Tundu Lissu: Ufisadi ni ajenda ya kudumu CHADEMA

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,906
2,885
akijibu swali la mwandishi alipoulizwa nini ajenda ya chadema baada ya kuonekana magufuli anafanya kila mlichokua mkilalamikia amekiri kua ni kweli magufuli anafanya lakini hawezi kufanya kwa umbali ambao chadema ingefanya. source magazeti wanajamvi yana ukweli haya!?
 
kama ufisadi ni agenda ya kudumu ya cdm, warudishe list of shame kwenye tovuti yao.
pia watueleze ni vigezo gani walitumia kumsafisha el ambae ana tuhuma kibao(si richmond tu) tena kwa muda mrefu tu. nakumbuka kamati kuu ya cdm ilitumia takriban dakika 104 tu usiku ule pale hotelini dsm kumkaribisha kundini na kumpa nafasi kugombea urais kwa tiketi ya cdm. sidhani kama kamati kuu ilifanya h/work yake vizuri.
kuhusu utendaji wa jpm, cdm wasingeenda mbali kamwe kama anavyoenda jpm ukizingatia aina ya uongozi ambao cdm ungekuwa nao.
 
Harakati za mfa Maji..hivi Bado chadema wana msamiati wa ufisadi..??!!
 
Hafathali JPM na CCM wameonyesha nia ya kufight ufisadi kwa vitendo, chadema wameshindwa kuonyesha jinsi ya kufight ufisadi badala yake wanakaribisha na kupewa uongozi.
 
Hivi nyie CCM mkoje, akili zenu km zakuazima vile
hahahah sio ccm tu ,hata sisi wa chadema nao tupo hivyo hivyo. hatudanganyiki kwa sasa tafuteni njia nyingine. roho zetu zinatusuta kwa kukumbatia mafisadi ambayo tumekuwa tukiyasema kwa miaka zaidi na nane iliyopita. tumechoka, halafu eti Mbowe anakuja kirahisi rahisi kwa akili yake tu anasema ajenda ya ufisadi imekufa haina mashiko tena kwa zama hizi. khaaaaaa! !!!!!!
 
CHADEMA lazima waendelee kusimamia ajenda ya ufisadi mpaka wahakikishe mafisadi wa escrow waliorudishwa serikalini na JPM wanang'oka.Pia mafisado wa spa,meremeta tangold,rada na ndege ya Rais wanachukuliwa hatua.
 
Chadema hawawezi kusimamia agenda hiyo tena. Walishatakatisha ufisadi. By the way mhongo ana ufisadi gani? Mmekosa dira
 
hahahah sio ccm tu ,hata sisi wa chadema nao tupo hivyo hivyo. hatudanganyiki kwa sasa tafuteni njia nyingine. roho zetu zinatusuta kwa kukumbatia mafisadi ambayo tumekuwa tukiyasema kwa miaka zaidi na nane iliyopita. tumechoka, halafu eti Mbowe anakuja kirahisi rahisi kwa akili yake tu anasema ajenda ya ufisadi imekufa haina mashiko tena kwa zama hizi. khaaaaaa! !!!!!!
Wewe sio chadema utakuwa chotara, acheni chuki na lowassa dhambi hii ni mbaya, madhara yake mtayaona si muda, nyoka wenu wa makengeza aliyehojiwa Na tume ya maadili sasa mmempa ubunge bila kumsahau muhongo sasa ni mtakatifu, mama wa vijisenti vya mboga, au kwa vile Lowassa ni wakaskazini???
 
Naona cdm wanatuchanganya akili. Baada ya kukomalia list of shame kwa miaka nenda rudi, na baadae kunyofoa jina la el kwenye orodha hiyo na kumpaka rangi nyeupe ili awe mgombea urais, credibility ya kuchampion ufisadi imeyeyuka. Wanyamaze au kutafuta hoja nyingine lkn siyo ya ufisadi. Mtapigwa mawe.
 
Hivi huyu Tundu Lissu katuona watanzania wajinga sana au ni dharau tu? Maana kila mtu anajua kuwa maboss wake ni mafisadi .Atulie tu na asubiri kuelekezwa cha kufanya sio kukurupuka kuongea vitu kama hivi.
 
Back
Top Bottom