Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anasema hatutashitakiwa, kwa mwaka 2020 pekee makampuni matatu yametushitaki kwenye mahakama za kimataifa

Yes. Yeye anatetea haki......

Mfano mkurupukaji jiwe anafanya mambo ya hovyo kwann wasimtumiw nguli wa sheria Bwana Lissu?????
Na kwakuwa yeye mh Lissu anawajua hao jamaa jinsi ya kucheza nao mahakamani
 
Nchi nyingi zilizo/zinazo (kuwa/tumia) mfumo wa Ujama ni ngumu sana kuachia Dola walioitafuta kwa jasho la kutokomeza ukoloni.
Ili kuipata Dola ni lazima muungane nao ili kueneza itikadi zenu za kizalendo (mjifanye nanyi ni wajamaa), ingawa ni vigumu kupitia huko na kuja kuwa bepari.
Ni kweli hali ya maisha ni ngumu, kinachofanya maisha yanakuwa na nafuu kidogo ni kwasababu ya kuishi kijamaa.
Nchi hii ili iendelee ni lazima kung'oa mizizi ya ukoloni mamboleo na kuwa kitu kimoja katika ujenzi na keki ya Taifa.
Sipingi mfumo wa vyama vingi lakini napinga mtindo wanaoutumia kushika Dola.
Basi itakubidi uwe mvumilivu mkuu maana tayari nchi inaenda kukabidhiwa kwa wapinzani wa ccm.
 
Nchi nyingi zilizo/zinazo (kuwa/tumia) mfumo wa Ujama ni ngumu sana kuachia Dola walioitafuta kwa jasho la kutokomeza ukoloni.
Ili kuipata Dola ni lazima muungane nao ili kueneza itikadi zenu za kizalendo (mjifanye nanyi ni wajamaa), ingawa ni vigumu kupitia huko na kuja kuwa bepari.
Ni kweli hali ya maisha ni ngumu, kinachofanya maisha yanakuwa na nafuu kidogo ni kwasababu ya kuishi kijamaa.
Nchi hii ili iendelee ni lazima kung'oa mizizi ya ukoloni mamboleo na kuwa kitu kimoja katika ujenzi na keki ya Taifa.
Sipingi mfumo wa vyama vingi lakini napinga mtindo wanaoutumia kushika Dola.
U communist haujawahi kutoa nchi yoyote mrisi . Hata Tanganyika haiwezi kutoka mrisi kupitia Ccm na hasa ukomunisti.
 
..hapana.

..huko wanakwenda mawakili wenye leseni na usajili wa kutetea kesi ktk mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji.

..hakuna wakili hata mmoja toka Tz mwenye usajili ktk mahakama hiyo.
Dr Kibuta Ogwamuhana.
 
Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.

"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.

My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
1597160385250.png
 
Nitoe shukurani zangu kwa wajomba zangu wa Kahama kwa mapokezi hafifu sana mliyompa huyi savimbi.
 
Mwambie lisu tumeshitakiwa pia MIGA
Fungua uelewa wako tafadhali acha UKASUKU

The Multilateral Investment Guarantee Agency (MIGA) is an international financial institution which offers political risk insurance and credit enhancement guarantees. These guarantees help investors protect foreign direct investments against political and non-commercial risks in developing countries.[2] MIGA is a member of the World Bank Group and is headquartered in Washington, D.C. in the United States.

MIGA was established in 1988 as an investment insurance facility to encourage confident investment in developing countries.[3] MIGA is owned and governed by its member states, but has its own executive leadership and staff which carry out its daily operations. Its shareholders are member governments that provide paid-in capital and have the right to vote on its matters. It insures long-term debt and equity investments as well as other assets and contracts with long-term periods. The agency is assessed by the World Bank's Independent Evaluation Group each year.
 
Unaamini bila ushahidi?!

Bure kabisa wewe!
..burden of proof iko kwa serikali kuonyesha kwamba haishtakiwi.

Mnajua kuwa siasa ni sanaa?

Hapa Tundu Lissu, karusha ndoana yenye mnovu wa nyama kwenye maji...

Samaki (Praise Team Magufuli) wakirogwa tu kuikimbilia kula huo mnofu (kukana au kukanusha kisiasa) ndipo watanaswa na FACTS kutolewa....!!
 
Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.

"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.

My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
Kwahiyo tunaogopa kushitakiwa !!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajua kuwa siasa ni sanaa?

Hapa Tundu Lissu, karusha ndoana yenye mnovu wa nyama kwenye maji...

Samaki (Praise Team Magufuli) wakirogwa tu kuikimbilia kula huo mnofu (kukana au kukanusha kisiasa) ndipo watanaswa na FACTS kutolewa....!!
Lissu akili kubwa sana
 
Back
Top Bottom