Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,708
- 12,789
Tena kizazi na kizazieti kuna mijamaa ilitaka hizi nondo ziwe kaburini.....aisee walaaniwe na vizazi vyao...!!
Kupiga kura ya ndiyo au hapana ni mojawapo ya kazi za mbunge bungeni si kuongea tu
CCM ndio mnafuata utawala wa sheria? unasemaje kuhusu chattle international airport iliyojengwa bila gharama kuidhinishwa na bunge?Chadema kazi kuhubiri utawala wa sheria huku hamuwezi kabisa kufuata hata tone la utawala wa sheria wala democrasia.
Hauendi bungeni miezi mitatu unajirusha na mademu Ulaya unategemea nini?.
Sheria ni msumeno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
sema YOSHUA alikuwa anakuuguza wewe. napata wasiwasi ni kwa nini leo unamuunga mkono mwana CHADEMA wakati sio kawaida yako? mbona ulikuwa unafurahia Lissu kupigwa risasi pamoja na kunyimwa stahiki zake ikiwamo matibabu na mshahara wake? leo imekuwaje? pole sana bibiePamoja na mapungufu yake lakini Tundu Antipas Lisu ana uwezo mkubwa wa kiakili.
Bunge kama sehemu ya kutunga sheria linapaswa kuwa makini kwa kila jambo, binafsi namkubali sana mzee Chenge na yule Zungu wale Nassari wangemchukulia poa tu.
Yaani tukarudie uchaguzi kwa gharama kubwa kisa Joshua alikuwa anamuuguza mkewe so hakufika bungeni?!!
Jambo la tatu ni la utaratibu wa uamuzi wenyewe. Spika Ndugai hajamuandikia au kuwasiliana kwa namna yoyote ile na Mh. Nassari ili kumjulisha juu ya hatua anazotaka kumchukulia kwa kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge.
Yaani mwanasheria msomi anataka spika ndiyo amuandikie mtoro kuhusu utoro wa mtoro mwenyewe?Ni kweli kwamba ibara ya 71 ya Katiba haijaweka utaratibu wa Spika kumwandikia au kumjulisha Mbunge juu ya hatua anazopanga kumchukulia kwa kutohudhuria mikutano ya Bunge.
Ndugai anatekeleza maneno ya jiwe.
Msimshangae huyo mgonjwa hana kazi huko Belgium kwahiyo kazi yake ni hiyo,kushinda na laptop kuandika upuuzi.
Mange Kimambi na huyu hawapishani,
Tofauti ni yule aliandika udaku huyu anaandika sheria ambayo hata yy haijui anaotea.
Ni kawaida kwa majobless wote Ulaya.
Ana akili sana, yaani Mungu muache kabisa. Walimzuru mwili na risasi zao, hawakumzuru akili.Huyu jamaa akiandika jambo huwa linaeleweka sana
Anajua mpaka anapitiliza yaani Mungu huyu, yeye ndio angesimama kama wakili, tungeomba kesi iamishiwe uwanja wa taifa. Kuna sehemu alinichanganya, ibara ya 71 kuwa kimya kuhusu spika kumtaarifu mbunge kabla hajamuhukumu. Nilishtuka nikajua basi Ndugai ndio aliegemea hapo basi katumaliza. Nikijapa moyo konde nikaendelea kumsoma mbobezi wa sheria. Akasema kukaa kimya hakumpi mamlaka ya kuhukumu kabla ya kumsikiliza, hiyo ni haki ya Asili ya kila mtu. Ndugai kaingia chaka.TL sheria kama kazaliwa nayo aisee
Wewe shabikia ujinga tutakutana mahakama kuu.Anaeleweka Vipi? Nassari barua yake hata haionyeshi yuko hospital gani Wala ushahidi wa refferal toka hospital ya muhimbili porojo tu Kama za Lisu Niko ubelgiji kwa matibabu hamna ushahidi wa refferal porojo tu
Si za upendeleo tu.katika watu wenye umeme mdg baada ya jiwe anafata sabufa yaani jamaa wana uwezo mdg hadi unajiuliza walitoboaje izo nafasi kubwa
Anaeleweka Vipi? Nassari barua yake hata haionyeshi yuko hospital gani Wala ushahidi wa refferal toka hospital ya muhimbili porojo tu Kama za Lisu Niko ubelgiji kwa matibabu hamna ushahidi wa refferal porojo tu
Umeliona hilo la kujilusha na mademu, pole maana moyo unakuuma sana!!Chadema kazi kuhubiri utawala wa sheria huku hamuwezi kabisa kufuata hata tone la utawala wa sheria wala democrasia.
Hauendi bungeni miezi mitatu unajirusha na mademu Ulaya unategemea nini?.
Sheria ni msumeno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app