ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,554
- 3,749
Kushirikiana na anaye kunywa damu ya watu inataka ujiulize kweli!
Mwenyewe Tundu Lissu amesema hana tatizo na Magufuli lakini ana tatizo na Rais Magufuli, (taasisi ya Uraisi.)
Kama ni hivyo ndio ukweli muafaka unaweza kupatikana. Ikumbukwe matatizo yote, mwisho wa siku yanatatuliwa mezani, kwenye maongezi.