Tundu Lissu ni Wakili muhimu kwenye kesi inayomkabili Mbowe, unapaswa kuja nchini bila kujali mazingira

Duuh! Kama ni kweli sheria ifate mkondo wake aise bado tuna majonzi aise
Hivi wewe hata huwa hujiulizi kabla yakuchangia? Kwenye charge sheet wapi umeona shitaka la mauaji ya viongozi wakati walituaminisha anahusika na mauaji ya viongozi wa serikali.

Ndo maana hii kesi ni ya kisiasa zaidi maana wanachokisema hakiendani na kilichopo kwenye hati ya mashitaka.
 
Kiboko ya mkapa kweli arudi mana nimzoefu na makesi haya ya uhaini na ugaidi lakini ni naamini anashirikishwa kwa uhakika
 
Lissu mswahili tuu. Alikua anadai adui yake ni JPM. Sasa mwamba umelala arudi tujenge nchi. Kinyume chake, jamaa atakua mchumia tumbo na kula yake inategemea hadhi ya ukimbizi.
 
Viogozi gani hao walitaka kuuliwa na Mbowe?

Unataka Lissu aje nchini kwani CCM wameshatupa list ya waliotaka kumuua Lissu?

Nani leo hii anashikiliwa kwa kutaka kumuua Lissu?
 
Back
Top Bottom