Tundu Lissu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume

Muungano kama ulikuwa siri au wa uwazi it doesnt change the nature of it. Sioni sababu ya kulilia mafaili au makubaliano ya muungano hata kama kulikuwa na kikaratasi kimoja au pamphlet zima it makes no sense.

Yeye kama ni 'pro' or 'anti' aje na sababu zake na haweke wazi sio siasa za kujificha nyuma ya pazia akiwa na agenda zake. Aseme wazi muungano ana uona vipi kabla ya kutaka kurushia watu hizi habari za kura za maoni ili kupima upepo wa fikra zake. Weka wazi msimamo toa na sababu za msingi; haitaji 'article of the union' to express his feelings on the matter. Nakupiginia kile anachokiona kwenye huu muungano.

Siasa za kujificha ficha na kusubiri upepo ni dalili za u-coward.
Tatizo la wengi wetu (nachelea kusema limezidi kwa viongozi wetu) ni kutaka kurush kwenye issues bila ya kufahamu kwa kina nini hasa ndilo tatizo husika. Matokeo yake tumekuwa na majibu mepesi kwa maswali magumu, mifano ipo mingi sana (matuta barabarani ati suluhisho la ajali, barabara tatu ati kupunguza foleni na mingine kadha wa kadha). Mwenzetu ni miongoni mwa waathirika wa utamaduni huo, na ndio sababu unataka simple answer, ati tusitafuta kilichosababisha uwepo wa muungano bali tujadili uendelee ama la. Unasikitisha sana, maana haina tofauti na kusema tuangalie tulipodondokea na si tulipojikwaa. Je kwa fikra kama hizi tutafika kweli?
 
Jamani CCM ni watanzania kama watanzania wengine, ktk hili la Muungano hawawezi kulikwepa. Nilisema wakati wa Bajeti, Mheshimiwa Lissu ktk hotuba ya kambi ya Wapinzani, aliwapiga shule si wabunge tu, bali watanzania wote wakiwepo majaji waliokuwa wanamsikiliza. na hii tena amesummarise kipengele kimoja tukati ya vingi alivyoviongea ktk hotuba yake, suala la Muungano watu waulizwe wanataka nini? Bravo Lissu.
 
kuna mtu anakumbuka majina ya vile vitabu mh. Lissu alivyokoti kimoja ni cha Prof: Issa Shivji na kingine ni cha Abdu Jumbe Mwinyi if i'm not mistaken pls msaada anayevikumbuka anitajie

Big up Mhe.Tundu Lissu yote ni sahihi
(i) JE, TUNAHITAJI MUUNGANO? HAPANA
(ii) KAMA NDIO, MUUNGANO WA AINA GANI (muundo)?
N/A

Kitabu cha Mzee Jumbe ni The Partner-Ship

 
nilisikia uwezo wa Tundu Lisu peke yake ni sawa na uwezo wa wabunge 50 wa magamba. Lol! Kumbe kweli!

Ukiwa mkosoaji/upande wa pili una nafasi kubwa ya kusema utakalo na hasa ukizingatia huna kwa kuwajibika. na kwa upande wangu simkubali kwani anapenda critisize bila kuja na alternative kama conclusion na pia posho kachukua hiyo peke yake inanifanya niamini kuwa anachoongea sicho anachomaanisha pengine anacheza no. 7 kwa mkakati mahsusi.
 
Serikali mbili nchi mbili shida zote zitaisha,Tufanye kama Sudan baaasi.Nchi tatu haina maana itakuwa yaleyale ya manung'uniko na gubu la mke/mume lisiloisha.Kwaheri ZNZ karibu THE PEOPLES' REPUBLIC OF TANZANIA

Kumbe na wewe unaogopa neno TANGANYIKA?
 
Aisee Emma mbona sikuelewi?Kwani ZNZ au hata na wao wakitengana na Pemba zikawa nchi mbili tutashindwa kuunda shiikisho la EAC?Shirikisho litakuwepo na kila mtu aingie kama nchi tuache kulialia na kero zisizoisha.Mwaka 2020 EAC itakuwa na wanachama nchi nane huru nazo ni Tanzania,Zanzibar,Pemba,South Sudan,Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi.[/QUOT

Wengi wenu munataka Tanganyika irudi ila munaogopa Neno Tanganyika-​
 
TASO

Si tumeambiwa tutoe maoni? mimi nimeweka maoni yangu kwamba kuuvunja muungano ni:-

1. Kurudi Nyuma, tunatakiwa tuwe na United Africa (Angali EU; kumbuka wakati tunapigania uhuru; mpaka BOB ALIIMBA AFRIKA UNITE)
2. Kutukana uongozi ulioingia kwenye muungano.\
3.Kukana asili ya umoja na udugu wetu.

I am a panafricanist and I believe in a Strong, Unified, and Politically United Africa; sio watu wanatetea ukubwa wa madaraka ya dola na kuangamiza maslahi ya wengi.

Sikusema kwamba LAANA namtisha mtu; lakini UNION imekuja out of vision ya kwenda towards a United Africa. Kwenda kinyume na hapo kuna dire consequences.

I believe in the decision of the people, na hata leo naamini watanzania wakiulizwa kama wanautaka au hawautaki muungano; WENGI WAO hawatoukana muungano. Tatizo ni kuuweka katika sura nzuri. pasiwe na manung'niko. Unataka kuwanyima Wazanzibari watoto wa Kinyamwezi? Au unakusudia kuwanyima wasukuma watoto wa Kipemba?

TANZANIA TANZANIA, JINA LAKO NI TAMU SANA!

Wewe una mawazo ya kizamani sana ,hivyo watu waowani kama kakuna muungano,au undugu unapotea kama hakuna muungano?
 
nampa big up Mh. Lissu,, anaonesha kapata elimu na akaelimika,, fichua zaidi watz tupate mwanga na maendeleo, na sio kuishia na kwanini, kivipi, au na naniii
 
nampa big up Mh. Lissu,, anaonesha kapata elimu na akaelimika,, fichua zaidi watz tupate mwanga na maendeleo, na sio kuishia na kwanini, kivipi, au na naniii<br><br>
 
Kaongezea kwamba kuna maswali inabidi waulizwe watu wa Tanganyika na Zanzibar;

1:je munahitaji muungano?

2:je muungano aina gani munao utaka?.

Kasema hiyo ndo itaiondoa ile zana ya kwamba huu Muungano ni wa Karume na Nyerere.mia
Akili kubwa
 
Back
Top Bottom