Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

Kuna mtu anasema amenunua ndege kwa keshi na haoni mtanzania mwingine anaweza kufanya hivyo,Sasa sijui kesho corona ikimchukua ndo utakuwa mwisho wa nchi hii? Kwa kweli kuwa uyaone
Lisu kawashauri muwe mnakaa kwa distance na mvae barakoa msifanya ujinga kama ule wa kwenye mkutano mkuu na ile siku ya kumpokea!

Pia yeye mwenyewe mwambieni aache upumabvu! Asiwe anatangaza kuna corona wakati anapuyanga kwenye makundi ya watu bila barakoa
 
Ni picha inayohuzunisha, tunasikia taarifa watu wanakufa kwa corona
Hahaaa kumbe na yeye anasikia??
Tundu lissu nenda Amana,nenda temeke,nenda mloganzila ukikuta wagonjwa wa corona huko hata Mimi nitakupa kura,wewe Ni mwanasheria hakuna Mambo ya kusikia mahakamani
 
Tehetehe acha ahutubie wakenya,kura wanapiga watanzania
Hata lowassa alidiriki kuvuka mpaka na kuongea na wakenya
Nafurahi lissu anajivuruga mapema tunapa pointi za kumpiga nazo
Sasa wewe unafikiri kwa vile wewe TV yako inakamata channel moja ya TBC1 unadhani kila mtu?
Sasa hivi watu tunaangalia TV zote duniani tukiwa hata Chato
 
Sasa wewe unafikiri kwa vile wewe TV yako inakamata channel moja ya TBC1 unadhani kila mtu?
Sasa hivi watu tunaangalia TV zote duniani tukiwa hata Chato
Safi sana wakenya watampigia kura!

Nasikia pia hata wale wazungu milion 80 mliosema wamemfollow baada ya kuhojiwa hard talk nao watampigia kura,!
 
Hao wataliii wanaokuja wanatokea nchi zenye korona kwa 120 %,

Logical thinking, nchi yenye corona free inashangilia kupokea wataliii kutoka nchi yenye corona???
My logic: Yes we have corona but can not lockdown our people, and we need money then a logical thing to do is keep silence, don't create loud noise about corona because we need foreign currency from tourists and aviation business.
 
Tusubiri logic ya wapiga kura Oktoba 28, 2020.
Mkuu hoja yangu Ni kuwa kwa kuwa sisi Ni corona free tofauti na wenzetu, bado tunahitaji tahadhari kuruhusu mwingiliano, toka kwa nchi ziliathirika,

Ni hatari kushangilia utalii alafu ukakarbisha. Maradhi nchini mwako, kisa unataka kuwaaminisha watu uongo ili wakupe kura, baadaye ita
 
Lisu kawashauri muwe mnakaa kwa distance na mvae barakoa msifanya ujinga kama ule wa kwenye mkutano mkuu na ile siku ya kumpokea!

Pia yeye mwenyewe mwambieni aache upumabvu! Asiwe anatangaza kuna corona wakati anapuyanga kwenye makundi ya watu bila barakoa
Mkuu hadi Sasa nimejilock down, I work from home, mjini nakuja tu nikiwa nashida na bank hasa hasa stanbic masaki
 
Back
Top Bottom