Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Uchaguzi umeisha na hajawaingiza barabarani it mean hajaibiwa.

Safi sana
Udikteta uleule uliotumika kuiba, kuchakachua na hadi kutangaza matokeo fake ndiyo uleule uliotumia mtutu wa BUNDUKI KUZUIA MAANDAMANO YA AMANI!!!!
 
Twendeni tukaungane na Lissu, Mbowe, Moses na wengine wote pamoja na wake zao na watoto KWENYE MAANDANAMO, kama ikishindikana basi TUANDANAMANE humu JF, Twitter, Instagram na kwenye mibarua ya BOB! Tuko pamoja sana!

Hivi unajua kuwa mitandao ya Kijamii k.m.JF, Insta, WhatsApp, facebook,etc vimefungiwa na hii Serikali ya Kidikteta kwa kisingizio Cha kuzuia maandamano ya Lissu?
 
Ndio type ya mgombea anayetakiwa kwenda jino kwa jino na ccm sio kama wakina fisadi lowassa.


Magufuli ashinde uchaguzi ulio huru na haki otherwise akitumia ujanja ujanja mwaka huu ndio kwaheri yake. hakuna jeshi litakalo mlinda ajipange kweli.
Nyie ndo mabingwa mkiwa mitandaoni, mwenzako kakimbilia ubalozini!!!! Sasa anawachuza watoto wa maskini
 
Watz wanajulikana hatuna uthubutu huo ,tutaishia humu humu jf kupiga zogo ndio uhalisia huo japokuwa wengi wataukataa
Sawa,ila mimi ninachosema woga wa nini wakati wameshinda kwa kishindo!Wafungue mitandao tuendelee na maisha yetu ya kawaida!
 
Asingesema ningeingia ,ila aliposema tu ameharibu kila kitu,siwezi kufanya kitu kwa amri ya mtu
 
Back
Top Bottom