happymwashi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 980
- 846
Haji tare saba wala kumi wala 20
Wewe ndiye mpuuzi mkubwaUpuuzi mtupu.
Upuuzi mtupu.Wewe ndiye mpuuzi mkubwa
Mpuuzi tu weweUpuuzi mtupu.
Upuuzi mtupu.Mpuuzi tu weweView attachment 1198781
Mpuuzi tu wewe
Mpuuzi tu weweuzi mtupu.
Huyu ndiye dingi wako au kwa vile humjui ? Mimba za kwenye mikesha ya mwenge ni janga kubwaMpuuzi tu wewe
jamaaa anafanana na tundu lissu siju nduguyake?
hapana huyu ni yule mlemavu wenuHuyu ndiye dingi wako au kwa vile humjui ? Mimba za kwenye mikesha ya mwenge ni janga kubwa
Kwa comments zako wewe ni mlemavu wa akili.hapana huyu ni yule mlemavu wenu
lakinihazimfikii yule mlemavu wenu dish na viungoKwa comments zako wewe ni mlemavu wa akili.
Hujui tofauti iliyopo kati ya matusi na kuhoji . upo kama mshipa/ busha mbele haupo nyuma haupoVIP zile ziara za nje ya matibabu, Kwenda kumtukana JPM zitaendelea au kwasasa atazisitisha?
sasa kwa utaahira wako unataka kusema alikuwa haitukani nchi yake mwenyewe ? yule kashakuwa mlemavu wa akili halafu mtetea mashogaHujui tofauti iliyopo kati ya matusi na kuhoji . upo kama mshipa/ busha mbele haupo nyuma haupo
yule mlemavu wa akili pale magogoni? ambaye hafanyi lolote bila kumeza dawa za kichaa kichaa amaKwa comments zako wewe ni mlemavu wa akili.
huyu unaemsema wa magogoni huwezi ukamlinganisha hata na utaahira wa boya wenu hata utaahira wako wewe na wazai wako huyu ni mtu makiniyule mlemavu wa akili pale magogoni? ambaye hafanyi lolote bila kumeza dawa za kichaa kichaa ama
Unasemajee?mbona "kaingia mitini"Anarejea terehe 7 Septemba, mwaka huu. Jumamosi ijayo. Tayari, tiketi ya kurejea nyumbani Tanzania i mkononi mwake. Kila kunapokucha na anapotafakari kurejea nyumbani, Lissu huitoa tiketi yake kutoka katikati ya nyaraka zake na kuitazama huku akitabasamu. Anatamani kuwaona tena wale ambao hawakuweza kumuona akiwa Nairobi na Ubelgiji (namshukuru Mungu kuwa nilikwenda kote huko).
Lissu si yule yule kimwili. Amepata ulemavu wa mwili. Sasa anachechemea na kuchapia mguu. Ulemavu ameupata tarehe ya kurudi kwake mwaka juzi. Ameupata ulemavu akiwa kwenye mapambano ya kisiasa kwenye viunga vya Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lissu survived to accomplish his mission. Ulemavu wa mwili alioupata ni alama ya mapambano yake na harakati zake za kuusema ukweli hata kama ni mchungu kama shubiri. Au sifongo kwenye kidonda.
Kwa kilichomtokea na alichojionea kutoka kwa watanzania na wasio watanzania; marafiki na wasio marafiki wake; wanasiasa na wasio wanasiasa; wanachama wa chama chake na wasio wanachama wa chama chake kimemuimarisha moyoni na kumjaza ujasiri mkuu. Nilipozungumza naye Naironi na Ubelgiji, alinitisha kwa ujasiri wake kuimarika kuliko mwanzo. Yuko imara kuliko mnara na kuliko chuma cha pua.
Lissu anarejea na ukweli wake; lugha yake; Uwakili wake; utu wake na watu wake. Atawahutubia; atawaambia; atawatetea; atawaombea na kuwapigania katika nafasi atakayojaaliwa kuipata. Lissu anarudi kwenye mapambano ya kisiasa na ya kisheria. Atakapotua tu nchini, hata Nguvu ya Kisheria ya Kaka yake Alute itakoma na Lissu ataichukua kesi yake ya Ubunge. Ataanza na hiyo kesi kwenye mapambano yake. Kwa ajili ya Ubunge wake.
Karibu nyumbani Tundu Antiphas Mughwai Lissu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma, Tanzania)
Atakuwja kwa wakati unaofaa wala siyo kwa shinikizo la mataahira wa Lumumba.Unasemajee?mbona "kaingia mitini"
Kamanda jibu hoja acha jazbaAtakuwja kwa wakati unaofaa wala siyo kwa shinikizo la mataahira wa Lumumba.
Huna hoja sister wewe una viroja tu.Kamanda jibu hoja acha jazba