Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Ratiba ya kampeni visiwani Zanzibar - Sept 7, 2020

7 September 2020
Unguja, Zanzibar

Tundu Lissu : Uvamizi wa CCM lazima udhibitiwe mwaka huu

Live kutoka uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja, mgombea wa urais Tundu Lissu azungumza na waZanzibari na waTanganyika

 
Lissu kiboko
Ccm hawalali nadhani
Ameongea point tupu kuwa waangalie nani mwenye ushawishi wa kuing’oa ccm
Aisee kungekuwa na Lissu Kumi hii nchi tungekuwa mbali mno jamani
 
Hivi kwanini wao wanaenda Zanzibar ila wa Zanzibar hawaji kunadi kura huku?
kwa sababu sisi wa bara hatuwapigii wagombea wa Zanzibar na wanzanzibar hawapigii kura wagombea wa bara isipokuwa kwa wagombea urais tu wa Muungano
 
Historia ya Marais wote wa Zanzibar kuteuliwa na CCM Tanzania bara

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom