Tundu Lissu: Tutayajua mengi sana endapo Mh. Nassari atafungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kufutiwa Ubunge, kama ambavyo nimemshauri

Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
7,165
Likes
20,194
Points
280
Francis12

Francis12

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
7,165 20,194 280
YA JOSHUA NASSARI NA UBUNGE WAKE

Wandugu wapendwa salaam,

Nimesoma yanayomhusu Mh. Josh Nassari humu. Kuna mwelekeo mkubwa wa kukubaliana na hukumu ya Spika Ndugai kwamba Mh. Nassari hajahudhuria mikutano mitatu mfululizo ya Bunge, kwa hiyo amepata anachostahili.

Baadhi wameenda mbali zaidi na kudai Mh. Nassari 'amevuta mpunga' na kuuza jimbo. Wengine wamesema ni maandalizi ya 'kuunga mkono juhudi', n.k.

Katika yote haya, sijasikia yeyote akidai kujua upande wa Mh. Nassari mwenyewe una msimamo gani. Inaelekea tumekimbilia kwenye hukumu kutokana na maneno ya Spika na tafsiri zetu wenyewe.

Hii sio sawa sawa. Mimi nimewasiliana na Josh Nassari jana usiku. Amenitafuta mwenyewe kunitaka ushauri. Kwa maneno yake mwenyewe, hii habari ya kutohudhuria mikutano mitatu mfululizo ya Bunge sio ya kweli.

Ameniambia alihudhuria vikao vya Bunge la November mwaka jana, na alisaini na kulipwa posho zake kama kawaida. 'Vikao vya Mkutano' ni pamoja na vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge, kwa mujibu wa tafsiri ya neno 'kikao' katika Kanuni za Kudumu za Bunge.

Kama anayoyasema Mh. Nassari ni ya kweli, basi kuna ziada kubwa ya maneno tusiyoijua katika jambo hili. Sio sahihi kurukia kwenye hitimisho bila kusikiliza upande wake.

Pili ni kuhusu barua yake ya tarehe 29 January. Mh. Nassari ameniambia alikuwa anamuuguza mke wake ambaye alipata matatizo makubwa ya uzazi wakati anajifungua tarehe 27 January.

Siku iliyofuata, tarehe 28 (siku ya kuanza vikao vya Bunge) aliwasiliana na msaidizi wa Spika Ndugai. Akashauriwa na msaidizi huyo kumwandikia Spika Ndugai juu ya suala lake, na akafanya hivyo kesho tarehe 29 January.

Majibu ya barua ya Mh. Nassari kwa Spika Ndugai ni taarifa yake ya jana ya kumfuta Ubunge.

Sasa hapa kuna suala la tafsiri ya sheria. Je, kama ni kweli Spika Ndugai aliandikiwa barua ya kuombwa ruhusa katika mazingira hayo ya dharura na hakuijibu, hicho kimya chake kina maana gani kisheria??? Is it not the case of 'silence means consent' here???

Jambo la tatu ni la utaratibu wa uamuzi wenyewe. Spika Ndugai hajamuandikia au kuwasiliana kwa namna yoyote ile na Mh. Nassari ili kumjulisha juu ya hatua anazotaka kumchukulia kwa kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge.

Ni kweli kwamba ibara ya 71 ya Katiba haijaweka utaratibu wa Spika kumwandikia au kumjulisha Mbunge juu ya hatua anazopanga kumchukulia kwa kutohudhuria mikutano ya Bunge.

Je, ukimya huo wa Katiba una maana Spika Ndugai hawajibiki na hakuwajibika kumjulisha Mh. Nassari kabla ya kumfuta Ubunge???

Hili ni suala lingine la tafsiri ya sheria. 'Natural justice', misingi ya haki ya asili, inamtaka mtoa maamuzi yeyote yanayoweza kuathiri haki ya mtu mwingine, kumpa mtu huyo fursa ya kujitetea kabla ya uamuzi utakaomwathiri kutolewa.

Masharti haya ya haki ya asili ni ya lazima hata pale ambapo sheria haijaweka utaratibu huo. 'Audi alteram partem', 'sikiliza upande mwingine.' Huo ndio msimamo wa kisheria wa Tanzania hii.

La mwisho ni huu utaratibu wa Spika Ndugai kuwasiliana na mitandao ya kijamii au hadharani badala ya kuwasiliana kwanza na Mbunge anayehusika kwanza.

Mh. Nassari ameniambia amesikia taarifa za kufutwa Ubunge wake mitandaoni kama wewe na mimi. Na mimi nilisikia habari ya kufutiwa mshahara na posho za kibunge mitandaoni.

Je, huu ni utaratibu sahihi wa Spika wa Bunge kuwasiliana na Wabunge kuhusu masuala yao ya kibunge???

Yote haya ni masuala muhimu kuyaangalia kabla ya kukimbilia kwenye hukumu kwamba Mh. Nassari 'ameuza Jimbo', au amekosea, n.k.

Tutayajua mengi sana endapo Mh. Nassari atafungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kufutiwa Ubunge, kama ambavyo nimemshauri. Tuvute subira.

Tundu Lissu, MB
Tienen, Ubelgiji
'
 
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
1,133
Likes
442
Points
180
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
1,133 442 180

Mkuu si alisema anatamaini awe mbuge wa Arumeru mashariki? Haya ndiyo matokea yake.

Ila kama kweli Nasari hayjauza jimbo, basi ajitokeze na azungumze na wapiga kura wake, chama chake na watanzania kwa ujumla kupitia vyombo vya habari, maana akinyamaza, watu watatoa majibu tofauti
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
4,186
Likes
6,741
Points
280
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
4,186 6,741 280

From CCM rulers to shit dusters like Jingalao,the whole country's a low budget environment

Ndu-guy is shitting all across...such a despicable old man!
 
tweenty4seven

tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Messages
8,444
Likes
6,547
Points
280
tweenty4seven

tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2013
8,444 6,547 280
Tumekusikia mrs nasari
Anaeleweka Vipi? Nassari barua yake hata haionyeshi yuko hospital gani Wala ushahidi wa refferal toka hospital ya muhimbili porojo tu Kama za Lisu Niko ubelgiji kwa matibabu hamna ushahidi wa refferal porojo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
bulicheka 3

bulicheka 3

Member
Joined
Feb 6, 2019
Messages
49
Likes
44
Points
25
bulicheka 3

bulicheka 3

Member
Joined Feb 6, 2019
49 44 25
kama kweli alikuwa na udhuru na hiyo barua hajaiandika baada ya kuona hukumu ya spika , Mungu atakutetea na haki i
Kumbuka walivyo mfanyia yule mama pamoja na kutumwa na spika bunge lili mkana akaka mahabusu siku 105 aibu
 
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Messages
8,442
Likes
4,455
Points
280
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2014
8,442 4,455 280
Si kila kitu spika inatakiwa akukumbushe wewe Kama mbunge unajua taratibu za bunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa mkuu.

Kwani Nassari ni mtoto mdogo hadi akumbushwe majukumu yake?

Pili kwanini kahitimisha kwa kumlaumu mhe. Ndungai uku akimuacha Mrema(siyo Lyatonga) kwa kushindwa kufanya majukumu yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Messages
8,442
Likes
4,455
Points
280
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2014
8,442 4,455 280
Nimejifunza kitu hapa.......

'Natural justice', misingi ya haki ya asili, inamtaka mtoa maamuzi yeyote yanayoweza kuathiri haki ya mtu mwingine, kumpa mtu huyo fursa ya kujitetea kabla ya uamuzi utakaomwathiri kutolewa.
Natural justice ilifanyika kipindi cha Zitto yupo cdm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
83,823
Likes
125,939
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
83,823 125,939 280
Tuna mwendawazimu aliyesukumiziwa Ikulu na mafisadi Kikwete na Mkapa pamoja na kuwa Watanzania wengi tulimuona hafai kabisa na hata ndani ya ccm alikuwa hakubaliki ndiyo sababu hakuwemo hata katika tano bora ya waliokuwa wakitajwa tajwa.

Kikwete na Mkapa waliweka mbele maslahi ya kuwa na fisadi mwenzao Ikulu ili alinde maovu yao kwa nguvu zote, badala ya kuweka mbele maslahi ya nchi. Now our beautiful country is suffering BIG TIME!

Huu ni ushahidi mwingine kwamba executive inaingia moja kwa moja ndani ya bunge na kufanya watakavyo...
 
omari londo

omari londo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
1,030
Likes
943
Points
280
omari londo

omari londo

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
1,030 943 280
Anaeleweka Vipi? Nassari barua yake hata haionyeshi yuko hospital gani Wala ushahidi wa refferal toka hospital ya muhimbili porojo tu Kama za Lisu Niko ubelgiji kwa matibabu hamna ushahidi wa refferal porojo tu
Mbona mama yako nae ana porojo husemi??
 
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Messages
8,442
Likes
4,455
Points
280
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2014
8,442 4,455 280
Nimesoma kwa makini sna hoja za lissu, nachoweza kusema ni kuwa wajibu wa Chama tawala ni kujali pia sauti za wanaowaongoza. Kama Nasari alichaguliwa kwa haki. Wanaumiaa nini kungoja kamwaka kamoja tu amalize muhula wake. Kwa nini wanadharau gharama za uchaguzi Katika nchi masikini kama hii. Makusanyo yao wnaficha sasa ilihali inajulikana wako 50 percent
Ignorance of law is no excuse.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
7,255
Likes
8,791
Points
280
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
7,255 8,791 280
Anaeleweka Vipi? Nassari barua yake hata haionyeshi yuko hospital gani Wala ushahidi wa refferal toka hospital ya muhimbili porojo tu Kama za Lisu Niko ubelgiji kwa matibabu hamna ushahidi wa refferal porojo tu
Hayo ya yupo hospitali gani yataeleweka mahakamani mkuu usiwe na pupa
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
4,186
Likes
6,741
Points
280
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
4,186 6,741 280
Nashangaa mkuu.

Kwani Nassari ni mtoto mdogo hadi akumbushwe majukumu yake?

Pili kwanini kahitimisha kwa kumlaumu mhe. Ndungai uku akimuacha Mrema(siyo Lyatonga) kwa kushindwa kufanya majukumu yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua taasisi inavyofanyakazi wewe mtu?

Lazima ufanye signaling,huwezi jua Nasari amepata detriments gani!

Una-deal na wanadamu hapa,sio vyuma unapiga mstari tu kama mashine!!1

Lazima ufanye signaling,ujue object ipo na nimeifanyia mercy ya signaling lakini haiku-act then unakua na legitimacy yote beyond human mercy kuchukua hatua....

Mnaleta mambo ya kipumbavu mno!

Mnaacha kudeal na vitu vya kubadili hii nchi kama katiba mpya,mahakama ya mafisadi,etc kubadili hii nchi unadeal na deadline kwa poor representative of people kama ni somekind of monster!

Hii ni classical ethnic cleansing ya opposition.....Spika anatumika kama weapon
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
32,832
Likes
98,023
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
32,832 98,023 280
Anaeleweka Vipi? Nassari barua yake hata haionyeshi yuko hospital gani Wala ushahidi wa refferal toka hospital ya muhimbili porojo tu Kama za Lisu Niko ubelgiji kwa matibabu hamna ushahidi wa refferal porojo tu
Kuna self referrals mahospitalini si kila mgonjwa anapata barua ya referral.
 
Forum statistics

Threads 1,273,496
Members 490,428
Posts 30,483,275