Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

Anaona aibu...baada ya kututakia mabaya watanzania eti tususiwe kisiasa, kiuchumi, kidiplomasia na kadhalika...lakini kwa sasa Watanzania tuna dunda, mikakati yetu mingi inatekelezeka...miradi ya maendeleo imeshika kasi usimamizi wa miradi hiyo ni wa kuridhisha...!! Kwa nini asione aibu kurudi...!?
 
Inawezekana huwa mnachagua ya kusikia na kuyasemea ambayo yanatukuza upumbavu wenu! Nani mwenye dhamana ya kulinda raia? Unauliza nani wa kumhakikishia usalama wakati yeye amemtaja!!! Amesema hawezi kuwa rais daima, hii sentensi inamaana gani?
Haki Lisu akirudi Mbowe anammalizia.
 
Nani amhakikishie?

Chama chake au vyombo vya ulinzi asivyokuwa na imani navyo?

Zile kauli za "Narudi nyumbani kupambana" naona zimeisha,sasa anaongea uhalisia.
Vyombo hivi hivi vya Mambosasa na Siro?
Vipi walishampata mtekaji wa Mo dewji mwenye plate number za msumbuji, raia wa kigeni?

Kama ulimaanisha vyombo kwa maana ya sahani na bakuli, hapo nitakuwa nimekuelewa.
 
Nasikia baada ya wewe kukosea shabaha kwa kumpiga miguuni badala ya kifuani uliteswa sana na walio kutuma
Nasikia ameulizia kama wewe bado upo chadema basi yeye hawezi kurudi maana chemistry yako na Mbowe ni hatari kwa mustakabali wa maisha yake!
 
Mungu ni mkubwa,kutupa nchi ambayo mtu anauwawa mbele ya watu hakuna kuhoji hata viongozi wa dini kimyaaa.
 
Ndugu zangu,

Kumekuwa na dhana ambayo Tundu Lissu anaaminisha watu kuwa hawezi kurudi hadi ''serikali imuhakikishie usalama wake''. Ninamshauri awe mkweli, kuna msemo unasema ''uongo husafiri nusu ya safari wakati ukweli unavaa viatu...lakini mwishowe ukweli unafika kabla ya uongo''.

Waambie tu kwa sasa umepata kazi nzuri na yenye maslahi ambayo inakuwezesha kuishi na kusomesha watoto wako huko ughaibuni. waambie punde watoto wako watakapokuwa na uwezo wa kuishi wenyewe ughaibuni ndipo utarudi kwani sasa hivi bado wadogo wanasoma shule za msingi na sekondari.

Endelea kupiga box ila weka wazi kuwa bado upo huko kwa ajili ya kiuchumi zaidi, wewe si Mtanzania wa kwanza kuishi ughaibuni pale fursa inapojitokeza.

Nikutakie maisha memo huko ughaibuni.
 
Bila kusikia kauli ya mkuu "harudi ng'o"

anategea mkuu atangaze msamaha ndipo

nae apenye humo humo,sema bahati nzuri

bahati haibishagi hodi,huwa inakuja tu VUP.
 
Back
Top Bottom