robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 740
- 1,214
Huyu naye domo kaya sana! Huwezi kuhitaji jambo hilo na rais na ukawa unapayuka mitaani kiasi hicho. Lissu ajadili uchumi gani? Leo hii anajua uchumi wowote kweli? Yeye kila siku anazungumzia sheria hii na ile ni mbaya. Kwa nini asiwasiliane na Mkiti wake ili kuwa na msimamo wa kichama zaidi?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais ili waweze kujadili kwa pamoja mageuzi ya kiuchumi na mustakabali wa taifa.
Tundu Lissu amesema bado anasubiri majibu.
Source: Swahilu Times
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Eti awe na majadiliano na raisi!