Tundu Lissu tena! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu tena!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Asha Abdala, Nov 14, 2007.

 1. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2007
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Leo kuzungumzia Kamati ya Sheria/Mikataba ya Madini katika kipindi cha Pambanua Channel Ten saa 3 usiku SAM.

  CBM wadokolee waliombali

  Nawapenda wote

  Asha
   
 2. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,506
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mie nitakuwa nawapa yote yatakayojiri,Najua anakuja kuananika ya kina Machunda na weingine..
  Toka lini Mwajiriwa wa Karamagi akachunguze Mikataba ya Buzwagi?
   
Loading...