Tundu Lissu: Niko tayari kwa lolote

Dah......

Safari hii Jiwe kapambana na "Jiwe" mwenzake...

Kama alidhani kuwabana wapinzani ndiyo "wata-surrender" na kuja kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais, kwa Tundu Lissu kanoa!

Nukuu toka kwa Tundu Lissu the great "walinipiga risasi sijafa, wakaninyima stahiki zangu za matibabu, sijafa, hivi sasa wanafanya njama ya kuninyima mshahara wangu wa ubunge, sitakufa vilevile" mwisho wa kunukuu

Ndiyo kwanza anazidi "kuisambaratisha" serikali hii ya kidhalimu ya awamu ya tano!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom