Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,273
- 6,435
Watu hata kwenye kupiga kura hawakwenda kwa sababu matokeo huwa hayabadiliki yanajulikana, matumaini ya mabadiliko yalitakiwa yatokee ile 2015 ila hayakutokea, sasa watu hao utawaingiza vp barabarani et ili kupinga matokeo wakati miaka yote matokeo ndio yaleyale walishajua ndio maana hawakusumbuka kwenda kupanga foleni.
Labda uwaingize watu barabarani kwenda kudai hiyo tume huru hapo ndio itakuwa jambo la maana.
Labda uwaingize watu barabarani kwenda kudai hiyo tume huru hapo ndio itakuwa jambo la maana.