Tundu Lissu: Sina shida na John Magufuli, nina tatizo na Rais Magufuli

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,211
2,000
Tundu Lissu anatoa somo muhimu kwetu hasa kwa mtaa wa Lumumba kuwa na mawazo huru kuweza kufikiri, kuhoji, kukosoa viongozi wa CCM na mfumo wao batili wa kiutawala. Na pia Tundu Lissu kuendeleza utamaduni wa kiongozi kuwa tayari kuhojiwa na media maswali magumu ni mfano mzuri unaotakiwa CCM kuuenzi badala ya kuukimbia.
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,211
2,000
14 Feb 2019
Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu alifanya mahojiano marefu na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production ndani ya Kilimanjaro Studios. Karibu ufuatilie mahojiano yote hapa
Source : Mutwiba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom