Tundu Lissu rudi jimboni tuonee huruma wananchi

Mimi naomba mniunganishe kwenye hiyo timu ya kuwachafua Mbowe na Lissu, ila mniambie kwanza tunalipwa Tsh. ngapi kwa siku.

Mimi pia naweza kutunga hoja za uongo ili tuwakomeshe hao Chadema.

HAPA UNAFIKI TU. maendeleo peleka Ulaya.
 
Kuna mbunge mmoja anaitwa Peter Serukamba wa chama chetu pendwa cha kijani toka alipochaguliwa hajawahi kuonekana jimboni kwake hata mara moja!!
 
Najiuliza lakini sipati jibu kabisa, ivi alikuwa anatafuta nini na kwa maslahi ya nani kutoka kwa Johnson mwanyika( ex-attorney General) ?

Sio huyo wewe wacha kukariri. Ni Deo Mwanyika! Na kutafuta data sio kosa la jinai. Huyu Mwanyika ameona mambo yanamlalia anajikomba kwa JPM.

5R5A4674.jpg
 
Kwani majimbo yanayongozwa na wabunge wa ccm yana maendeleo gani? Wengine si tuliambiwa wanakula viwavi! Kabla ya Lisu jimbo hilo lilikuwa linaongozwa na mtu wa ccm kwa miaka mingi! Acheni kelele nchi hii ilishadumazwa na uongozi wa ccm!
duh! akili ya ajabu kabisa, yaani wananchi wa singida mashariki hawana haki ya kumkumbusha mbunge wao, juu ya maendeleo ya jimbo lao kwa sababu eti majimbo mengine ya ccm nayo hayafanyi vizuri!
Ukienda na akili hii kiukweli wimbo wa `tumeibiwa kura' itabidi muutaftie `beats' maana utakuwa ni wa milele.
 
TUNDU LISSU mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Rais wa Chama cha wanasheria TLS, mwanasheria Mkuu wa Chadema, Wakili wa kujitegemea hana uwezo wa kuhamasisha maendeleo ndani ya Jimbo Lake hata ujenzi wa Choo kimoja, Mara zote wajibu wa kiongozi ni kuonyesha njia kwa Wale unawaongoza, kuonyesha njia na kuifuata njia hiyo kwa kushirikiana na wananchi wako kujiletea maendeleo.

Kwa Wale wanaofutilia kwa karibu siasa za Wilaya ya Ikungi yenye Majimbo mawili yaani Singida Mashariki na Singida Magharibi wanaujua huu ukweli, Lissu amezidiwa mbali na Elibariki Kingu Mbunge wa Singida Magharibi kwenye suala la Maendeleo ya wananchi, Lissu ni tajiri na Mwenye Mapato makubwa na umaarufu mkubwa lakini yote hayo hayana faida kwa wapiga kura wake, Yeye ni mtetezi wa chama, mfia chama, mnazi wa chama na mtumwa kwa chama chake tu.

Tangu aingie Bungeni 2010 hadi leo hakuna la Maana alilofanya Jimboni au alilololianzisha kwa ajili ya Maendeleo Jimboni kwake, hayuko karibu na wananchi, hatembelei jimbo Lake na kukaa na wananchi kupanga mipango ya Maendeleo, yeye huwa anaenda Ikungi anafanya mkutano analalamika weee anaondoka kurudi Dar es salaam. Hata darasa likiezuliwa na upepo yeye anaamini Serikali itafanya hana mpango wa kufanya wala kuhangaisha kichwa chake kuhakikisha darasa lililoezuliwa na upepo linarekebishwa.

Huyo ndio Rais Tundu Lissu , vyeo kibao lakini havina msaada kwa wapiga kura wake.
UKIMWANGALIA HARAKA HARAKA tUNDU lISU UNAWEZA KUSEMA NI NGULI WA SHERIA tANZANIA,LAKINI UKIJA KATIKA UHALISIA UNAONA NI MTU WA UJANJA UJANJA TU KAMA AMBAVYO KIPINDI CHA NYUMA MAKARANI NA WAZEE WA MAHAKAMA WALIVYOKUWA WANAKUBALIKA KATIKA JAMII KUWA WANASHERIA
 
TUNDU LISSU mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Rais wa Chama cha wanasheria TLS, mwanasheria Mkuu wa Chadema, Wakili wa kujitegemea hana uwezo wa kuhamasisha maendeleo ndani ya Jimbo Lake hata ujenzi wa Choo kimoja, Mara zote wajibu wa kiongozi ni kuonyesha njia kwa Wale unawaongoza, kuonyesha njia na kuifuata njia hiyo kwa kushirikiana na wananchi wako kujiletea maendeleo.

Kwa Wale wanaofutilia kwa karibu siasa za Wilaya ya Ikungi yenye Majimbo mawili yaani Singida Mashariki na Singida Magharibi wanaujua huu ukweli, Lissu amezidiwa mbali na Elibariki Kingu Mbunge wa Singida Magharibi kwenye suala la Maendeleo ya wananchi, Lissu ni tajiri na Mwenye Mapato makubwa na umaarufu mkubwa lakini yote hayo hayana faida kwa wapiga kura wake, Yeye ni mtetezi wa chama, mfia chama, mnazi wa chama na mtumwa kwa chama chake tu.

Tangu aingie Bungeni 2010 hadi leo hakuna la Maana alilofanya Jimboni au alilololianzisha kwa ajili ya Maendeleo Jimboni kwake, hayuko karibu na wananchi, hatembelei jimbo Lake na kukaa na wananchi kupanga mipango ya Maendeleo, yeye huwa anaenda Ikungi anafanya mkutano analalamika weee anaondoka kurudi Dar es salaam. Hata darasa likiezuliwa na upepo yeye anaamini Serikali itafanya hana mpango wa kufanya wala kuhangaisha kichwa chake kuhakikisha darasa lililoezuliwa na upepo linarekebishwa.

Huyo ndio Rais Tundu Lissu , vyeo kibao lakini havina msaada kwa wapiga kura wake.
Hivi umeshawahi kufika jimbo la Mtera wewe?
 
Wakili wa kujitegemea hana uwezo wa kuhamasisha maendeleo ndani ya Jimbo Lake
Kama ameweza kuwabwaga CCM awamu zote mbili na kupewa uchifu na wananchi wake ujue kuwa wananchi wameridhika na utendeji wake hizo zingine ni mbwembwe za kutoka Lumumba.
 
WEWE
TUNDU LISSU mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Rais wa Chama cha wanasheria TLS, mwanasheria Mkuu wa Chadema, Wakili wa kujitegemea hana uwezo wa kuhamasisha maendeleo ndani ya Jimbo Lake hata ujenzi wa Choo kimoja, Mara zote wajibu wa kiongozi ni kuonyesha njia kwa Wale unawaongoza, kuonyesha njia na kuifuata njia hiyo kwa kushirikiana na wananchi wako kujiletea maendeleo.

Kwa Wale wanaofutilia kwa karibu siasa za Wilaya ya Ikungi yenye Majimbo mawili yaani Singida Mashariki na Singida Magharibi wanaujua huu ukweli, Lissu amezidiwa mbali na Elibariki Kingu Mbunge wa Singida Magharibi kwenye suala la Maendeleo ya wananchi, Lissu ni tajiri na Mwenye Mapato makubwa na umaarufu mkubwa lakini yote hayo hayana faida kwa wapiga kura wake, Yeye ni mtetezi wa chama, mfia chama, mnazi wa chama na mtumwa kwa chama chake tu.

Tangu aingie Bungeni 2010 hadi leo hakuna la Maana alilofanya Jimboni au alilololianzisha kwa ajili ya Maendeleo Jimboni kwake, hayuko karibu na wananchi, hatembelei jimbo Lake na kukaa na wananchi kupanga mipango ya Maendeleo, yeye huwa anaenda Ikungi anafanya mkutano analalamika weee anaondoka kurudi Dar es salaam. Hata darasa likiezuliwa na upepo yeye anaamini Serikali itafanya hana mpango wa kufanya wala kuhangaisha kichwa chake kuhakikisha darasa lililoezuliwa na upepo linarekebishwa.

Huyo ndio Rais Tundu Lissu , vyeo kibao lakini havina msaada kwa wapiga kura wake.
WEWE UMETUMWA SIO BURE
 
kweli ukiwa Chama Cha Ma-nzii lazima ujitoe ufahamu....hamna asieelewa fitna zinazofanywa kwa majimbo ya upinzan ili waonekane hawafanyi kazi...kama imefikia hatua ya kuzuia wapinzan wasiongee hata majimbon kwao...sembuse kupewa hela za maendeleo.....NCHI HII HAIWEZ KUENDELEA CCM ikiwa madarakani NEVER
 
Kanyunyu: Kwa hiyo kwa ufahamu wako kazi ya mbunge ni kuwajengea wananchi vyoo na kurekebisha mapaa ya nyumba za wananchi yaliyoezuliwa na upepo?
 
Back
Top Bottom