Tundu Lissu njoo na dereva wako ili ahojiwe na Polisi

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Shuhuda namba moja wa tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu ni dereva wake, lakini cha ajabu mpigwa risasi Lissu hataki dereva wake ahojiwe chochote kuhusu hilo tukio!

Kwenye uchaguzi mkuu Lissu alikuja na akazunguka miezi 3 anapiga kampeni nchi nzima bila kuwa na dereva wake ambaye alikuwa anasubiliwa kwa hamu akamatwe na kuhojiwa.

Safari hii Lissu anakuja tena kuzindua mikutano ya hadhara hivyo aje na dereva wake ili ahojiwe maana kwa namna yoyote ile dereva huyo ndiyo shahidi namba moja wa hilo tukio.
 
Shuhuda namba moja wa tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu ni dereva wake, lakini cha ajabu mpigwa risasi Lissu hataki dereva wake ahojiwe chochote kuhusu hilo tukio...
Ni ujinga kumtaka aliyepigwa risasi atoe ushahidi wa waliompiga risasi, hilo tukio halikuwa la Bongomuvi, jeshi la polisi halijawahi kuwataka walioshambuliwa ama kuuawa kwa risasi wahojiwe na ni ajabu jeshi limfanye Lissu kuwa mtuhumiwa wa kujishambulia kwa risasi! Hizo ni siasa za kijinga.
 
Ficha ujinga wako basi, dereva alipigwa risasi?
 
Ficha ujinga wako basi, dereva alipigwa risasi?
Uliambiwa dereva alikuwa dairekta wahiyo muvi yenu! Wewe ikipigwa risasi moja tu utazirai, acha kuingilia siasa za kijinga risasi ya tukio la kweli si sawa na ya Bongomuvi. Huyo dereva alihitajiwa ili wafute ushahidi endapo angeonekana amewakariri watuhumiwa na si unavyodhani wewe, na hata kutaka Lissu atibiwe Muhimbili lilikuwa ni kukamilisha misheni tu.
 
Shuhuda namba moja wa tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu ni dereva wake, lakini cha ajabu mpigwa risasi Lissu hataki dereva wake ahojiwe chochote kuhusu hilo tukio...
Hii kesi si ya kishabiki kama unavyodhani, ina mnyororo mrefu na inaweza ikawahusisha wengi. Ni bora kuiacha tu maisha yaendelee

Usisahau kumwambie aliyekuwa rpc dodoma enzi hizo (yuko temeke siku hizi kama sijakosea) Bwana Mroto naye awe shahidi na atoe cctv video tuone. na tuelezwe kwa nini siku hiyo polisi hawakuwepo kulinda katika nyumba hizo kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom