wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,454
- 4,376
Kabadili gia angani......
Labda tayari wameshamnunua.... CCM sio wa mchezo mchezo...
Kabadili gia angani......
Endelea kumwabudu huyo baba yako Tundu!Maneno ya Tundu Lissu siku zote yanaonekana kuwa mepesi lakini kwa watu wenye uelewa watatambua kuwa Tundu Lissu hajawai kukosea katika comments zake. Huwa anaongea huku akifahamu fika impacts za kile anachokisema. Sasa usipokuwa makini unaweza kumwelewa kiwepesi wepesi tu wakati yeye akimaanisha matokeo makubwa mbeleni.
MUNGU AKUBARIKI TUNDU ANTIPAS LISSU
Ndio ilimpasa kifo? Ila ipo siku mtalipa amini haya mamnenoNani kakuaminisha kuwa Tundu ni msemakweli? Huyo ni vuvuzela hata ukoo wake wanamjua hivyo!
Nenda kasome Biblia hukumu ya MSALITI ni nini?Ndio ilimpasa kifo? Ila ipo siku mtalipa amini haya mamneno
Then ataomba mahakama impe ulinzi. Polisi wataamlishwa na mahakama kumlinda then anakuja na kupokelewa na maua..
Tulijua tangia siku nyingi kwamba harudi. Ni baada ya kutemwa na mabwana zake. Hawana kazi naye tena! Kwa akili zake nilifikiri Lissu anayajua hayo. To them- he is a toilet tissue. He was used now discarded, he is in a bad situation than Mr. Kambona.Aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Mwanasheria Tundu Lissu amesema hatorudi Tanzania hadi apate uhakika wa usalama wake
Hiyo ni zaidi ya ibada.Endelea kumwabudu huyo baba yako Tundu!
Mbona Diamond platnumz anajeshi lake side nayeye aombe wale red brigade was mbowe wamlinde nayeye,Aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Mwanasheria Tundu Lissu amesema hatorudi Tanzania hadi apate uhakika wa usalama wake
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.
Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.
Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo
Kuna neno kaongea Lissu akijibu swali lakini praise team hawalitafakari wao wanaliona ni LA kawaida.Serikali ndio mtuhumiwa wa kwanza katika shambulio lake, na huo ndio ukweli Daima.
Kwa sasa mahakama yapo mfukoni mwa serikali, hili halina ubishi.
Hakuna cha kuhakikishiwa usalama. Uamuzi alioufanya ni wa busara.
Tusubiri mahakama(ambayo ipo mfukoni mwa serikali) itachukua hatua gani kuhusu kesi zake.
Msaliti ambaye anastahili adahabu ni huyu anayejimwambafai hadi kuona anastahili kuongoza malaika wa Mungu!Nenda kasome Biblia hukumu ya MSALITI ni nini?
amechukuwa uhamuzi wa busara sana, kuna kiongozi mstaafu pia amemshauri kwasasa asirejee had uyu baba amalize muda wake mwakaniHakuna mtu mwingine yeyote atakayehoji uamzi huo. Huo ni uamzi unaomhusu Tundu Lissu mwenyewe, familia yake na ushauri toka kwa ndugu na marafiki wa karibu zaidi naye wanaojali zaidi maslahi yake binafsi na mipango ya maisha yake atakavyo yawe.
Sidhani kwamba kuna mtu anaweza kuhoji uamzi wa namna hiyo.