chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,551
- 2,073
Mjinga huyo
Asante mkuuHapo mbona bado sana ngoja muda wa campaign aanze kuongelea mambo ya kuvunja muungano, kumwita Nyerere mtu wa ovyo na hadithi yake isiyoisha ya risasi kumi 16.
Jamaa ni narcissist he rates himself so highly wenzake wanaenda kwenye campaign kwa porojo za watawafanyia nini wananchi, yeye anakwenda na agenda ambayo anaifahamu mwenyewe.
Yaani kichwani kwake keshaanza kuchagua rangi ya pazia atazoweka Ikulu; ni swala la muda kabla ya watu kukubali huyu mtu anahitaji psychological intervention ajatulia bado kutokana na mkasa uliompata na wala hana sifa za high office.
Usisahau kuitanguliza mbele familia take,sio kuamasisha watoto wa wenzake waandamame huku wa kwake kawaficha hotelin
Hili ndilo tatizo kubwa la Tundu Lissu. Yeye siku zote huita kushindwa kutotendewa haki. Lissu ni lazima akubali kuwa kuna kushinda kihalali au kushinda kwa mbinu chafu. Pia kuna kushindwa na kushindwa kwa mbinu chafu. Ni vizuri mgombea kuweka yote bayana na siyo kufikiria kuwa kushindwa koote ni kwa mbinu cha au kushia koote ni kwa kutumia mbinu chafu.Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Kuna askari wangapi vs waathirika wa CCM negligence wangapi? Lazima askari wapige magoti!Na atapigika kweli. Watanzania wenzangu nawaomba msijaribu kuingia barabarani kitakachowakuta hamtasahau maisha yenu. Najua JF ni wabishi ila subirini tu
Kura hazitaibiwa, figisu na dhulma wakati wake ulishapita,watanzania wenye mawazo mbadala ninyi ni ndugu zetu, mpo kisheria, mnafanya majukumu yenu kwa mujibu wa sheria, kuwa wapinzani haimaanishi mliletwa na shetani,hapana.Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

....

Kama nimesoma vizuri kichwa cha habari ni kuwa kasema "Kama nitaibiwa kura..." na sio "Kama nikishindwa..." sasa hapa sijui nani mchochezi, Lissu au mnaotafsiri maneno yake mnavyotaka nyinyi.Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Jidanganye tu kama ulivyojidanganya kwa Lowasa. Waulizeni wapemba, Lissu kaona kawa chibanda soni peke ake anataka wawe viwete na vilema wengi. Mtapigwa virungu na hakuna wa kuwasaidia Lissu atakimbia asubuhi na mapema kwenda Ubelgiji.Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Nyakati zipi hizo?Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Tuliwaambia kuwa Watz siyo wajinga kiasi hicho sasa wamemwacha pekee yake na beberu lake Amsterdam wanahangaika.Tanzania kuna vituko!
Yaani ukizisoma comment kabla ya uchaguzi kama huwajui watanzania unaweza kudhani Tanzania itawaka moto!Tuliwaambia kuwa Watz siyo wajinga kiasi hicho sasa wamemwacha pekee yake na beberu lake Amsterdam wanahangaika.