Tundu Lissu tafadhali simama uhesabiwe katika wanaotetea haki ya Spika kumpinga Rais

Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman

Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the shoe is on the other foot

Sasa muonyeshe, na ionyeshe nchi na dunia kwamba una misimamo ya kweli na thabiti, you are authentic and principled

Toka hadharini upiganie kwa nguvu haki ya kusema ya Spika Ndugai hata kama yeye amewanyima wenzake haki hiyo

Unakaaje kimya kwenye suala zito la kitaifa kama hili la mhimili wa bunge kupigwa pini na Rais mwenye manguvu ya kimungu ? Unawezaje kukaa kimya?
Ndugai ana hoja... kuna vitu vya ndani ndani anavijua.
Msimuone mgogo mkamchukulia poa
 
Hii siku atakapomsapoti huyu asiyejua anataka nini ndo siku tutakapojiondoa kwake rasmi. Kwani wewe mpaka sasa unajua Supika wenu anataka nini? Angesimamia anachoamini angetetea sasa ameshakikana atetewe kwa lipi?
Ipo moral responsibility ya kutetea haki ya kila Mtanzania kumkemea Rais. Tundu Lissu anaielewa ndio maana ametoa tamko kusifu alichofanya Ndugai kuwa ni cha kihistoria
 
Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman

Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the shoe is on the other foot

Sasa muonyeshe, na ionyeshe nchi na dunia kwamba una misimamo ya kweli na thabiti, you are authentic and principled

Toka hadharini upiganie kwa nguvu haki ya kusema ya Spika Ndugai hata kama yeye amewanyima wenzake haki hiyo

Unakaaje kimya kwenye suala zito la kitaifa kama hili la mhimili wa bunge kupigwa pini na Rais mwenye manguvu ya kimungu ? Unawezaje kukaa kimya?
Pambafuuu.. Lissu ni shujaa wa karne nchini Tanzania.
Kama unauwezo waulize kina mwendazake
images (3).jpeg
 
Wapinzani wanapaswa watetee taasisi, mhimili, sio Ndugai kama mtu binafsi

Ndugai ni mganga cheo, dhaifu, kigeugeu, na mminya demokrasia na haki za watu

Watetezi wa haki za msingi za kikatiba na uhuru wa mihimili wanapaswa watetee uimara wa taasisi, no matter who holds the office or how he behaves

Nilitegemea wakina Lissu wamkeme Rais kwa kuminya haki ya mwana mhimili mwingine kuhoji maamuzi yake
Pole ndugu,
Tatizo lililopo ni la UBOVU wa mfumo ambao wengi bado mnaukumbatia. Tundu Lissu katiwa ulemavu NA kupoteza mpaka haki zake msingi kwa kuupinga ubovu huo huo. Kama ulinyamaza wakati ULE kwa heshima na taadhima yafaa ujizuie kulia sasa.
Sasa hivi twatakiwa WOTE tuungane kutaka KATIBA MPYA/BORA hiyo NDIO itawezesha kuwa na mihimili, mifumo na sheria imara ili kuimarisha uwajibikaji kwa ngazi zote. Vilio vya kichawi vinasaidia tu kushikana uchawi lakini kamwe havina nguvu ya kumaliza uchawi.
 
Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman

Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the shoe is on the other foot

Sasa muonyeshe, na ionyeshe nchi na dunia kwamba una misimamo ya kweli na thabiti, you are authentic and principled

Toka hadharini upiganie kwa nguvu haki ya kusema ya Spika Ndugai hata kama yeye amewanyima wenzake haki hiyo

Unakaaje kimya kwenye suala zito la kitaifa kama hili la mhimili wa bunge kupigwa pini na Rais mwenye manguvu ya kimungu ? Unawezaje kukaa kimya?
Hii inaonyesha jinsi gani nchi ilivyo jaa majuha. Watanzania hamna kazi, hamjui mtakula nini kesho, inflation ya uchumi imepanda kika kitu bei juu na wala hamna mahali pa kulala, lakini katika mambo ya udaku kama huu Mh. Ndugai kila mmoja ni champion. Mnafurahia kiasi kwamba hamjui nini ni out come!

Huyo mama yenu naye kwa watu wenye mtazamo mpana wa siasa na uongozi ameonyesha udhaifu wake mkubwa na sio kitu cha busara. Yeye hajioni kama matendo anayo yafanya ni Double Standard?

Amempa mtu wizara nyeti ya Nishati wakati mtu huyo huyo alihusika katika sakata la kufanya jambo baya sana katika nchi kwa kutaka kumpindua au kumwangusha Rais aliyekuwa madarakani wakati ule hayati JPM na ambaye ndiye aliyekuwa bosi wake wakati yeye ni makam wa Rais. Kuna kitu kibaya kama hiki ambacho waziri wake wa Nishati Mh. Makamba amekifanya?

Spika wa Bunge kafanya nini hasa kikubwa ambacho leo hii mpaka Rais mkubwaa, mtawala wa nchi na mwenye mamlaka ya juu kabisa kwenye nchi likamfanya Spika wa Bunge letu tukufu Mh. Jobu Ndugai amtoe kafara?
Hili la kusema kuwa nchi itapigwa mnada kama tutaendelea kukopa? Mbona ni swala dogo sana na wala halina mashiko!

Kama kuna mambo mengine ambayo yanapikwa nyuma ya pazia hatuwezi jua lakini kwa maneno haya ya kuteleza, hapana, siwezi kukubaliana nayo hata kama hiyo kafara inaongozwa na Rais mwenyew!

Watanzania wenzangu ningewaona ni watu wenye akili kubwa kama mngejiuliza wenyewe, kwanini sisi pamoja na rasilimali zooote hizi tulizo nazo bado tunashindwa kuendelea? Badala ya kuendelea kuwa na mikopo isiyo pungua na kuwa na ukomo.

Jamani, watanzania wenzangu naomba tujiulize kitu kimoja, mnauhakika kweli tukiendelea kukopa hivi tutakuwa na uwezo wa kuwa na hakiba ya kuwa na pesa za kujiendesha wenyewe bila kuwa wategemezi wa mikopo kwa kila tutakalo panga kuliendeleza baadae?

Kila mmoja wetu anajua kuwa deni likiwa kubwa sana uwezo wetu wa kuzidi kukopa unapungua na vile vile uwezo wa kutekeleza baadhi ya projects za kimkakati huko mbeleni unapungua, kwani hela nyingi zitakuwa zinatumika kulipa mikopo iliyo iva badala ya kuzipeleka kwenye ku-finance hiyo miradi na kwenye kudumisha ustawi wa jamii.
Huduma za serikali za kugharimia elimu bure na afya nazo hupungua au kutokomea kama ilivyo kuwa kipindi cha hayati Rais Mkapa na Rais mstaafu Kikwete.

Kwa hali hii ningewaomba watanzania wenzangu kuwa makini sana na maneno mazuri ya wana siasa na wachumi wetu wanayo yatoa mitandaoni na majukwaani. Uhalisia wa mambo sio hivyo kama wanavyo wajaza.

Tusijilinganishe na nchi zilizo endelea kama Ujerumani na Japan. Hawa wakikopa wanajua kuwa nguvu kazi na skills za watu kwenye soscieties zao zita kuwa na uwezo wa kujikwamua kiteknolojia. Lakini kwenye nchi yetu kuna watu wenye skills gani ambazo zutatuwezesha sisi kuondokana na hayo madeni?

Zaidi ya hayo naomba niwaambie kitu kingine kuhusu miradi ambayo tunajivunia ya Bwawa la Nyerere na SGR. Je mmeangalia upande wa risk analysis ya miradi hiyo ikoje?

Bwawa la umeme kama tunavyo jua linategemea zaidi maji ya mto Rufiji ambayo kulingana na mabadiliko ya mazingira hatutaweza kuwa na uhakika kama yataendelea kutiririka milele bila kuwa na ukomo. Ukame uliotukuta mwaka jana nafikiri hamja sahau. Mara moja tumejikuta tuna uhaba wa maji ya mito ambayo yalisababisha mgawo wa umeme na upungufu wa maji DSM.

Vile vile kitu kikubwa zaidi ambacho hao wanasiasa na viongozi wetu hawatuambii ni msimamo wa EU na Amerika juu ya utekelezaji wa Bwawa hilo la Nyerere.

Nafikiri wengi wenu mtakuwa mmesha sahau tayari au pengine mmelichukulia hilo swala ki mzaa mzaa. Kumbukeni kuwa kutangazwa kujengwa kwa hilo bwawa na hayati Rais Magufuli Bunge la wajerumani (Bundestag) mara moja lilipitisha azimio la kufanya kila liwezekanalo kuzuia kujengwa kwa hilo bwawa. Naona wengi wenu hata viongozi wetu hawajalitilia maanani azimio hilo na pia hawawajui wazungu kwa misimamo yao.

Naomba niwakumbushe kitu; Wakati Lissu anaondoka nchini 2020 alisindikizwa na Balozi wa ujerumani mpaka Ujerumani na baadae akapelekwa Belgium. Mnajua kwanini? Naomba mjiulize Lissu ni nani haswa kwenye ulimwengu huu mpaka Balozi wa nchi kubwa na tajiri duniani kama Ujerumani imsindikize yeye?

Kama hamjui basi nawaomba mwelewe kuwa hiyo ndiyo strategy ya serikali ya Ujerumani kupitia EU kutaka kumsaidia Lissu awe Rais wa nchi yetu ili wazuie huo mradi na maendeleo yetu mengine.

Lissu yuko Belgium sio kwa sababu ya wabelgiji, wabelgiji hawana deal na sisi. Huo ni mpango wa serikali ya Ujerumani wakishirikiana na Uongozi wa EU kutaka kufanya sabotage ya uchumi na naendeleo yetu. Lissu mara kwa mara anakwenda ujerumani kukutana na viongozi wa serikli ya Ujerumani na kuwasiliana mara kwa mara na na Chair wa baraza la EU mnafikiri lengo ni lipi? Hivi ndivyo EU ilifamfanyia Tshisekedi pia Rais wa Kongo.
Nyie endeleaeni tu na mambo yenu ya kumtoa Spika Ndugai kafara!

Pia watanzania nawaomba kuweni makini sana na matukio mnayoyaona hivi sasa yanatokea kwenye kesi ya Mh. Mbowe. Mmejiuliza kwanini kwenye kesi yake mahakamani balozi za nchi za kigeni kama marekani na EU wanakwenda kusikiliza? Mbowe ni nani kwao?

Hiyo yote ni mipangilio ya plan yao kuifanya Tanzania iwe kama DRC. Ikumbukwe kwamba DRC na Tanzania ni nchi kubwa na zenye rasilimali nyingi sana Afrika na ambazo wao wanazitegemea kwa maendeleo yao. Watakuwa wajinga sana kama wataziacha rasilimali hizi zote tuzi-control sisi wenyewe kwa manufaa yetu bila wao ku dictate!

Wanachotaka ni mawili aidha kumweka mtu ambaye atafanya mambo kulingana na matakwa yao ili wao watuibie kama kipindi kile cha Rais Kikwete (Mkwere) au kuleta chaos ambayo itasabaisha hali kama ilivyo sasa DRC. Jamani, Tshisekedi naye pia ni mchongo wa EU, mbona watanzania mnakuwa wajinga kiasi hicho?

Mh. Ndugai sio mjinga kiasi hicho watanzania. Mama Samia anamatatizo mengine na chama chake kwa ajili ya umbile lake. Kuna watu huko hawako tayari kumwona yeye anaongoza nchi after 2025. Si mwenyewe amesema? Au hammwelewi?

Kuhusu SGR nayo ukiiangalia kwa makini, sijui kama itaunganishwa na DRC. Rwanda na Burundi hatuna shaka. DRC chini ya Tshisekedi iko kwenye minyororo ya EU ndugu zangu. Hivyo nyie watanzania hamwoni mambo yanayotokea huko kila mara vijana wetu tulio wapeleka kusaidia kuilinda hiyo nchi kwenye Mission ya UN dhidi ya magaidi, wanakuwa ni walengwa wa kuuawa na hao magaidi? Na kwanini vijana wetu tu na sio wa nchi nyingine ambao nao wako huko?

Namwomba sana Mama Samia kuacha kuwa na uhasama na Spika wa Bunge na kujaribu kutafuta ufumbuzi. Haileti picha nzuri kwa vijana wetu kuona au kusikia watu wazima na wenye mamlaka kama yao kulumbana kama watoto wadogo.

Wanawapa faida maadui zetu ambao mda wote wanasubiri na kutafuta njia za kutudhohofisha. Ulimwengu uko kwenye vita kubwa sana ya uchumi Mama kuliko hayo unayo yaendekeza. Spika alikwisha omba radhi kwa kutereza kwake, kwanini uendelee kumjeruhi mtu ambaye amesha kiri kuwa kafanya kosa? It makes no sense!
 
