COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,598
- 3,644
Walikuwepo akina Joseph Goebbels, Josef Mengele (angel of death) ,Hermann Goring walioamini katika kuua ili kumlinda Mungu wao Adolf Hitler lakini waliishia kusikojulikana. Sitishwi, sitatishika na kikubwa zaidi sikuzaliwa na chembe ya uoga mwilini mwangu.
Am ready for anything
Sent using Jamii Forums mobile app