Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Kama shetani Jiwe mwenye PhD fake aliweza kuwa Rais iweje Lissu ashindwe?
Kuna mahitaji mengine zaidi ya elimu ili kuwa Rais wa nchi yoyote na hususan Tanzania. Mdanganyeni Tobo na kumpa bichwa eti anaweza kuwa Rais wa Tanzania. Ingawa wapambe wana nguvu zaidi ya mwenye mali.
 
Mzee punguza chuki dhidi ya binadamu wenzako wewe, kha!! Unashupaza shingo hamjifunzi tu?!!!!...

duniani tunapita tu, yote tutayaacha hapa hapa. Huyo aliyechukua ikulu kidhuluma Sasa yupo wap mzee?!!! Hata Kama ungemiliki ikulu ya marekani bado utaicha tu. Acha kushadidia dhuluma na uonevu kabla Mungu Mkuu hajakupa funzo....Mzee Mwinyi anakuambia Maisha si kitu kiviiiiile Bali "Maisha Ni Hadithi tuuu".
Sawa na huyo anayeitafuta IKULU kwa udi na uvumba , tumuweke kundi gani!? Ana nini anachokitaka HATA kwa kutaka kuua watu humo mabarabarani NI NINI kama siyo tamaa za fisi?
 
Kuna mahitaji mengine zaidi ya elimu ili kuwa Rais wa nchi yoyote na hususan Tanzania. Mdanganyeni Tobo na kumpa bichwa eti anaweza kuwa Rais wa Tanzania. Ingawa wapambe wana nguvu zaidi ya mwenye mali.
Jiwe alikuwa ana nini cha ziada ukiachana na ukatili,uaji,chuki,ukabila,udini,ukanda,ufisadi,kuabudiwa,roho mbaya,wivu,husda,ubinafsi na mdomo mchafu?
 
Tusubiri mazishi na appointment ya VP , halafu tuangalie vitu vya wananchi, njaa na mambo ya wanasiasa litafanyiwa kazi kuelekea 2025, yeye lisu kama anataka kurudi na kuanza kujipanga kwa 2025 ana karibishwa
 
Ni
Sawa na huyo anayeitafuta IKULU kwa udi na uvumba , tumuweke kundi gani!? Ana nini anachokitaka HATA kwa kutaka kuua watu humo mabarabarani NI NINI kama siyo tamaa za fisi?
katiba ya nchi ndivyo imeweka utaratibu mzeiya kuwa nchi Ni ya vyama vingi vya siasa na kila chama kina Uhuru wa kuweka mgombea urais kwa mujibu wa sheria zilizopo. Kwa hiyo Hamna Cha tamaa hapo Bali chama kisipoweka mgombea ndo tutakishangaa.
 
Mzee alikuwa anajistress na maukali kumbe ana mfumo wa umeme. Ila MUNGU huyu kumbe wakati Lowassa anakebehiwa na aliekuwa anadhaniwa ni mzima kumbe nae anatembea na mifumo.
Alikua anatembelea na Mkongoja,
Fimbo cha mtoto. Mungu fundi sana.
 
Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na Watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao.
Hii ni nukuu naamini kabisa sio mawazo yako.ila mimi kama kamisaa umemaanisha kinukuu nukuu.
 
Alipokuja mliishia kukata mauno tu. Sikia tukwambie ukweli mchungu Yesu alisema shetani awezi kumtoa shetani mwezake. Hakuna kesi mtafanya Wala uchunguzi.peleka upumbavu kwa wajinga wezako.alafu mnamshambulia Lisu kana kwamba yeye ndiyo kamuua rais. Mifuvu mijinga Kama lako ndiyo tatizo la hii nchi.

Wajinga na wapumbavu wanafahamika kwa hoja wanazotoa. Toa sababu hata hafifu ya kuingia gharama kubwa kumweka dereva Nairobi na baadaye Ubeljiji hadi leo hii. Watu walisema kuwa Nairobi alikuwa anafundishwa ajibu nini polisi atakapolazimika kuhojiwa na angerudishwa TZ pale ambapo angeonekana ameiva. Hakuiva na sasa yuko Ubeljiji. Ni sababu gani utakayotoa ili yale maneno yasiaminiwe? Kumbuka pale Dodoma dereva alipohojiwa na waandishi wa habari alisema aliona gari inamfuata kwa nyuma na alipomwambia bosi wake yaani Lissu yeye alimwambia twende tu nyumbani. Ila cha kushangaza kule Ubeljiji alihojiwa na DW Tv akasema alipoona gari inawafuatilia kwa nyuma hakusema chochote kwa bosi wake. Akija TZ kitaeleweka tu na wa kuaibika wataaibika.
 
Ungejiuliza tu kabla ya Lisu kushambuliwa alilalamika Mara ngapi? Acha utoto wako.Huu ujinga unaweza kumwambia mtoto wako unampa ugali tu atakuelewa hila siyo mtu yeyote Mwenye uwezo wa kufikiri. Sheteni atoi shetani mwezake kamwe.utume kuuwa alafu uchunguze?.ya mo dewji mpaka leo mlikuja na jibu gani?. Acha ujanja wa kipumbavu wa wakwepa DHAMBI ya kuua. wakitoa hukumu ya kunyongwa mtu.mnyongaji akishanyonga wanamleta mnyongaji mahakamani.
 
Kama ni utoto tena aibu ya kujivua ufdahamu unayo wewe. Mh Lisu alilalamika zaidi ya mara moja. Lisu anafahamu sheria sana kuliko mimi nadhani pia kuliko wewe. Anajua fika malalamiko unakwenda polisi unajieleza maelezo yako yanaandikwa kwa reference unapewa RB.Unapotoa maelezo ujue polisi nao watakuuliza maswali. Muulize Lissu kwa nini hakupenda kwenda bure bila malipo yoyote katika kituo cha polisi ili maelezo yake yachukuliwe. Badala yake aliingia gharama kukodisha ukumbi wa hoteli ya kitalii na kuita press kwa gharama na kutoa malalamiko yake. Kama na hapo huoni issue basi hujivui ufahamu ila hunao kabisa. Ujue maelezo yanayotolewa polisi yanakuwa ushahidi kwenye kesi. Sasa ukitaja gari inakufuatilia ukataja namba ikawa hiyo gari haipo ujue una shauri la kujibu. Hiyo Lisu aliogopa kwamba maswali ambayo angeulizwa polisi yangekuwa sio rafiki kwa usanii alioupanga.
 
Hivi huyu kichaa bado kuna watu wenye utimamu wa akili wanamsikiliza na kufuatilia upuuzi wake!?
 
Back
Top Bottom