Tundu Lissu: Tutathmini kazi tuliyoifanya na matokeo tuliyoyapata. Tupate mafundisho sahihi ya kazi

Tumesahau kutofautisha kati ya mfu na mgonjwa mahututi tulio wengi ni wafu hivyo tutaburuzwa mpaka basi tungekuwa mahututi tungestuka pia Mpiga kura ujisahau kuwa yeye ni muajiri anaweza Fanya lolote sisi tumeshamezeshwa Maneno eti Nchi haijaribiwi
 
Jana ndo ilikuwa test.
Watanzania bado vichwa ngumu,wapinzani sasa mjiongeze,fanyeni siasa nyepesi kutunza resource na kuepuka kufungwa for nothing,
majamaa mnayoyatetea hayana time na nyie,
saa hizi zito anasakwa na siajabu akakamatwa na kufungwa maisha,Kuitesa family nako,

mungu amuonekanikie huyu kijana vinginevyo nae anaozea jela kama lema ,
Mimi naamini kwa style hii ni vigumu kwa upinzani kuja kushinda kwanza tume siyo huru, pili dola hutumika kukilinda chama tawala na kwa style ya JPM ambapo mpaka wakurugenzi ambayo ndiyo wasimamizi wa chaguzi zote ni makada wa ccm na wameteuliwa na mwenyekiti wa ccm kwa maslahi ya ccm ni vigumu kushinda hata hivyo upinzani usivunjike moyo usikate tamaa ipo siku upinzani utashinda nn kimetokea ghana nigeria senegal na gambia sasa ipo siku uhuru wa kweli utapatikana
 
Chama la mafisadi yamekataliwa vibaya sana huwezi kuwa na fisadi kama Lowasa kwenye chama halafu hicho chama kikapendwa na watu no.
 
Nani alingiza kimyemela wakati 2006 ilikuwa katiba mpya kuzingatia maoni ya wanachama nchi nzima....mwenyekiti wa tume ile alikuwa baregu akisaidiwa na kina mnyika sasa wapi hapo kiliingizwa kinyemela??
Mkuu naomba unisaidie kujua hilo suala.
ukomo wa mwenyekiti ni miaka mingapi
 
Tusijidanganye mitandaoni.. Watanzania bado wana imani Kubwa Sana na raisi wap na wana imani Kubwa na chama cha mapinduzi...
Sis tunajuwa jinsi ccm wanavyotumia nguvu kubwa wakisaidiwa dola,aangalia zanzibar wamewatoa mawakala wote wa cuf na ukawa
 
Aliposhinda Tundu Lissu tume haikuwa huru, aliposhinda mbowe na wengineo Tume haikuwa huru.

Unaposema wapinzani wasahau kushinda hao ambao tayari wameshinda chaguzi zilizopita walishinda kwa tume ipi?

Kaeni chini muangalie mlipondoka ni wapi. Na kisha mje na mpango kazi wa kunusuru chama chenu. Katika kipindi ambacho CCM walitakiwa kupoteza nafasi ni uchaguzi huu wa marudio. Na kilichoonyeshwa na wananchi ni kuwa bado hawana imani na upinzani na hawajui haswa mnasimamia nini.

Kuibua hoja mpya kila kukicha hakujengi chama, hizi kashfa na lawama mnazoleta mitandaoni hazisaidii katika ustawi wa chama chenu.

Mbinu na mikakati mnayoenda nayo imeshaprove failure, acheni siasa za mitandaoni na hamieni katika siasa za mitaani na kwenye vitongoji sababu huko ndiko wapiga kura wa uhakika wapo na si huku Jamiiforums, twitter au facebook.
We unafkiri walitangazwa bila kupambana?? Uchaguzi kwa wapinzani ni kama vita wwe haupo huku huwezi kunielewa.... tena ni david vs goliath na mara nyingi usipokomaa unapokonywa ushindi hivi hivi unaona... kwa hyo usiseme tu kwakuwa wameshinda eti tume ni huru never na ndio maana kina mbowe walifight sana tume huru iletwe kupitia katiba ya wariona kabla ya nyie hamjaharibu mchakato
Pia mkuu wapinzani mnatubania mikutano hizo sera zetu mnataka zieleweke kwa wananchi ndani ya wiki 3 tu??? Kumbuka 2016 nzima hawajawahi kuskia hata sera ya chadema face to face kwa sababu mikutano imezuiwa sasa unataka wawahague upinzani kwa HOJA zipi?? Mnaona ni haki kweli?? Yaani ni sawa na wwe ufanye mazoezi weee ya kuimba kule THT afu unayepambana naye aamke tu asbuhi aambiwe aende studio kuonyesha uwezo wake alafu akishindwa usema HAJUI KUIMBA?? really??

