Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Unayosema yote ni KWELI! Haki ya kila mtu haipotei na hakuna anayemiliki dunia ILA MUNGU YEHOVA! Hivyo kila mtu anapaswa kulijua na kulifahamu hili na siyo kujitangazia haki na umuliki wa "dunia" kama watakavyo WASHINDWA!
Mzee punguza chuki dhidi ya binadamu wenzako wewe, kha!! Unashupaza shingo hamjifunzi tu?!!!!...

duniani tunapita tu, yote tutayaacha hapa hapa. Huyo aliyechukua ikulu kidhuluma Sasa yupo wap mzee?!!! Hata Kama ungemiliki ikulu ya marekani bado utaicha tu. Acha kushadidia dhuluma na uonevu kabla Mungu Mkuu hajakupa funzo....Mzee Mwinyi anakuambia Maisha si kitu kiviiiiile Bali "Maisha Ni Hadithi tuuu".
 
Naomba utuache najua unafuraha na sie tuna huzuni.

Angalia historia ya kila nchi hata china, haki za binadamu hayachangamani na maendeleo kijana. Lazima wengine waumie au hata wafe kama yeye ili maendeleo ya nchi yapatikane.

Maendeleo ya watu yanatokana na maendeleo ya miundombinu. Pengine wewe ni under 50 na kwa hiyo bado ujana unakusumbua. Tutache na wenzetu kama mama D tumepoteza ajabu
Sasa Kama Ni lazima wengine waumie na hata wafe ndo Maendeleo yapatikane Sasa hiyo huzuni mliyonayo Ni ya Nini? Au sisi tu Ndo manguruwe pori tunaostahili kufa na tukifa Ndugu zetu hawatakuwa na huzuni?!!!! Ma CCM mmetujaza chuki Hadi Basi. Mungu anatulipia Sasa subirini Moto wa Mungu.
 
PM Alijidhalilisha sana; Ni Bora Angenyamaza kimya tu; Kusema anachapa kazi wakati anaumwa sidhani kama ilikuwa jambo jema, Infact aliongea kama mtu mwenye Jazba huku akiwashambulia watu amabao walikuwa wanatoa tetesi ambazo zilikuwa na vinasaba vya ukweli; Mama Samia ndio aliongea kwa staha na heshima sana kwa kuthabarisha mambo yalivyo japo sio kwa moja kwa moja; Ila tulimuelewa
Hapa ndipo unaweza kujua aina ya Watawala tulio nayo. Na hapa ndipo unapoweza kuona jinsi CCM walivyo waongo, matapeli na Wizi wa Kura!!!
Kuna namba nimezi note kwenye tukio hili na nimedhi dharau sana kwa unafiki huu.
  1. Samia Suluhu Hassan Makamu Rais......Rais yuko salama, mtu kuwa na mafia na kucheck afya ni kawaida.
  2. Majaliwa Majaliwa-PM...............Rais anachapa kazi nimeongea naye anawasalimia.
  3. Chalamila-RC Mbeya.......Nimeongea na Rais leo asubuhi ni mzima anachspa kazi.
  4. Musiba wa Musiba- Mwanaharakati.....Nawaonya Vyombo vya habari Kenya wametuchokoza kuandika habari za Ugonjwa wa Rais wetu chanzo chao cha habari Tundu Lissu.
Hivi hawa wakishtakiwa kwa kulipotosha Taifa kwa kuwadanganya Watz na dunia nzima watatokea wapi??
 
Fursa ya Tundu Lissu kuliongoza Taifa hili inazidi kuonekana
Hata alipotuambia kuwa "mziki umegoma" tukamuamini na ikapay off

Huyu ndio Raisi wangu Lissu jemadari asiyeyumbishwa

Ninajua amerogwa sana sana na hao Wachunga Ng'ombe ila wamenyanyua mikono kila wakijaribu giza daideiki...mwana! mwana!
Huyu jamaa hata wanaomchukia sababu hawana..
 
Mzee punguza chuki dhidi ya binadamu wenzako wewe, kha!! Unashupaza shingo hamjifunzi tu?!!!!...

duniani tunapita tu, yote tutayaacha hapa hapa. Huyo aliyechukua ikulu kidhuluma Sasa yupo wap mzee?!!! Hata Kama ungemiliki ikulu ya marekani bado utaicha tu. Acha kushadidia dhuluma na uonevu kabla Mungu Mkuu hajakupa funzo....Mzee Mwinyi anakuambia Maisha si kitu kiviiiiile Bali "Maisha Ni Hadithi tuuu".
What, NINI!?
 
Nijambo la kumshukuru mungu Tundurisu hadi leo kuyashuhudia haya.
Maana tukio kama lile mkuu wa nchi.ilikua sio lahisi kukaa kimya kabisa kushindwa kusema angalau kwa kujibalaguza tu kwamba kachukizwa na tukio lile.

Hili ni fundisho kwa wengine ote wanaotamani kuongoza watu kwa ngazi yoyote iwe familia au tasisi.

Biblia inaposema usilitaje bure jina la mungu wako watu wanashindwa kufafanua maana yake.

TANZANIA ndio nchi inayoangaliwa kwa kalibu zaidi na jicho la mungu kuliko.nchi yoyote ile kwenye dunia hii.

YEYOTE YULE ANAETAMANI MADARAKA YA NGAZI ZA JUU ATAMBUE HIVYO.

Watanzania tuna utamaduni ambao ni tofauti kabisa na nchi ingine.

Watanzania tumezoea kujuliana hali,
Wanzania tumezoea kusaidiana kwenye shida.
Watanzania tumezoea kukaachini na kusuluhishana,kukanyana ambapo kuna alieteleza.
Nk.nk.

Hivyo ukija na utalatibu wa kutaka kuwavuluga utamaduni wao kaa ukijua mwenyez mungu yupo juu yao.
 
Back
Top Bottom