Tundu Lissu njoo uwaombe msamaha watanzania uongo wako umedhihirika leo

Acha kujikomba
Ulikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini ulikuwa unashirikiana kwa karibu sana na Mwanyika kuikashifu Serikali nilisikitika sana

Tundu Lissu wazungu wakiamua kumtumia mtu kutimiza masilahi yao huwa wanaangalia mtu tajiri angalia vibaraka halisi wa Wazungu wanaotegemewa na Taasisi zao za kijasusi ni Mabilionea kama akina Mo Dewji, Rostam Aziz hao ndio mawakalla wa Taasisi za kijasusi Dunia

Kaka Lissu ujasiri wako wa miaka ya 2006 umemezwa na tamaa ya Pesa

Kaka Lissu mbona ulikubali kupokea Pesa katika harakati za kushinikiza kuvunjika muungano mpaka ukadiriki kumtukana baba wa Taifa.mwalimu Nyerere alikukosea nini baba yetu amepumzika?

Kwa nini ulipokea hongo kumsafisha Lowassa?

Njoo nyumbani hakuna hata aliye na muda na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo libaki hukohuko kusafisha minduku ya wazungu Ru,hatulihitaji kabsa

Msamaha kwa kupona😂
 
Mleta hoja:
Ili hoja yako isimame ni lazima useme ni kwanini ameruhusu makinikia kuuzwa leo? Au hayana dhahabu tena? Huoni kuwa kwa kukubali kuyauza ni dhahiri kuwa anatembea na kuyatekeleza aliyoshauri Lissu?
Na hata kuundwa kwa kampuni tanzu ya twiga na kuipandisha faida ni ushauri wa Lissu pia ambapo alikemea kwa nguvu zote juu ya faida kiduchu kwenye sekta ya madini!
Badala ya kumzodoa na kumkashifu Lissu mpongezeni kwani yote aliyoyapigia kelele ndiyo mnayoyafanyia kazi! Kuweni waungwana na acheni siasa za kipuuzi na kujustify unyama wenu! Kuna siku na mahali mtajibu hii dhambi kabla ya umauti wenu haujawafika!
 
Mkuu acha kukimbia hoja Bali tulia ujibu kwa hoja. Umeulizwa;

Kwanini TL alikuwa anawatetea Accasia na kuibeza serikali wakat wa mapambano?

Kwanini alitaka muungano uvunjike?

Kwanini alipokea hongo kwa Edward L akamusafisha kuwa siyo fisadi?

Jikite kwenye hoja mkuu kuandika kwa herufi kubwa siyo njia sahihi ya kumaliza hasira zako.

Accasia???
 
Mimi wasiwasi wangu ni kitendo cha kutokutii sheria za nchi miongoni mwa viongozi wetu na kibaya zaidi ni ushabiki wetu sisi wananchi wenye milengo ya KIVYAMA.
Chukulia kwa mfano ili mkataba usainiwe ni LAZIMA upitiwe na wawakilishi wa wananchi ambao ni wabunge ndipo upelekwe kwa RAIS kwa ajili ya kusainiwa na wahusika wa wizara inayoomba huo mkopo. Sasa hebu tuelezane hizo process zimefuatwa? Baraza la mawaziri limepewa hiyo taarifa kuhusu huo mkataba na kuujadili kwa undani?
 
Sijamsikia Tundu siku hizi sijui mabomu yameisha,ilifikia wakati alionekana hana jipya akaamua kuomba hela
 
Muda wote Mimi nikajua najibizana na mtu mwenye akili timamu kumbe taila.

Katika bandiko langu umeona Kuna sehemu nimeandika Neno "Facebook"?

Je Facebook unaweza ukasearch Newz tofauti na jina la mtu kumuomba urafiki?

Acha ujinga mama k ingia Google na YouTube (Umusikilize akiongea kwa Domo lake mwenyewe) uone unafiki wa ndugu yako.
Leta ushahidi hapa...acha ujinga wa Facebook
 
Nyie subirini tu!
Kuna siku jiwe litasimama kizimbani kwa uhalifu wa kutisha katika nchi hii, huku Lissu akiwa huru mtaani!

Pindueni maneno tu, mwishowe ukweli wote utajulikana

Mkuu kama huna ufahamu na kitu ni vzr kunyamaza muda mwingine. Ushaona Raisi hapa Tanzania kasimama kizimbani. Ndio ujue katiba mpya muhimu nyie mnapigania madaraka tu. Mpk mnasahau vitu muhimu
 
Ulikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini ulikuwa unashirikiana kwa karibu sana na Mwanyika kuikashifu Serikali nilisikitika sana

Tundu Lissu wazungu wakiamua kumtumia mtu kutimiza masilahi yao huwa wanaangalia mtu tajiri angalia vibaraka halisi wa Wazungu wanaotegemewa na Taasisi zao za kijasusi ni Mabilionea kama akina Mo Dewji, Rostam Aziz hao ndio mawakalla wa Taasisi za kijasusi Dunia

Kaka Lissu ujasiri wako wa miaka ya 2006 umemezwa na tamaa ya Pesa

Kaka Lissu mbona ulikubali kupokea Pesa katika harakati za kushinikiza kuvunjika muungano mpaka ukadiriki kumtukana baba wa Taifa.mwalimu Nyerere alikukosea nini baba yetu amepumzika?

Kwa nini ulipokea hongo kumsafisha Lowassa?

Njoo nyumbani hakuna hata aliye na muda na wewe
Umeandika ukweli mtupu, ila Mutu ya Bhakigoma hiyo ndo ilimkonect kupiga Mpunga
 
Sijui hata unaongea nini! Tatizo lako unawaza uchama tu.....!
Jiwe ni mhalifu ndicho ninachomaanisha, anastahili kushtakiwa!

Mambo ya katiba mpya we yaongelee tu sijakukataza

Mkuu kama huna ufahamu na kitu ni vzr kunyamaza muda mwingine. Ushaona Raisi hapa Tanzania kasimama kizimbani. Ndio ujue katiba mpya muhimu nyie mnapigania madaraka tu. Mpk mnasahau vitu muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini ulikuwa unashirikiana kwa karibu sana na Mwanyika kuikashifu Serikali nilisikitika sana

Tundu Lissu wazungu wakiamua kumtumia mtu kutimiza masilahi yao huwa wanaangalia mtu tajiri angalia vibaraka halisi wa Wazungu wanaotegemewa na Taasisi zao za kijasusi ni Mabilionea kama akina Mo Dewji, Rostam Aziz hao ndio mawakalla wa Taasisi za kijasusi Dunia

Kaka Lissu ujasiri wako wa miaka ya 2006 umemezwa na tamaa ya Pesa

Kaka Lissu mbona ulikubali kupokea Pesa katika harakati za kushinikiza kuvunjika muungano mpaka ukadiriki kumtukana baba wa Taifa.mwalimu Nyerere alikukosea nini baba yetu amepumzika?

Kwa nini ulipokea hongo kumsafisha Lowassa?

Njoo nyumbani hakuna hata aliye na muda na wewe
Huyo msaliti Lissu atakufa kwa stress! Nawaonea huruma sana watoto wake kwa kuwa tayari ameshawa blacklist!
 
Back
Top Bottom