Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,797
- 71,216
Hapa ndio utaona tofauti yao, Lissu hahangaiki na MTU yeye yuko kikazi zaidi na nje ya kazi Hakuna chuki.
Sasa angalia wote wanao pambana naye attacks zao ni personal kabisa na ndio maana wakiishiwa hoja wanatumia risasi
Sent using Jamii Forums mobile app