Ni watanzania na wajinga wengine wa North Korea, Iran, China, Russia , Venezuela, wanaamini kumpinga au kutofautiana kwa hoja mawazo au mtizamo na rais wa nchi ni makosa makubwa. Rais naye ni binadamu anakosea kama wanadamu wengine.
 
..wapinzani wametetea sana mihimili ya bunge, na mahakama.

..unless unataka " wanunue kesi " ktk valangati linaloendelea kati ya SSH vs JYN.

..mimi katika hilo nadhani haiwezekani kwasababu Spika ameshaeleza kwamba hakumpinga, na hapingani na Raisi.

..hoja yako ingekuwa na uzito kama Spika angekuwa hajaikana kauli yake ya mwanzo.
Ewaaaa!!!!,Upo sahihi kabisa Mkuu
 
Major yako umesema ushujaa Wake na utetezi Wake wa haki … kumpinga Rais . Akapigwa Risasi. Nani kampiga Risasi? Haki gani aliyokuwa anatetea.

Punguza upumbavu.
Wewe nawe, unajifanya hujui nani aliyempiga Lissu risasi??.Si ni Li Serikali lenu!!!,Maviii kabisa,unatetea uovu?. Ngoja siku huo uovu na ubaya ukurudie mwenyewe.Haya mambo ya siasa si ya kuchekana mwenzako anapopata shida, Ndugai alifurahia Sana unyama aliotendewa Lissu,Leo hii wale waliompa kichwa kwa kuminya haki za Lissu km vile kumnyima pesa ya matibabu,posho, Mshahara wamegeuka wanamsulubu.Ndugu yangu ishi ukimpendeza MUNGU na sio wanadamu.
 
Hii inaonyesha jinsi gani nchi ilivyo jaa majuha. Watanzania hamna kazi, hamjui mtakula nini kesho, inflation ya uchumi imepanda kika kitu bei juu na wala hamna mahali pa kulala, lakini katika mambo ya udaku kama huu Mh. Ndugai kila mmoja ni champion. Mnafurahia kiasi kwamba hamjui nini ni out come!

Huyo mama yenu naye kwa watu wenye mtazamo mpana wa siasa na uongozi ameonyesha udhaifu wake mkubwa na sio kitu cha busara. Yeye hajioni kama matendo anayo yafanya ni Double Standard?

Amempa mtu wizara nyeti ya Nishati wakati mtu huyo huyo alihusika katika sakata la kufanya jambo baya sana katika nchi kwa kutaka kumpindua au kumwangusha Rais aliyekuwa madarakani wakati ule hayati JPM na ambaye ndiye aliyekuwa bosi wake wakati yeye ni makam wa Rais. Kuna kitu kibaya kama hiki ambacho waziri wake wa Nishati Mh. Makamba amekifanya?

Spika wa Bunge kafanya nini hasa kikubwa ambacho leo hii mpaka Rais mkubwaa, mtawala wa nchi na mwenye mamlaka ya juu kabisa kwenye nchi likamfanya Spika wa Bunge letu tukufu Mh. Jobu Ndugai amtoe kafara?
Hili la kusema kuwa nchi itapigwa mnada kama tutaendelea kukopa? Mbona ni swala dogo sana na wala halina mashiko!

Kama kuna mambo mengine ambayo yanapikwa nyuma ya pazia hatuwezi jua lakini kwa maneno haya ya kuteleza, hapana, siwezi kukubaliana nayo hata kama hiyo kafara inaongozwa na Rais mwenyew!

Watanzania wenzangu ningewaona ni watu wenye akili kubwa kama mngejiuliza wenyewe, kwanini sisi pamoja na rasilimali zooote hizi tulizo nazo bado tunashindwa kuendelea? Badala ya kuendelea kuwa na mikopo isiyo pungua na kuwa na ukomo.

Jamani, watanzania wenzangu naomba tujiulize kitu kimoja, mnauhakika kweli tukiendelea kukopa hivi tutakuwa na uwezo wa kuwa na hakiba ya kuwa na pesa za kujiendesha wenyewe bila kuwa wategemezi wa mikopo kwa kila tutakalo panga kuliendeleza baadae?

Kila mmoja wetu anajua kuwa deni likiwa kubwa sana uwezo wetu wa kuzidi kukopa unapungua na vile vile uwezo wa kutekeleza baadhi ya projects za kimkakati huko mbeleni unapungua, kwani hela nyingi zitakuwa zinatumika kulipa mikopo iliyo iva badala ya kuzipeleka kwenye ku-finance hiyo miradi na kwenye kudumisha ustawi wa jamii.
Huduma za serikali za kugharimia elimu bure na afya nazo hupungua au kutokomea kama ilivyo kuwa kipindi cha hayati Rais Mkapa na Rais mstaafu Kikwete.

Kwa hali hii ningewaomba watanzania wenzangu kuwa makini sana na maneno mazuri ya wana siasa na wachumi wetu wanayo yatoa mitandaoni na majukwaani. Uhalisia wa mambo sio hivyo kama wanavyo wajaza.

Tusijilinganishe na nchi zilizo endelea kama Ujerumani na Japan. Hawa wakikopa wanajua kuwa nguvu kazi na skills za watu kwenye soscieties zao zita kuwa na uwezo wa kujikwamua kiteknolojia. Lakini kwenye nchi yetu kuna watu wenye skills gani ambazo zutatuwezesha sisi kuondokana na hayo madeni?

Zaidi ya hayo naomba niwaambie kitu kingine kuhusu miradi ambayo tunajivunia ya Bwawa la Nyerere na SGR. Je mmeangalia upande wa risk analysis ya miradi hiyo ikoje?

Bwawa la umeme kama tunavyo jua linategemea zaidi maji ya mto Rufiji ambayo kulingana na mabadiliko ya mazingira hatutaweza kuwa na uhakika kama yataendelea kutiririka milele bila kuwa na ukomo. Ukame uliotukuta mwaka jana nafikiri hamja sahau. Mara moja tumejikuta tuna uhaba wa maji ya mito ambayo yalisababisha mgawo wa umeme na upungufu wa maji DSM.

Vile vile kitu kikubwa zaidi ambacho hao wanasiasa na viongozi wetu hawatuambii ni msimamo wa EU na Amerika juu ya utekelezaji wa Bwawa hilo la Nyerere.

Nafikiri wengi wenu mtakuwa mmesha sahau tayari au pengine mmelichukulia hilo swala ki mzaa mzaa. Kumbukeni kuwa kutangazwa kujengwa kwa hilo bwawa na hayati Rais Magufuli Bunge la wajerumani (Bundestag) mara moja lilipitisha azimio la kufanya kila liwezekanalo kuzuia kujengwa kwa hilo bwawa. Naona wengi wenu hata viongozi wetu hawajalitilia maanani azimio hilo na pia hawawajui wazungu kwa misimamo yao.

Naomba niwakumbushe kitu; Wakati Lissu anaondoka nchini 2020 alisindikizwa na Balozi wa ujerumani mpaka Ujerumani na baadae akapelekwa Belgium. Mnajua kwanini? Naomba mjiulize Lissu ni nani haswa kwenye ulimwengu huu mpaka Balozi wa nchi kubwa na tajiri duniani kama Ujerumani imsindikize yeye?

Kama hamjui basi nawaomba mwelewe kuwa hiyo ndiyo strategy ya serikali ya Ujerumani kupitia EU kutaka kumsaidia Lissu awe Rais wa nchi yetu ili wazuie huo mradi na maendeleo yetu mengine.

Lissu yuko Belgium sio kwa sababu ya wabelgiji, wabelgiji hawana deal na sisi. Huo ni mpango wa serikali ya Ujerumani wakishirikiana na Uongozi wa EU kutaka kufanya sabotage ya uchumi na naendeleo yetu. Lissu mara kwa mara anakwenda ujerumani kukutana na viongozi wa serikli ya Ujerumani na kuwasiliana mara kwa mara na na Chair wa baraza la EU mnafikiri lengo ni lipi? Hivi ndivyo EU ilifamfanyia Tshisekedi pia Rais wa Kongo.
Nyie endeleaeni tu na mambo yenu ya kumtoa Spika Ndugai kafara!

Pia watanzania nawaomba kuweni makini sana na matukio mnayoyaona hivi sasa yanatokea kwenye kesi ya Mh. Mbowe. Mmejiuliza kwanini kwenye kesi yake mahakamani balozi za nchi za kigeni kama marekani na EU wanakwenda kusikiliza? Mbowe ni nani kwao?

Hiyo yote ni mipangilio ya plan yao kuifanya Tanzania iwe kama DRC. Ikumbukwe kwamba DRC na Tanzania ni nchi kubwa na zenye rasilimali nyingi sana Afrika na ambazo wao wanazitegemea kwa maendeleo yao. Watakuwa wajinga sana kama wataziacha rasilimali hizi zote tuzi-control sisi wenyewe kwa manufaa yetu bila wao ku dictate!

Wanachotaka ni mawili aidha kumweka mtu ambaye atafanya mambo kulingana na matakwa yao ili wao watuibie kama kipindi kile cha Rais Kikwete (Mkwere) au kuleta chaos ambayo itasabaisha hali kama ilivyo sasa DRC. Jamani, Tshisekedi naye pia ni mchongo wa EU, mbona watanzania mnakuwa wajinga kiasi hicho?

Mh. Ndugai sio mjinga kiasi hicho watanzania. Mama Samia anamatatizo mengine na chama chake kwa ajili ya umbile lake. Kuna watu huko hawako tayari kumwona yeye anaongoza nchi after 2025. Si mwenyewe amesema? Au hammwelewi?

Kuhusu SGR nayo ukiiangalia kwa makini, sijui kama itaunganishwa na DRC. Rwanda na Burundi hatuna shaka. DRC chini ya Tshisekedi iko kwenye minyororo ya EU ndugu zangu. Hivyo nyie watanzania hamwoni mambo yanayotokea huko kila mara vijana wetu tulio wapeleka kusaidia kuilinda hiyo nchi kwenye Mission ya UN dhidi ya magaidi, wanakuwa ni walengwa wa kuuawa na hao magaidi? Na kwanini vijana wetu tu na sio wa nchi nyingine ambao nao wako huko?

Namwomba sana Mama Samia kuacha kuwa na uhasama na Spika wa Bunge na kujaribu kutafuta ufumbuzi. Haileti picha nzuri kwa vijana wetu kuona au kusikia watu wazima na wenye mamlaka kama yao kulumbana kama watoto wadogo.

Wanawapa faida maadui zetu ambao mda wote wanasubiri na kutafuta njia za kutudhohofisha. Ulimwengu uko kwenye vita kubwa sana ya uchumi Mama kuliko hayo unayo yaendekeza. Spika alikwisha omba radhi kwa kutereza kwake, kwanini uendelee kumjeruhi mtu ambaye amesha kiri kuwa kafanya kosa? It makes no sense!

Sikubaliani na wewe kabisa. Naona unataka kumuangushia jumba bovu Lissu. Yani serikali ya CCM ikope halafu lawama apewe Lissu.

1. Hivi ulishawahi kujiuliza Lissu alifikaje ubelgiji?. Lissu alienda ubelgiji kwa matibabu baada ya kupigwa risasi. Alipigwa risasi kwenye nchi yake ili afe Mungu akamponya Leo unaleta stories kana kwamba Lissu alikimbia ubelgiji akiwa mzima. Hilo ulizungumzi Bali unazungumza kana kwamba Lissu alienda ubelgiji kwa matembezi wakati alienda akiwa mgonjwa.

2. Kuhusu mabalozi kuhudhuria kesi ya Mh Mbowe. Unatakiwa ujiulize ni nani aliyefungua kesi ya ugaidi na kwa lengo gani?. Juzi hapa kulikuwa na kelele za mbowe aombe msamaha kwa Rais, ili asamehewe lakini wapi?. Mabalozi kuhudhuria kesi Ni kujiridhisha na madai ya ugaidi Kama Ni kweli au la. Maana kuhudhuria kwao kesi hakubadilishi maamuzi ya mahakama.

3. Umedai EU wanataka kuihujumu Tanzania. Lakini je unafahamu EU Ni mdau mkubwa wa maendeleo wa Tanzania. Mikopo mingine na misaada mingi tumepata kutoka EU. Swali langu ni kwamba Kama EU analengo la kutuhujumu kwanini tunakopa kwao au kupokea misaada kutoka kwao.

4. Wewe binafsi unadai kuna shida kwenye mradi wa umeme wa Julius Nyerere kwamba hatujafanya upembuzi wa utoshelevu wa maji kwenye mto rufiji, na kwamba hakuna uhakika was maji kutoka milele. Lakini unakuja Tena na kudai nchi za ujerumani na ubelgiji zinatataka kuhujumu mradi wa umeme. Mkopo wa kujenga huo mradi unajua unatoka wapi? Ukijua usingesema unachosema.

5. Kuhusu Lissu kusindikizwa na balozi wa ujerumani uwanja wa ndege. Lazima utambue Lissu aliyopitia hapa nchini. Kwanza kapigwa risasi, pili kanyimwa matibabu, tatu kaondolewa kwenye ubunge , nne kufanyiwa vitimbi alipogombea urais wa Tanzania na tano polisi kugoma kufanya upelelezi wa jaribio la kumuua mpaka leo. Hivi ukiwa katika mazingira hayo Ni wapi salama pa kukimbilia?. Nyumbani kwenu hawakutaki kwanini usikimbilie kwa jirani. Lissu angekuwa hajafanyiwa yote matano Hapo juu na akakimbilia ubalozi wa ujerumani hata Mimi ningeshangaa.

6. Halafu mwisho, unadai serikali ya ubelgiji pamoja na ujerumani wanataka waifanye Tanzania Kama Congo. Unadai Wanataka kumuweka Lissu madarakani ili azuie miradi isiendelee. Naomba ujue kwamba serikali huwa Ina mpango ya miaka mitano, na mipango hii upitishwa na Bunge. Rais hawezi kutoka alikotoka akazuia mpango wa Taifa. Pia Tanzania haipati Rais kutoka jalalani, Bali kuna mfumo halali wa kumpata Rais ingawa saa zingine una madhaifu. Pia Kongo ni tofauti na Tanzania maana hakuna Vita vya wenyewe kwa wenyewe na system ya kuendesha nchi Ni tofauti.

Naomba nitoe ushauri, kwa Sasa vyombo vyote vya maamuzi vipo asilimia 98 Chini ya CCM kuanzia bunge mpaka halmashauri na wenyeviti wote wa mitaa na serikali. Nadhani kwa Sasa jicho letu tuelekeze kwao watuletee maendeleo na sio kuanza kutafuta watu wa kuwatupia lawama ambao hawapo kwenye vyombo vya maamuzi . Kuanza kumlaumu Lissu aliyepo nje ya system wakati wewe una mamlaka asilimia Mia ni kukuimbia majukumu.
 
Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman

Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the shoe is on the other foot

Sasa muonyeshe, na ionyeshe nchi na dunia kwamba una misimamo ya kweli na thabiti, you are authentic and principled

Toka hadharini upiganie kwa nguvu haki ya kusema ya Spika Ndugai hata kama yeye amewanyima wenzake haki hiyo

Unakaaje kimya kwenye suala zito la kitaifa kama hili la mhimili wa bunge kupigwa pini na Rais mwenye manguvu ya kimungu ? Unawezaje kukaa kimya?
Done
 
Sikubaliani na wewe kabisa. Naona unataka kumuangushia jumba bovu Lissu. Yani serikali ya CCM ikope halafu lawama apewe Lissu.

1. Hivi ulishawahi kujiuliza Lissu alifikaje ubelgiji?. Lissu alienda ubelgiji kwa matibabu baada ya kupigwa risasi. Alipigwa risasi kwenye nchi yake ili afe Mungu akamponya Leo unaleta stories kana kwamba Lissu alikimbia ubelgiji akiwa mzima. Hilo ulizungumzi Bali unazungumza kana kwamba Lissu alienda ubelgiji kwa matembezi wakati alienda akiwa mgonjwa.

2. Kuhusu mabalozi kuhudhuria kesi ya Mh Mbowe. Unatakiwa ujiulize ni nani aliyefungua kesi ya ugaidi na kwa lengo gani?. Juzi hapa kulikuwa na kelele za mbowe aombe msamaha kwa Rais, ili asamehewe lakini wapi?. Mabalozi kuhudhuria kesi Ni kujiridhisha na madai ya ugaidi Kama Ni kweli au la. Maana kuhudhuria kwao kesi hakubadilishi maamuzi ya mahakama.

3. Umedai EU wanataka kuihujumu Tanzania. Lakini je unafahamu EU Ni mdau mkubwa wa maendeleo wa Tanzania. Mikopo mingine na misaada mingi tumepata kutoka EU. Swali langu ni kwamba Kama EU analengo la kutuhujumu kwanini tunakopa kwao au kupokea misaada kutoka kwao.

4. Wewe binafsi unadai kuna shida kwenye mradi wa umeme wa Julius Nyerere kwamba hatujafanya upembuzi wa utoshelevu wa maji kwenye mto rufiji, na kwamba hakuna uhakika was maji kutoka milele. Lakini unakuja Tena na kudai nchi za ujerumani na ubelgiji zinatataka kuhujumu mradi wa umeme. Mkopo wa kujenga huo mradi unajua unatoka wapi? Ukijua usingesema unachosema.

5. Kuhusu Lissu kusindikizwa na balozi wa ujerumani uwanja wa ndege. Lazima utambue Lissu aliyopitia hapa nchini. Kwanza kapigwa risasi, pili kanyimwa matibabu, tatu kaondolewa kwenye ubunge , nne kufanyiwa vitimbi alipogombea urais wa Tanzania na tano polisi kugoma kufanya upelelezi wa jaribio la kumuua mpaka leo. Hivi ukiwa katika mazingira hayo Ni wapi salama pa kukimbilia?. Nyumbani kwenu hawakutaki kwanini usikimbilie kwa jirani. Lissu angekuwa hajafanyiwa yote matano Hapo juu na akakimbilia ubalozi wa ujerumani hata Mimi ningeshangaa.

6. Halafu mwisho, unadai serikali ya ubelgiji pamoja na ujerumani wanataka waifanye Tanzania Kama Congo. Unadai Wanataka kumuweka Lissu madarakani ili azuie miradi isiendelee. Naomba ujue kwamba serikali huwa Ina mpango ya miaka mitano, na mipango hii upitishwa na Bunge. Rais hawezi kutoka alikotoka akazuia mpango wa Taifa. Pia Tanzania haipati Rais kutoka jalalani, Bali kuna mfumo halali wa kumpata Rais ingawa saa zingine una madhaifu. Pia Kongo ni tofauti na Tanzania maana hakuna Vita vya wenyewe kwa wenyewe na system ya kuendesha nchi Ni tofauti.

Naomba nitoe ushauri, kwa Sasa vyombo vyote vya maamuzi vipo asilimia 98 Chini ya CCM kuanzia bunge mpaka halmashauri na wenyeviti wote wa mitaa na serikali. Nadhani kwa Sasa jicho letu tuelekeze kwao watuletee maendeleo na sio kuanza kutafuta watu wa kuwatupia lawama ambao hawapo kwenye vyombo vya maamuzi . Kuanza kumlaumu Lissu aliyepo nje ya system wakati wewe una mamlaka asilimia Mia ni kukuimbia majukumu.
Asante sana mkuu kwa mchango wako wa hoja. Nimeisoma yote na kukuelewa vizuri sana. Nimefurahishwa sana na mpangilio wako maelezo. Kwa leo nikuombe msamaha kuwa sitaweza jibu hoja yako kama ambavyo uli expect kwa sababu ya nafasi.

Kesho ijumaa nitakuwa na mda mzuri wa kuijengea hoja hoja yako. Nakusihi kuwa na subira. Asante tena in advance!
 
Sikubaliani na wewe kabisa. Naona unataka kumuangushia jumba bovu Lissu. Yani serikali ya CCM ikope halafu lawama apewe Lissu.

1. Hivi ulishawahi kujiuliza Lissu alifikaje ubelgiji?. Lissu alienda ubelgiji kwa matibabu baada ya kupigwa risasi. Alipigwa risasi kwenye nchi yake ili afe Mungu akamponya Leo unaleta stories kana kwamba Lissu alikimbia ubelgiji akiwa mzima. Hilo ulizungumzi Bali unazungumza kana kwamba Lissu alienda ubelgiji kwa matembezi wakati alienda akiwa mgonjwa.

2. Kuhusu mabalozi kuhudhuria kesi ya Mh Mbowe. Unatakiwa ujiulize ni nani aliyefungua kesi ya ugaidi na kwa lengo gani?. Juzi hapa kulikuwa na kelele za mbowe aombe msamaha kwa Rais, ili asamehewe lakini wapi?. Mabalozi kuhudhuria kesi Ni kujiridhisha na madai ya ugaidi Kama Ni kweli au la. Maana kuhudhuria kwao kesi hakubadilishi maamuzi ya mahakama.

3. Umedai EU wanataka kuihujumu Tanzania. Lakini je unafahamu EU Ni mdau mkubwa wa maendeleo wa Tanzania. Mikopo mingine na misaada mingi tumepata kutoka EU. Swali langu ni kwamba Kama EU analengo la kutuhujumu kwanini tunakopa kwao au kupokea misaada kutoka kwao.

4. Wewe binafsi unadai kuna shida kwenye mradi wa umeme wa Julius Nyerere kwamba hatujafanya upembuzi wa utoshelevu wa maji kwenye mto rufiji, na kwamba hakuna uhakika was maji kutoka milele. Lakini unakuja Tena na kudai nchi za ujerumani na ubelgiji zinatataka kuhujumu mradi wa umeme. Mkopo wa kujenga huo mradi unajua unatoka wapi? Ukijua usingesema unachosema.

5. Kuhusu Lissu kusindikizwa na balozi wa ujerumani uwanja wa ndege. Lazima utambue Lissu aliyopitia hapa nchini. Kwanza kapigwa risasi, pili kanyimwa matibabu, tatu kaondolewa kwenye ubunge , nne kufanyiwa vitimbi alipogombea urais wa Tanzania na tano polisi kugoma kufanya upelelezi wa jaribio la kumuua mpaka leo. Hivi ukiwa katika mazingira hayo Ni wapi salama pa kukimbilia?. Nyumbani kwenu hawakutaki kwanini usikimbilie kwa jirani. Lissu angekuwa hajafanyiwa yote matano Hapo juu na akakimbilia ubalozi wa ujerumani hata Mimi ningeshangaa.

6. Halafu mwisho, unadai serikali ya ubelgiji pamoja na ujerumani wanataka waifanye Tanzania Kama Congo. Unadai Wanataka kumuweka Lissu madarakani ili azuie miradi isiendelee. Naomba ujue kwamba serikali huwa Ina mpango ya miaka mitano, na mipango hii upitishwa na Bunge. Rais hawezi kutoka alikotoka akazuia mpango wa Taifa. Pia Tanzania haipati Rais kutoka jalalani, Bali kuna mfumo halali wa kumpata Rais ingawa saa zingine una madhaifu. Pia Kongo ni tofauti na Tanzania maana hakuna Vita vya wenyewe kwa wenyewe na system ya kuendesha nchi Ni tofauti.

Naomba nitoe ushauri, kwa Sasa vyombo vyote vya maamuzi vipo asilimia 98 Chini ya CCM kuanzia bunge mpaka halmashauri na wenyeviti wote wa mitaa na serikali. Nadhani kwa Sasa jicho letu tuelekeze kwao watuletee maendeleo na sio kuanza kutafuta watu wa kuwatupia lawama ambao hawapo kwenye vyombo vya maamuzi . Kuanza kumlaumu Lissu aliyepo nje ya system wakati wewe una mamlaka asilimia Mia ni kukuimbia majukumu.

Kwanza kabisa ningekuomba kutambua kuwa katika demokrasia haijalishi serikali imeundwa na Rais wa chama gani, serikali ni serikali, ni chombo ambacho kinampa Rais aliyechaguliwa na wananchi mamlaka ya kukitumia chombo hicho kuiongoza nchi.

Ndiyo nakubali kuwa Lissu alikwenda Ubelgiji kutibiwa baada ya kupigwa risasi na watu wasio julikana. Hayo mambo ya kuponywa na Mungu ningeomba kwa leo tuyaache kwanza maana ni kitu ambacho kinajulikana kuwa mtu anaweza akapata janga, liwe kama hili la kupigwa risasi, kupata ajali ya gari au kuugua ghafla na mengineyo na mwishowe akapona au kufa vile vile.

Bada ya kupona kwake tukaona mwenzetu ame anza pilika pilika za kusafiri nchi tofauti kubwa duniani na kufanya kampeni ya kumkandia na kumchafua Rais wetu mpendwa hayati Magufuli, ambaye alichaguliwa kidemokrasia na watanzania na mgombea wao ku-aknowledge, badala ya kurudi nyumbani kuja kuendelea na shughuli zake za kuleta maendeleo ya nchi.

Vitu kama hivi kwa kawaida havifanywi na watu wenye nia ya kuongoza nchi kwa kupata ridhaa ya wananchi anaotaka kuwaongoza, bali vinafanywa na watu ambao wanataka kujikwamua kutoka kwenye makucha ya wakandamizaji.
Jamaa nafikiri alishauriwa vibaya na alifikiri Tanzania ni nchi rahisi sana kutwaa madaraka kirahisi namna hiyo.

Sawa mbona hatukuwaona hao mabalozi wakilundikana mahakamani Kenya ambako pia kulikuwa na kesi kama hii ya ugaidi dhidi ya Alshabab?
Au kwanini hawakulundikani Ujerumani au Ufaransa ambako nako Kesi kama hizi za kigaidi zimekuwa zikisikilizwa mara kwa mara? Kwanini Tanzania?

Msomi, acha kelele za chura kumzui Tembo asinywe maji bwawani, wewe hujui strategies za mataifa yenye nguvu ya kibepari kama Amerika na mengineyo. Hiyo ni njia ya kutoa vitisho kwa serikali yetu ili isalim amri na kumwachia huru Mr. Mbowe ili waendelee na lengo lao la kuwa na usukani kwenye nchi yetu. Mbowe na chama chake CHADEMA kimewafungulia mlango waingie ili waweze kutu-control sisi. Kama hulitambui hilo shauri lako, lakini iko siku utakuja kunikumbuka kama watafanikiwa.

Umeshawahi kusikia kuwa French wanaingiza Dola Bilion 500 kila mwaka kutoka nchi wanazodai ni Francophone na kuwarudishia kiasi cha Dola bilioni 30 tu kama msaada? Ningekuomba kwenye swala hili la kimataifa juu ya terror na ukandamizwaji wa kiuchumi unaofanywa na nchi tajiri kama Amerika na nchi za EU, jiongeze kidogo naona bado hujapata knowledge na information ya kutosha kuhusu mipangilio yao juu ya mambo ya misaada na jinsi inavyo work. Mawazo na fikira zako ziko bado so local.

Kwa kuanzia naomba msikilize Dr. Arikana Chiombori Quao kwenye hizii clips mbili;

Sikiliza msomi wangu, kama una m-quote mtu basi naomba m-quote right. Mimi nimeuliza tu kama hiyo miradi tunayo jivunia tumeiangalia vizuri upande wa risk analysis zake na hasa bwawa la umeme la Nyerere. Unapo kwenda kuchukua mkopo wowote ule bank lazima wakifanyie assessment kipengele cha risk analysis ya concept na business plan ya project yako vinginevyo itakuwa vigumu kutoa hela zao.

Ndiyo, kama tunavyo jua Bwawa la Umeme la Nyerere linategemea zaidi maji ya mto Rufiji na hasa vyanzo vyake ambavyo kulingana na mabadiliko ya mazingira hatutaweza kuwa na uhakika kama yataendelea kutiririka milele bila kuwa na ukomo. Nasema hivi kwa sababu nakumbuka nilipoupanda Mlima kilimanjaro mwaka 1986 kwenye kituo cha Kibo (Kibo hut) wakati ule kilikuwa kimezungukwa na barafu kote, lakini nikiziangalia clips na pics za watu wanaopanda Mlima Kilimanjaro hivi sasa sioni barafu tena. Labda kidogo kwa mbali juu.

1641630205341.png

Hii ni picha ya Kibo Hut sasa

Hiyo inanipa shida kubwa kuamini kama maji ya mto Rufiji yataendelea hivyo hivyo kutiririka kama hivi sasa kwa mda mrefu mpaka tutakapo kuwa na uwezo wa kurudisha pesa za investiment tutakazo kuwa tumeziingiza kwenye project hiyo na kupata faida.

No, unasahau kuwa Lissu aliruhusiwa kuja nchini na akaendesha kampeni zake za kugombea u-Rais murua na hakuna lolote baya ambalo lilimtokea wakati wote wa kampeni? Na utakumbuka pia wakati wa kampeni mara nyingi alikuwa ana i-provoke serikali ili vyombo vya dola vimtie matatani na hivyo kutoa signal ulimwenguni kuwa serikali ya Magufuli ina wanyanyasa wapinzani na wao wachukue hatua dhidi ya Rais. Serikali ilibaki cool na kumpotezea.

Katika kampeni zake zote hakuna kitu chochote substancial alichokuwa anakihutubia kwa wananchi zaidi ya matusi, kashfa kwa Rais Magufuli na uongo mkubwa kama vile; juu ya kuuawa kwa maelfu ya watu huko kibiti ambao alishindwa kuthibitisha.
Watanzania walivyo kuwa na nyodo, wakampotezea tu. Amehangaika wee mpaka akachoka mwenyewe.

Kwenye matokeo akadai kuwa kura zilichakachuliwa, ni upuuzi na ujinga mtupu. Ndiyo hayo ya akina Trump,
ameshindwa kukubali kuwa ameshindwa kuwa-convince watanzania kumpigia kura na hawakujua kwa lipi wampe kura zao? Kukubali kushindwa hiyo ndiyo demokrasia yenyewe mnayo ipigia kelele.

Angalia mwenyewe hizi picha mbili za kupigwa risasi Lissu. Kwenye hiyo picha ya juu inaonyesha mguu wake wa kulia kwenye paja ndiyo umejeruhiwa vibaya sana. Sasa nikuulize swali kutokana na hizo picha, hivi Lissu alikaa upande gani kwenye gari lake? Na dereva wake upande gani wa gari?
Maana matobo au matundu ya risasi yaliyo haribu gari lake kwenye mlango na dirisha yanaonyesha upande wa kushoto wa hilo gari ndiko risasi zilimmiminikia, kama yeye mwenyewe anavyo sema. Sasa katika risasi zote 36 zilizo pigwa zililenga paja lake tu la kulia, wala kweye paja na bega la kushoto na kichwani hazikumfikia?

If that is the case, basi hiyo itakuwa Physics ya hali ya juu ambayo mimi katika maisha yangu ya masomo ya sayansi niliyo yapitia ndani na nje ya nchi sijawahi kusikia. Isitoshe aina ya silaha AK 47 Kalashnikov (picha ya tatu chini) ya mrusi ni deadly weapon ambayo kulingana na picha ya majeruhi sidhani kama huyo anaye tegemea kuwa Rais wenu angetoka salama na kutuonyesha majeruhi ya pajani. This is absurd!

Halafu kulingana na nature ya picha na nguvu ya silaha AK-47 dereva naye angetobolewa vibaya sana. Uelewe tu kuwa risasi kutoka kwenye hiyo silaha zinaingia na kutoka kwenye mwili wa binadam kamba butter.

Na kama risasi za hiyo weapon zingemwingia kwenye paja lake la kulia, kama anavyodai, basi wasinge toa risasi hata moja kutoka kwenye mwili wake, zote zingepita na kujeruhi mapaja yote mawili vibaya sana. Paja la kushoto ndiyo zaidi, kwani risasi zingetokea huko.

Tumia common sense yako na kipaji mungu amekupa ku-reason your self na sio kukubali tu kulishwa mantangu pori kwa vile CCM huipendi.

1641631768396.jpeg

Picha ya Lissu hospitalini

1641633678035.png

Picha ya gari la Lissun kuonyesha matundu ya risasi kwa karibu

1641637451310.png

Picha ya gari zima la Lissu

1641637043408.png

AK-47 Kalashnikov

Sijasema serikali ya Ubelgiji, nimemaanisha serikali ya Ujeruman na EU hata Amerika na UK kwa ujumla wake wangependa iwe hivyo, sio siri, lakini tu wanashindwa kwa sababu bado hawajapata entry point.

Ni kweli hakuna Rais ambaye anaweza kutoka alikotoka akaja kazuia mpango wa Taifa na ni kweli pia Tanzania haipati Rais kutoka jalalani, bali kuna mfumo halali wa kumpata Rais ingawa saa zingine una madhaifu, lakini hata hivyo naomba utambue kuwa ni kweli wanataka kumweka Lissu madarakani kinguvu, ili kwanza wao wenyewe wazuie miradi yetu ya naebdeleo isiendelee na sio Lissu halafu washike hatam ya ku-control upatikanaji wa natural resources zetu kwa maendeleo yao kirahisi.

Unajua katika ulimwengu wa leo Europe na baadhi ya nchi tajiri huko Asia na Amerika kwa asilimia kubwa bila natural resources kutoka Afrika hazitaweza maintain mfumo huu wa maisha walio nao sasa? Niambie kama Belgium ina dhahabu? Kama jibu ni sio, kwanini sasa dhahabu kubwa ipatikane Congo DRC, lakini soko kubwa la kubadilishana thamani liwe Beligium na sio Congo?

Sisi sio kwamba hatukatai kuwa na ushirikiano nao wa kibiashara, ila tunachota ni kuwa huo ushirikiano wa kibiashara uwe on the Winn Winn basis. Wao kitu kama hiki hawakitaki na wala hawataki ku-accept, kwasababu wanajiona wao ni superior na wana nguvu kubwa za kijeshi, kwa hali hiyo hawawezi wakawa sawa na sisi.

Mimi sio muumini wa CCM, ningetamani kuwa na vyama vyenye nguvu vya upinzani kama wakati ule wa Dr. Slaa. Lakini sasa kwa vile wapinzani na hasa Kamanda wako Lissu, Lema na wengine kuwa traitors, hiyo siikubali hata mara moja, kwani najua viongozi wowote duniani ambao wanasaidiwa na nchi tajiri za kigeni kuwa madarakani, lazima watafanya mambo kulingana na matakwa ya wale wanao wasaidia kifedha na kiulinzi. Na katika hali kama hii afazali tuendelee na CCM kuliko kuwa watumwa wa ukoloni mambo leo na kufanya mambo yanayo pangwa na kumletea faida beberu kupitia vibaraka.

Si unaona nchi nyingi zinavyo hathirika zenye traitors? Na kama Lissu na makamanda wengine wanataka kweli kuleta mabadiliko ya katiba basi wachukue mfano mzuri wa Wazambia. Rais mpya wa Zambia hakwenda kwa mabeberu na kumkandia Rais wao huko, alibaki nchini na kufanya mbinu za kuwashawishi wananchi juu ya hali halisi ya maisha na hali ilivyokuwa tete kidogo kwao walienda South Afrika na South Afrika sio nchi ya kibeberu kwa sasa, inatawaliwa na marafiki zetu, watu wa race yetu. Wanaotuelewa na sisi kuwaelewa.

Kwa siri yako tu, hakuna bunge ambalo liko kwa ajili ya maslahi ya maisha ya mtu wa chini. Kama mabunge ya nchi tajiri yanashindwa kutetea maslahi ya watu walio wachagua kwa kufanya kazi yake ipasavyo, sembuse mabunge ya nchi hizi zetu masikini? Kwani mipango ya miaka mitano ya serikali ndiyo msaafu ambao lazima utekelezeke hata kama umepitishwa na Bunge? Sielewi hiyo sentensi umeitoa wapi?

Ndiyo, Congo sio Tanzania, lakini hata Congo ilikuwa ina Rais shujaa ambaye naye alidhamiria, kama Ris wetu hayati Nyerere, kuleta umoja wa Wacongo. Wabelgiji na Waamerika walimuua na kumweka kibaraka wao Mobutu Seseko ambaye alitawala kwa mabavu na ukandamizaji wa watu wake kwa maslahi ya Mabeberu wake na baada ya kifo chake ndiyo unavyoona nchi imeingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Nasi tukimwacha kibaraka kama Lissu na wengineo wasaidiwe kushika Dola itatutokea hivyo hivyo, tutajikuta tunaingia kwenye mkumbo huo huo wa utawala, Believe me!

Lissu hata wapinga na akifanya hivyo watamtoa, aidha kwa kumuua au kwa kumwekea mizengwe ili wamweke mwingine, hizo ndiyo systems zao zilivyo za kutu-control sisi. Na mali asili zetu zikiisha wanatuacha na kuendeleza uovu wao kwingine!
Kama wao wanania kweli ya kusaidia waafrika si waende Tunisia wakawasidie wao. Si nchi ambayo ina demokrasia Afrika? Kwanini hawaendi huko? Kwa sababu Tunisia haina rasilimali kama nchi yetu, brother. Amka!

Nakusihi usiangalie tu siasa za Tanzania peke yake na kusikiliza BBC, CNN, DW na Al Jazeera. Hivi vyombo ni vyao na viko kwa madhumuni ya kupiga propaganda nzuri kuhusu nchi zao na mabaya kuhusu sisi. Hivyo vyombo haviko huru huko kwao vinatumikia serikali zao kwa maslahi ya nchi zao na watu wao sisi wanatudanganya tu.

Kwa vile bado nakuona hujawa matured kutambua mambo mabaya na mazuri ya dunia hii nimefurahishwa sana na kufarijika mno na hoja yako. Ningependa sana kukusaidia ili upate uelewa mkubwa wa kisiasa na uchumi wa dunia ili baadae mungu akikujalia uje kuwa kiongozi wetu mzuri ambaye atatukwamua sisi kutoka kwenye hii dilema ya maisha.

Ielewe history ya ancient Egypt na maendeleo ya ancient Egypt, historia ya influence ya Emperor Alexander The Great wa Ugiriki kwenye mfumo mzima wa maisha ya binadam duniani, kuenea kwa dini ya kiislam mpaka Europe, warumi na Ukristo, influence ya ukristo duniani na maendeleo ya wazungu Europe, Amerika, Asia na Afrika na angalia mfumo mzima wa kiuchumi wazungu walivyo pitia hasara walizo sababisha na faida waliyo ipata na kadhalika na kadhalika. Utagundua kitu tu, niamini!
 
Back
Top Bottom