Mkuu kuwa considerate basi usiende kishabiki weka fair game ndio uto judgement sielewi kwanni ccm manshangilia matokeo haya wakati mlikuwa na all the time kufanya siasa na kampenj wapinzani wameanza tu siku ya kampeni ambazo ni kma wiki tatu tu sasa wakishindwa ina maana ni wadhaifu???

Ruhusuni siasa na tume huru ndio mshangilie maana kwa kweli mnakera sana sisi wanamageuzi
 
Kama matokeo yametoka hivo basi Watanzia si watu wa kusaidiwa kwa lolote lile maana wanapenda shida
Kwa hali ilivyo sasa bado tena mnaichagua ccm
 
NGUVU YA UMMA ilienda wapi mkuu? maana CHADEMA ile haikuwahi kubabaishwa na nguvu ya serikali. Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 vijana wa CHADEMA ile walikomaa walilinda kura hadi matokeo bila kujali kuna Nguvu ya serikali au la. CHADEMA hii ya MAFISADI inaweza hilo?
Ilikuwa story
 
Kama matokeo yametoka hivo basi Watanzia si watu wa kusaidiwa kwa lolote lile maana wanapenda shida
Kwa hali ilivyo sasa bado tena mnaichagua ccm
Huwezi chagua wafiki
Leo hili
Kesho lile!!
 
Kama matokeo yametoka hivo basi Watanzia si watu wa kusaidiwa kwa lolote lile maana wanapenda shida
Kwa hali ilivyo sasa bado tena mnaichagua ccm
Mkuu tume huru inahitajika kma huku nilipo ccm alikuwa anazomewa kila mtaaa cha kushangaza katangazwa mshindi ndio maana nasema tume huru ni muhim ili tuone ukweli wa mambo ila wananchi naona wameshaanza kujielewa
 
Mkuu huoni kwamba hayo ni mapungufu ?
Sawa unaweza ona kuna mapungufu ila ndio maoni ya wanachadema walio wengi chini ya professor baregu na muasisi wa chama victor kimesera na hayo maoni yalikubalika na wote sio zitto sio chacha wangwe sio mbowe sio mnyika so demokrasia iheshimiwe
 
Sawa unaweza ona kuna mapungufu ila ndio maoni ya wanachadema walio wengi chini ya professor baregu na muasisi wa chama victor kimesera na hayo maoni yalikubalika na wote sio zitto sio chacha wangwe sio mbowe sio mnyika so demokrasia iheshimiwe
Sasa mkuu huoni kama hilo suala lina reflect haina ya watu ambao hata wakikabidhiwa madaraka ya kuongoza nchi , kiongozi mkuu anaweza kubadili katiba ya nchi ili iende sawa na ile ya chama.

Kwa mantiki hio tutakuwa hatuna tofauti na wakina Museven au Kagame wanaojiongezea mihula ya utawala whenever they feel.
 
Chama la mafisadi yamekataliwa vibaya sana huwezi kuwa na fisadi kama Lowasa kwenye chama halafu hicho chama kikapendwa na watu no.
Ndo angepata kura milion 6 kma hawamtaki?? Mkuu ni heri ukamwambie bosi wenu kuwa alete tune huru na aruhusu mikutano alafu 2020 atapata majibu yote kma CHAMA CHA FISADI kimakataliwa ama lah.....zaidi ya hizi porojo zsko hapa za kujitia moyo wakati wananchi wamewachoka kabisa na hilo mnalijua
 
Back
Top Bottom