Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Tz mbongo

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
8,146
2,000
Watu hata kwenye kupiga kura hawakwenda kwa sababu matokeo huwa hayabadiliki yanajulikana, matumaini ya mabadiliko yalitakiwa yatokee ile 2015 ila hayakutokea, sasa watu hao utawaingiza vp barabarani et ili kupinga matokeo wakati miaka yote matokeo ndio yaleyale walishajua ndio maana hawakusumbuka kwenda kupanga foleni.

Labda uwaingize watu barabarani kwenda kudai hiyo tume huru hapo ndio itakuwa jambo la maana.
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,236
2,000
Watu hata kwenye kupiga kura hawakwenda kwa sababu matokeo huwa hayabadiliki yanajulikana, matumaini ya mabadiliko yalitakiwa yatokee ile 2015 ila hayakutokea,sasa watu hao utawaingiza vp barabarani et ili kupinga matokeo wakati miaka yote matokeo ndio yaleyale walishajua ndio maana hawakusumbuka kwenda kupanga foleni.

Labda uwaingize watu barabarani kwenda kudai hiyo tume huru hapo ndio itakuwa jambo la maana.
Point
 
Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,896
2,000
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Alijua atashindwa, anaticket ya kuondoka kurejea kwao.
 
mukaruka mzee

JF-Expert Member
Jan 22, 2020
935
500
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Twendeni tukaungane na Lissu, Mbowe, Moses na wengine wote pamoja na wake zao na watoto KWENYE MAANDANAMO, kama ikishindikana basi TUANDANAMANE humu JF, Twitter, Instagram na kwenye mibarua ya BOB! Tuko pamoja sana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom