Tundu Lissu, Paul Makonda na Marcus ndani ya Star TV tuongee asubuhi

Jana nilidhani Jk ataomba radhi kwa kuidhinisha kutoa pesa za escrow. Muhongo na Maswi wanajua mchezo wote ndio maana wameachwa.
 
Kama hazikuenda ikulu kwanini asiwawajibishe wahusika na kwa nini Stanbic wakatalie mamlaka kutoa account hizo; ni mamlaka ipi iliyo juu ya dola mpaka wakatate kutoa majina ya miamala hiyo? Mpaka ithibitike otherwise
 
Stanbic bank wamekataa kutoa account hizo ili kuonesha wapi pesa zilikwenda
 
Ni Katika kipindi cha Tuongee asubuhi, maana idhini ya pesa kutoka ilitolewa na msaidizi binafsi wa rais basi pesa za stanbic ambazo hawataki zitolewe accounta zake ni za ikulu mpaka hapo ikulu itakapokuwa tayari kutoa vbinginevyo, so far pesa za escrow zilienda ikulu na mkuu wa nchi anazijua zilikokuwa zinaenda mwanzo mwisho mengine yote ni bla bla tu

yeeeeeeeesssss
 
Mkuu laki si pesa huwa napendaga sana comments zako. Yaani hueleweki na unabadika kama kinyonga. . Jana ulimsifu sana JK kwa kumuita rais makini. Leo unasema JK analinda majambazi. Sasa hivi unampiga dongo mwana ccm mwenzako.


Laki si Pesa,amefunguliwa Kwa kuutambua ukweli na ndo maana kageuka na kuurudia ukweli.

Katambua kuwa LAKI ni pesa nyingi sana Kwa Mwananchi wa kawaida anayeshindia mlo 1 Kwa siku lakini kwa wezi wa Escrow na Mafisadi wengine ndani ya CCM yake ni sawa na thamani ya DAFU tu kama Tezi Dume anavoita
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha tuongee asubuhi cha star TV mhe.Tindu Lissu alisema CAG alidai kwamba stanbic bank ilikataa kutoa majina ya vigogo walionufaika na mihamala ya fedha za escrow.
Mimi naomba kuuliza kwa upeo wangu mdogo B.O.T wana mamlaka ya kupata information yeyote kutoka bank yeyote Tz kuhusu shughuli zake za kila siku kwa sababu wao ndio wasimamizi Wa mabenki yote nchini na wao ndio hutoa Leseni.je BOT waliomba hayo majina Stanbic walikataa kweli? Na kama walikataa basi BOT haina meno tena
 
Sikuwa najua haka kamjamaa(Makonda) ni empty head namba hii, Marcus amekaambia kwa style hyo ukubwani katakuwa kachawi, wenzie wanaongea kwa facts kenyewe kanaharisha tu, Kweli ukiwa mwanatezi hata ufikiri wako hewa
 
mtu yeyote msema ukweli huchukiwa Makonda msema ukweli na muwazi mnamchukia na mtamchukia kwelikweli

my take Makonda chapa kazi wanafiki waendelee kununa mpaka wafike ununio
 
Ni kosa la mtangazaji au CCM hawana watu waojiamini!! kweli Makonda kupambanishwa na watu kama Lisu na Marcuis!!
 
Mi nafikiri mihamala ya stanbank ndo mihala iliyo na majina ya ikulu ikiomgozwa na Mkuu wa kaya, na huyo mtoto wa huyo bibi anapata wapi kiburi cha kuongea mameno machafu hayo ndo maana tunasema hii nchi mtoto,mke,Mme wa kiongozi naye ni kiongozi tu ndunguzangu wana jamvi tujitahidi kuelimisha watu wabadilike.
 
Back
Top Bottom