Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Hiyo mipango yenu hamtokaa mfanikiwe kamwe, tutasimama imara na taifa letu na viongozi wetu wazalendo, Na hakitoka magufuli tunaingiza chuma kingine mwendo ni huu huu kuiletea nchi maendeleo na kulinda watu wetu na hila za watu kama wewe na lisu.
Ofcourse yes, ila God husimama na wenye haki. Like baba Jesca. I believe in free and fair election as da principal of Greek democracy.
 
Huu siyo muda wa kampeni, ni wa kutafuta wadhamini. Toka Lissu achukue fomu naona unawashwa sana. Wacha upumbavu. Hao wengine kila uchao wanaahidi mengi lakini sasa yapata miaka 50?! Zaidi ya ku-mentain yale yaliyoachwa na wakoloni? Elimu ya kikoloni, reli ya mkoloni, miundo mbinu ya maji, barabara na umeme ya mkoloni za mkoloni, Dansi za maneno ya hovyo za akina Diamond ni za Kibeberu, usafiri wa anga wa kibeberu, biashara ya exchange ya vitu kwa pesa za waoloni. Nyie mewafanyie nini sasa watanzania?! Shenzi kabisa. Wadanganyeni wa huko.
Kwamba hawajafanya kitu chochote kwa miaka yote waliyokuwa madarakani. Unafiki ndio unaoimaliza hii nchi. Tupe mifano lisu kwa miaka yote aliyokaa singida kama mbunge amejenga hata kisima kimoja cha maji?
 
Usirukie train kwa mbele. Soma comments zangu zote, utajua ninachomaanisha. Hili lilikuwa jibu sarcastic kwa mtu aliyesema kuwa "Wamuue Lisu ana nini?". Soma kwanza maana ya sarcasm ndio utanielewa. Najua humu JF tumechanganywa watu wenye ufahamu mbalimbali - wa chini, wa kati na wa juu. Wakati mwingine kuwasilina mwenye ufahamu wa juu na wa chini inakuwa tatizo. Wenye uwezo wa kuelewa wameweka "like" kwemye comment yangu.
Wakati wewe unalia ukichomwa sindano zahati...grow up uwe mwanaume
 
Usirukie train kwa mbele. Soma comments zangu zote, utajua ninachomaanisha. Hili lilikuwa jibu sarcastic kwa mtu aliyesema kuwa "Wamuue Lisu ana nini?". Soma kwanza maana ya sarcasm ndio utanielewa. Najua humu JF tumechanganywa watu wenye ufahamu mbalimbali - wa chini, wa kati na wa juu. Wakati mwingine kuwasilina mwenye ufahamu wa juu na wa chini inakuwa tatizo. Wenye uwezo wa kuelewa wameweka "like" kwemye comment yangu.
Ufahamu wako wa kula wali na njegere unajiona umeyapatia maisha alafu itakuwa mjini huna Xmass 15
 
washauri wa Membe watakuwa wanamwambia si tulikuahidi tatizo la Lissu tutalimaliza we endelea na yako; Lissu hatma yake tuachie sisi.

Huyu mtu anachokoza vyombo vya ulinzi alipofikia nafananisha na ugomvi wa utotoni mtu akija kupigana anaanza maneno we akiona umpi attention wapambe wanaotaka kuona ngumi wanamshawishi muwekee kidole jichoni akifika hapo ujue ngumi lazima ata kama mmoja hakuwa na mpango wa kupigana.

Watanzania wote sio blind supporters wa vyama vya siasa wanaona uchokozi wa Lissu. Ambao ni vigumu sana kwa chombo chochote cha ulinzi duniani kuvumilia.
Kilaza kwa kipare ni Kilatha
 
Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Wewe ni raia wa nchi gani? Hata lugha yetu ya Taifa mbona inaonekana huijui!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAFARINI: TABORA, SHINYANGA, GEITA, SIMIYU, MWANZA, MARA na KAGERA

Ameyasema haya akizungumza na wafuasi, wapenzi na wanachama wa CHADEMA wa majimbo ya uchaguzi ya Igunga na Manonga yaliyo ndani ya wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora akiwa katika safari ya kutafuta wadhamini wa ugombea wake wa Urais. Tazama na sikiliza video hii 👇 👇
View attachment 1534109

Aidha amewataka wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kuhakikisha kuwa wanawasindikiza wagombea wao wa Udiwani na Ubunge wanapokwenda kuchukua fomu za kuomba uteuzi ktk ofisi za DEDs ama TCDs ama CCDs ama WEOs ambao ndiyo wanaoratibu mchakato wa uchaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi wa Taifa (NEC) katika ngazi ya Jimbo na Kata...

Vivyo hivyo, ametumia nafasi hiyo kuwahimiza wagombea wote kuwa waangalifu ña makini sana wanapojaza fomu hizo ili wasije wakaingia ktk mitego midogo midogo ya kufanya makosa ktk ujazaji na kuwapa washindani wao mwanya wa kuwawekea mapingamizi na kujikuta ya uchaguzi wa serikàli za mitaa mwaka 2019 yanajirudia
View attachment 1534119
Kazi ipo mwaka huu
 
Usiogope...

Silaha ya ushindi wa vita yoyote ni UJASIRI...

WOGA ama HOFU ni mlango wa ibilisi kupenya popote na kufanya kazi yake ya uporaji na uuaji...

Kilicho nyuma ya Tundu Lissu ni UJASIRI na kwa ujasiri wake huu ana - influence mamilioni ya watu positively nao taratibu wanaanza kujiaamini na kuamini kuwa kumbe INAWEZEKANA...
Yes inawezekana maana miaka 5 walitufanya kama mizuka.
 
Huyu jamaa kadili siku zinavyoenda akili zinazidi kumruka,kwani akifa kunashida gani,anaogopa kufa,yeye nani kwa Tanzania hii hadi asife? Mpuuzi sana huyu mgombea wetu

Kulialia kwake ati naye anaamini ataukwaa urais kwa huruma za wananchi,raia wanataka mtu makini kama JPM anayesena na kutenda sio huyu anayeogopa kufa huku akiutaka urais kwa mgongo wa huruma za raia
Mkuu najua roho inakuuma lakini huna cha kufanya tena. Vumilia hivyo hivyo ni zamu yako sasa kutokwa povu. Sisi tunachekelea.

He who loughs last loughs best.
 
Tundu hana akili. Musiba kawataja kabisa wanaooanga njama za kumlisha hiyo sumu. Na waliotajwa hakuna aliiyebishia tuhuma hizi. Tundu anataka IGP na mkuu wa usalama wamtafutie adui zake. Ni ujinga wa ajabu kama siyo upumbavu. Mbowe atakumaliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom