Yeye alisema acacia walikuwa sahihi kufanya wanachokifanya na tulikuwa tunatafuta matatizo kuwazuia kusafirisha makinikia. sasa ikawaje acacia wakakubali kutoa hizo usd 300m?..baada ya yale madai ya usd 191 billion acacia walifungua kesi dhidi ya serikali.
..kesi hiyo iliondolewa mahakamani baada ya serikali kusalimu amri kwa kukubali kishika uchumba cha usd 300 million, na barrick kukubali kuwanunua minority share holders.