Tundu Lissu: Sielewi kwanini Ngeleja hajakamatwa na Polisi

Teh teh....hilo nalo ni kweli.

Wapinzani wa Tanzania hawana msimamo kabisa.
Hivi kweli mnajua mnachokijadili? Mnataka msimamo upi tena ?wapinzani wa serikali hii msimamo wao uko wazi watapinga na kulipigia kelele jambo lolote lile litakalofanywa na serikali au kiongizu mkuu wa serikali yetu endapo wataona linakwenda kinyume cha utaratibu kanuni sheria au la hovyo!
Na hawajaacha kufabya hivyo kwa umoja wao au kwa ntu mmoja mmoja na kwa msimamo wao huo ndio unawakuta wakiwa katika ulingo wa mahakama mara kadhaa na wengine wakiwa mahabusu au jela refer H. Mdee,Lema,Kubenea,TL,Lijua Kali na wengine wakiwa ahera mfano Kasim Hanga na wenzake na wengine siwataji maana mnawajua.
Jwa misimao yao wengine mali zao ay buashara zao kuhujumiwa siwataji !kwa misimamo yao wengine huzushiwa si raia !siwataji!jwa misimamo yao wengine huzushiwa kujigusisha na mambo ya hatari pia rejea suala la CUF na ugaidi kipindi cha mkapa!
Wapinzani wana msimamo shida ni kwamva nyie hamjui rangi zote za misimamo kwenu nyie msimamo muwaone barabarani wakiandamana mupate kuwadhuru!
Siku hizi tunaandamana mitandaobi ndio maana mmeanzisha sheria za hovyo za mitandao!


Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
katika mazingira ya mjadala wetu burden of proof inaegemea kwako kwa maana me nimewasilisha hoja kwamba lile jengo cdm wamepanga na sio lao then wewe ukapinga kwa hyo ulipaswa utuambie kwann unapinga tena kwa kuthibitisha pasi na shaka kwamba mimi napotosha

then our second concern ikawa ni je lile jengo bila kujali linamilikiwa au limekodishwa je linaakisi hadhi na uwezo wa kifedha wa chama chako?
duh mkuu ulisoma wapi sheria inayosema hivo??? yaani mtu akisema magufuli sio mtanzania inatakiwa magufuli ndio alete ushahidi kuwa ni mtanzania????

hahahahhahahahaha hii nchi bwana wakati wewe mwenyewe pamputi kwenye ule uzi wa pacal mayalla kuhusu uhalali wa elimu ya mkuu wa mkoa wa mkoa flani aliposhutumiwa kuwa kafoji cheti wwe ndio ulitaka kina gwajima wathibitishe ssa iweje sahvi hutaki tena anayetuhumu athibitishe unataka anayetuhumiwa ndio athibitishe hahahahhahahahahahahaa hii nchi bwana afu unakuta na wwe una PHD na una familia yenye mke na watoto

kuhusu hadhi waliolinunua ndio waliona sababu gani walichukua?? sometimes location za makao makuu huwa zipo kimkakati na mipango ya kichama ya muda mrefu ambayo hyo mikakati mmi na wwe hatuijui hivyo shida inaweza kuwa jengo kwako ila kwao wanaweza ona pale walipo kupo strategic either kiulinzi,kusaka wafuasi, utulivu n.k hivyo usiangalie factor moja tu ALL IN ALL KWA WAO WANAONA NI HADHI YA CHAMA HIVYO HESHIM MAWAZO YAO

ni hayo tu
 
CHADEMA MENGINE MUYAACHAGE YAPITE HADI MWISHO KITENDO CHA KILA JAMBO KULIKURUPUKIA NDIO KUNAONESHA HAMNA MNACHOFIKIRI ILA MNASUBIRI KUTAZAMIA.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
mkuu naomba niweke rekodi sawa kwamba moja ya kazi kubwa ya upinzani inatakiwa kuwa kioo cha serikali iliopo yaani MUANGALIZI ikiwa ni kwamba serikali ikikosea imwambie serikali ikipatia pia imwambie hivyo kwa kila jamba ambalo serikali inalifanya ni lazma upinzani uonyeshe maoni yao,ushauri wao,mtazamo wao na ndio maana vikaitwa SERIKALI MBADALA na ndio maana utaskia mawaziri kivuli au bajeti kivuli hivyo hii hoja ya kusema wanakurupuka sijui kudandia hoja sioni kma ina tija kabisa maana ndio upinzani wenyewe mfano hta ukienda marekani kauli yoyote ya trump huwa democrats wanaitisha press conference ndio sembuse kitendo kma cha jana cha ufisadi wa wazi wazi??? hapana hapana kma kutoa hoja mbadala ndio kunaitwa uropokaji basi naomba wapinzani wote wakiwemo chadema na kina mtatiro waendelee kuropoka wanamageuzi tupo nyuma yao
 
hajaongea kingereza kibovu popote pale zaidi amesahau KIUNGANISHI

hana imani na polisi kabisa ila ameshangaa kwamba kama waliweza mkamata seth na ruge basi kwa spidi ile ile wangemkamata na huyu fisadi ngeleja !!!

pia acha upotoshaji lisu amemsifia sana magufuli kwenye issue ya Escrow hta aliweka uzi hapa JF kusifia hatua ile ya kuwakamata mafisadi ana akaomba aende mbali zaidi kwa kuwakamata wale wote waliohusika na ufisadi huuu

kingine lisu sio mropokaji ila yye ni mpinzani hivyo lazima awe pro active kwa kila kinachofanywa na serikali na hii ndio biggest role ya opposition kwenye nchi yoyote hta civics ya form 2 inafundisha hivo sasa mlitaka akae kimya alafu ndio kuna faida gani ya upinzani kuwepo???

ni hayo tu
Point
Kesho sjui zamu Ya nani itakuwa!

OvA


Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hawezi kuongea kama mwanasheria anyetafsiri vifungu vya sheria ile ya utakatishaji fedha??? ama kaacha kuwa wakili cku hizi !funny

anyway unayesema amechuja lazma ujue wasomi wenzake wamekubali awaongoze tena kwa landslide ssa sijui wwe ndio umechuja kimawazo au lisu!!! mwenzio yupo on top na wwe unajua hilo chuki zako hazisaidii lolote maana hta maccm wenzio wanajua uwezo wake

Lissu anaongozwa na itikadi za uchadema...hana lolote kwa sasa.
 
list of shame

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Hivi mjibiwe mara ngapi?? mtu aliitwa fisadi kwa kuwa alikuwemo kwenye top cream ya serikali ya ccm saa baada ya muda kupita almost miaka 10 na ikaonekana dhahiri shahiri kuwa anayefanya ufisadi wote huu ni mzee wa msoga ambaye hta yye alikiri kuwa lowasa alipata ajali ya kisiasa tu sasa je mlitaka wapinzani waendelee kumuita fisadi??? lowasa personally amekana kuhusika and so far hakuna mtu serikalini amaepinga hoja ya lowasa ssa kwa mazingira hayo hivi mlitaka lisu afanyeje hasa??
 
Mbona nyingi sana? Au mahaba Yako kwake yanakufunga macho?
Acheni uchama mwanaccm mwenzenu ole sendeka BMK alisema wazi kabisa lisu alifaa kuwa waziri wa sheria au AG pia hta critic mkubwa wa upinzani lusinde mbunge wa mtera kwenye usiku wa kujadili muswada wa cybercrime alisema anatamani sana mtoto wake aje asome sheria maana lisu amekuwa role model wake bungeni na alimuita "mzalendo" ssa wwe ni nani umuone lisu hafai??? hta nape pamoja na matusi yote owa upinzani huwa anakubali kuwa lisu ni muhim kwenye siasa za nchi hii na alienda mbali na kusema asikilizwe kwenye hoja juu ya madini kuliko kubezwa

ssa kma hao top cream wa ccm bungeni wanamkubali who the hell are you???? acheni uchama kwenye ukweli mseme ukweli lisu kosa lake ni njia anayotumia tu kufkisha hoja yaani jazba na hasira ila zaidi ya hapo hakuna mbunge wa ccm anayemfikia kwa kuleta hoja makini labda bashe tu
 
Back
Top Bottom