mweusi? Mapenzi ya uwongo kuwasaidia Africa iwe masikini. Walichokuwa wanakitafuta wamekipata kutoka kwa Samia. . Hakuna BBC. Sauti ya ujerumani ama voice of America kumuchafuwa Samia kama ilivyokuwa kwa Magufuli mutetezi wa mali zetu. Wawo wanataka Rais atakaye waruhusu makampuni yawo yafaidike na mali za Watanzania..Samia tosha.
 
TUNDU LISSU SIO MZALENDO BALI NI TRAITOR. ANAOGOPA WAZUNGU KUSHINDA ALIYEMUUMBA. UKIMUONA ANASIMAMA NA WAZUNGU NI KAMA MUFUNGWA NA ASKARI JELA. KWA ADABU. NA ANAZUNGUMUZA NA ADABU. IKIFIKA KWA WAAFRICA WENZIE, ANAWANYAMAZISHA NA KUWATAPIKIA KAMA WATOTO WAKE. NA KUJIFANYA NI YEYE TU ANAJUWA KILA KITU. HAKUNA MJINGA JAMAJ TUNDU LISSU. ALIADHIRIKA alipopambana na Professor Lumumba akaufyata. TUNDU LISSU si chochote. He is only overrated for nothing.
 
Back
Top Bottom