Tundu Lissu pamoja na wabunge wa CHADEMA wanashikiliwa na jeshi la polisi Tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu pamoja na wabunge wa CHADEMA wanashikiliwa na jeshi la polisi Tarime

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, May 24, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Kwa habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa mbunge Tundu Lisu ametiwa nguvuni na jeshi la polisi mkoani mara pamoja na mbunge mwingine wa chadema akidaiwa kutumia nguvu pamoja na wanachi wa taarime juu ya miili ya marehemu waliouawa na jeshi la polisi lililo chini ya Saidi Mwema mzee wa intelijensia,mshikeli huo unatokana na tafrani iliyoibuka baada ya jeshi la polisi kuissue barua kuwa marehemu hawataagwa kwenye uwanja wa sabasaba na pamoja miili kuchukuliwa na jeshi la polisi katika hispitali ya taarime!

  maswali yangu kwa Mwema ni haya
  1.Mnaogopa nini hawa mliowaita majambazi kuagwa hadharani kama arusha?
  2.Majeneza jeshi la polisi lilinunua ya nini hali majeneza mengine yashanunuliwa kabla na ndugu zao?
  3.Mnawaita majambazi kutukia kugezo kipi?
  4.Mtaendelea kuwaua ndugu zetu hadi lini?
   
 2. l

  luckman JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Breaking news-tundu lisu chini ya ulinzi na wabunge wa chadema, taarime mambo sio shwari
  Kwa habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa mbunge Tundu Lisu ametiwa nguvuni na jeshi la polisi mkoani mara pamoja na mbunge mwingine wa chadema akidaiwa kutumia nguvu pamoja na wanachi wa taarime juu ya miili ya marehemu waliouawa na jeshi la polisi lililo chini ya Saidi Mwema mzee wa intelijensia,mshikeli huo unatokana na tafrani iliyoibuka baada ya jeshi la polisi kuissue barua kuwa marehemu hawataagwa kwenye uwanja wa sabasaba na pamoja miili kuchukuliwa na jeshi la polisi katika hispitali ya taarime!

  maswali yangu kwa Mwema ni haya
  1.Mnaogopa nini hawa mliowaita majambazi kuagwa hadharani kama arusha?
  2.Majeneza jeshi la polisi lilinunua ya nini hali majeneza mengine yashanunuliwa kabla na ndugu zao?
  3.Mnawaita majambazi kutukia kugezo kipi?
  4.Mtaendelea kuwaua ndugu zetu hadi lini? ​
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  peoples power inahitajika hapa hawa polisi wamegeuza story
   
 4. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  5. Tangu lini majambazi wakazikwa kwa gharama za serikali?
  6. Tangu lini serikali ikalazimisha mazishi bila ya POSTMOTERM??? wataandikaje kwenye death certificates???
   
 5. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Katika hili, Mwema inabidi awajibike, kama si kujiuzuru atoe tamko la kuomba radhi watanzania kwa upumbavu wanaoufanya vijana(polisi) wake.
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Serikali na Polisi wanawauwa wananchi,wanawavunjia heshima yao ya utu na heshima yao ya mwisho hapa duniani kwa sababu ya makaburu wa kikanada,wakanada ambao kila mtu anawafahamu kwa sera yao ya ubaguzi kule kwao wale wahindi wanawaita first nation wamewafungia kwenye makambi wakiwapa pombe na kuwaarika kwenye sherehe zotee,wamewageuza wacheza ngoma,maeneo yote mazuri hawako,huko wanahamisha uchawi wao hapa Tanzania,hawo ni wabaguzi kuliko mtu yeyote hapa duniani.
   
 7. p

  peacebm Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Jan 31, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa polisi wa kigongo wamechoka sana kimawazo mbona wenzao kule Ivory coast walimpinga kiongozi aliyekuwa anang'ang'ania madaraka? Watafakari na wawaunge wananchi mkono waache kuwa na akili za mgando na wakumbuke baada ya miaka kadhaa watakuwa uraiani wakiwa wamepigika mbaya, bora waunge wananchi mkono kuwang'oa wakoloni hawa wanaojiita wawekezaji ili waje kufaidi matunda uzeeni
   
 8. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  intelijensia ya mwema ni hatari kwa usalama wa taifa,polis jamii iko wapi?uchunguzi ukikamilika IGP aombe radhi kama sio kujiuzuru
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tatizo ninaloliona kwa polisi wa Tanzania ni kukosa uwezo wa kuchanganua hata hizo amri wanazopewa na wakubwa wao. Kwa mtazamo wangu hata IGP mwenyewe ni kama mtu anayefanya kazi kwa nidhamu ya woga zaidi kuliko kutumia logic katika kufanya maamuzi....Lakini ukweli utabaki kuwa polisi wa Tanzania wana IQ ndogo sana.....:pound::pound:
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  KAMA NI MZOEFU HUTORUDI NA MADA ZA KISHABIKI TENA

  Replies: 000000000000
  Views: 82
   
 11. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mwema na vibaraka wake WATAJIJU
   
 12. Manyenye

  Manyenye Member

  #12
  May 24, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hili ni jambo la kusikitisha sana
   
 13. l

  lugendosisty Senior Member

  #13
  May 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mungu aepushie mbali
   
 14. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Eti tanzania inji ya amani,upendo,mshikamano na utawala bora..Mwema tangu umepewa cheo cha igp mpaka sasa umeua raia wangapi?
   
Loading...