Tundu Lissu: Nimemsikia Mwita Mwikabe Waitara na alichokisema juu ya jaribio la mauaji dhidi yangu la September 7 mwaka jana

Ninachojiuliza, ni huyu kiongozi wa Kanisa langu, kadinali - inakuwaje awe anamuunga mkono muuaji? Sote hata wale wanaojifanya hawajui, tunajua huyu mfalme ni muuaji. Hivi kwa kweli kwa intelijensia ya kanisa, kadinali hajui kuwa huyu mfalme ni muuaji? Kwa nini amuunge mkono mfalme muuaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu anaongea hadi anapitiliza..mwisho watu watamzoea kuwa ana chuki na magufuli sababu anawanyoosha..
Huwezi kumtuhumu Magu kila kitu wakati kuna taasisi zinazoshughulika.
Huyo Magu atoe oda upelekwe kijijini kwani we huna ndugu..toka lini serikali ikaingilia mtu azikwe wapi..? Kwani kuna ndege inatoka streight from belgium mpaka huko ikungi??
Ndio maana nasema huyu ataongea mwisho watu watamuona mtu aliyepaniki tu..sababu anayoongea ni mengi na mepesi.

Lissu anasababisha vitanda visilalike pale Magogoni!
 
Chuki ipi sasa we dodoki wa Lumumba?acha kumtetea mhutu muuaji mkubwa huyo

Back
Top Bottom