Tundu Lissu ni wakala wa 'Economic Hit Men' au Mzalendo?

domokaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2010
3,545
1,719
Ukimsoma jasusi aliyeamua kuasi John Perkins katika masimulizi take ya Economic Hit Men utaona wakili msomi muheshimiwa Tundu Lisu ana sifa zote za uwakala wa Economic Hit Men.

Ukimuona Tundu Lisu anavyo present na kutabiri matatizo yanayoweza kuipata Tanzania na mtiririko unavyokwenda unaweza ukamuona Tundu Lisu na mzalendo anayeipenda nchi yake.

Moja ya sifa kubwa ya Economic Hit Men katika kudhoofisha uchumi Wa nchi zilizokataa mirija ya ubeberu in kupandikiza migogoro ya kiuchumi na mitafaruku ya siasa.

Economic Hit Men wana vyanzo vya habari kutoka katika serikali Katibu zote zenye rasilimali nyingi kwani hata viongozi wengi wakubwa huwa mawakala wao.

Economic Hit Men ni recruitment ya wasomi waliobobea wanaotumika kuhujumu nchi zenye misimamo mikali dhidi ya unyonyaji Wa mabeberu. Bahati mbaya sana ni idadi ndogo sana ya wasomi wanaotumika ndio hufahamu kuwa wanatumika. Idadi kubwa hawafahamu kuwa wanatumika na wao huamini kuwa sana fight for right cause!

Economic hit men (EHMs) are highly paid professionals
who cheat countries around the globe out of trillions of
dollars. They funnel money from the World Bank, th e
U.S. Agency for International Development ( USAID),
and other foreign "aid" organizations into the coffers of
huge corporations and the pockets of a few wealthy fami-
lies who control the planet's natural resources. Their tools
incefraudulent financial reports, rigged elections,
pay() s, extortion, sex, and murder. They play a game as
old as empire, but one that has taken on new and terrify-
ing dimensions during this time ofglobalization.
Ishould know; I was an EHM.

I wrote that in 1982, as the beginning of a book with the working
title, Conscience of an Economic Hit Man . The book was dedicated to
the presidents of two countries, men who had been my clients ,
whom I respected and thought of as kindred spirits -- Jaime Roldos ,
president of Ecuador, and Omar Torrijos, president of Panama . Both
had just died in fiery crashes. Their deaths were not accidental . They
were assassinated because they opposed that fraternity of corporate ,
government, and banking heads whose goal is global empire . We
EHMs failed to bring Roldos and Torrijos around, and the other typ e
of hit men, the CIA-sanctioned jackals who were always right behin d
us, stepped in.

Ufahamu kamili wa hawa Economic Hit Men unaweza ukatupa fahamu kamili ya kuwafahamu maadui zetu walio ji camouflage ni akina nani na wazalendo ni akina nani?

Tukilifahamu hili hatutapa tabu kufahamu kama 'akina' Lisu ni wazalendo wa kweli au they are just economic hit men agents!
 
Acheni kumsakama Lissu aliyetufumbua macho, waulizeni Serikali kwa nini walifanya siri na nani aliyetufikisha hapa, hao ndiyo wa kuadhibiwa
 
Maneno ni mawili tu KA-TA.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
M nashangaa yani ccm ya miaka yake yote na matatizo yake ya tokea tanu zaidi ya miaka 50 kua madarakani leo hii miaka cjui miwili kasoro wanataka kutwambia kua makosa yao yote wameyafuta haya mengine ni ya lissu?

Kweli jamani ujinga waufanye wao gizani leo kwenye mwanga wanaukataa wakati bado wana mafuta mdomoni hahahaa lissu naona itabidi atengenezewe ka wizara kenye bajeti ya bil 500 kwa ajili ya kumshughulikia tu maana sasa ahadi tushatimiza zote tumembakiza lissu vi-wonder

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichokifanya Lissu ni kuweka wazi serikali inachofanya sirini!, yaani kuwalipa wale jamaa kimyakimya!, Au ulidhani mambo kufanyika gizani yana tija?

Siyo Lissu aliyewaambia wale jamaa waikamate ndege! Na wala siyo Lissu aliyeiambia serikali miaka hiyo ivunje mkataba wa kandarasi na hao jamaa!
 
Acheni kumsakama Lissu aliyetufumbua macho, waulizeni Serikali kwa nini walifanya siri na nani aliyetufikisha hapa, hao ndiyo wa kuadhibiwa

Hakuna anayemsakama mtu. Nchi yetu sote, tunapeana na maarifa na taarifa ili tujifahamu. Si vibaya kumsoma John Perkins kufahamu na kupata maarifa jinsi dunia inavyoendeshwa.
 
Ukimsoma jasusi aliyeamua kuasi John Perkins katika masimulizi take ya Economic Hit Men utaona wakili msomi muheshimiwa Tundu Lisu ana sifa zote za uwakala wa Economic Hit Men.

Ukimuona Tundu Lisu anavyo present na kutabiri matatizo yanayoweza kuipata Tanzania na mtiririko unavyokwenda unaweza ukamuona Tundu Lisu na mzalendo anayeipenda nchi yake.

Moja ya sifa kubwa ya Economic Hit Men katika kudhoofisha uchumi Wa nchi zilizokataa mirija ya ubeberu in kupandikiza migogoro ya kiuchumi na mitafaruku ya siasa.

Economic Hit Men wana vyanzo vya habari kutoka katika serikali Katibu zote zenye rasilimali nyingi kwani hata viongozi wengi wakubwa huwa mawakala wao.

Economic Hit Men ni recruitment ya wasomi waliobobea wanaotumika kuhujumu nchi zenye misimamo mikali dhidi ya unyonyaji Wa mabeberu. Bahati mbaya sana ni idadi ndogo sana ya wasomi wanaotumika ndio hufahamu kuwa wanatumika. Idadi kubwa hawafahamu kuwa wanatumika na wao huamini kuwa sana fight for right cause!

Economic hit men (EHMs) are highly paid professionals
who cheat countries around the globe out of trillions of
dollars. They funnel money from the World Bank, th e
U.S. Agency for International Development ( USAID),
and other foreign "aid" organizations into the coffers of
huge corporations and the pockets of a few wealthy fami-
lies who control the planet's natural resources. Their tools
incefraudulent financial reports, rigged elections,
pay() s, extortion, sex, and murder. They play a game as
old as empire, but one that has taken on new and terrify-
ing dimensions during this time ofglobalization.
Ishould know; I was an EHM.

I wrote that in 1982, as the beginning of a book with the working
title, Conscience of an Economic Hit Man . The book was dedicated to
the presidents of two countries, men who had been my clients ,
whom I respected and thought of as kindred spirits -- Jaime Roldos ,
president of Ecuador, and Omar Torrijos, president of Panama . Both
had just died in fiery crashes. Their deaths were not accidental . They
were assassinated because they opposed that fraternity of corporate ,
government, and banking heads whose goal is global empire . We
EHMs failed to bring Roldos and Torrijos around, and the other typ e
of hit men, the CIA-sanctioned jackals who were always right behin d
us, stepped in.

Ufahamu kamili wa hawa Economic Hit Men unaweza ukatupa fahamu kamili ya kuwafahamu maadui zetu walio ji camouflage ni akina nani na wazalendo ni akina nani?

Tukilifahamu hili hatutapa tabu kufahamu kama 'akina' Lisu ni wazalendo wa kweli au they are just economic hit men agents!

Sema yooooote, tukana matusi yooooooooooooote, lakini lipa deni
 
EHM mnamsema JPM hapo.....maana ndio amesababisha na bado anaendelea....kivuruge....
EHMQUOTE="domokaya, post: 22987688, member: 23084"]Ukimsoma jasusi aliyeamua kuasi John Perkins katika masimulizi take ya Economic Hit Men utaona wakili msomi muheshimiwa Tundu Lisu ana sifa zote za uwakala wa Economic Hit Men.

Ukimuona Tundu Lisu anavyo present na kutabiri matatizo yanayoweza kuipata Tanzania na mtiririko unavyokwenda unaweza ukamuona Tundu Lisu na mzalendo anayeipenda nchi yake.

Moja ya sifa kubwa ya Economic Hit Men katika kudhoofisha uchumi Wa nchi zilizokataa mirija ya ubeberu in kupandikiza migogoro ya kiuchumi na mitafaruku ya siasa.

Economic Hit Men wana vyanzo vya habari kutoka katika serikali Katibu zote zenye rasilimali nyingi kwani hata viongozi wengi wakubwa huwa mawakala wao.

Economic Hit Men ni recruitment ya wasomi waliobobea wanaotumika kuhujumu nchi zenye misimamo mikali dhidi ya unyonyaji Wa mabeberu. Bahati mbaya sana ni idadi ndogo sana ya wasomi wanaotumika ndio hufahamu kuwa wanatumika. Idadi kubwa hawafahamu kuwa wanatumika na wao huamini kuwa sana fight for right cause!

Economic hit men (EHMs) are highly paid professionals
who cheat countries around the globe out of trillions of
dollars. They funnel money from the World Bank, th e
U.S. Agency for International Development ( USAID),
and other foreign "aid" organizations into the coffers of
huge corporations and the pockets of a few wealthy fami-
lies who control the planet's natural resources. Their tools
incefraudulent financial reports, rigged elections,
pay() s, extortion, sex, and murder. They play a game as
old as empire, but one that has taken on new and terrify-
ing dimensions during this time ofglobalization.
Ishould know; I was an EHM.

I wrote that in 1982, as the beginning of a book with the working
title, Conscience of an Economic Hit Man . The book was dedicated to
the presidents of two countries, men who had been my clients ,
whom I respected and thought of as kindred spirits -- Jaime Roldos ,
president of Ecuador, and Omar Torrijos, president of Panama . Both
had just died in fiery crashes. Their deaths were not accidental . They
were assassinated because they opposed that fraternity of corporate ,
government, and banking heads whose goal is global empire . We
EHMs failed to bring Roldos and Torrijos around, and the other typ e
of hit men, the CIA-sanctioned jackals who were always right behin d
us, stepped in.

Ufahamu kamili wa hawa Economic Hit Men unaweza ukatupa fahamu kamili ya kuwafahamu maadui zetu walio ji camouflage ni akina nani na wazalendo ni akina nani?

Tukilifahamu hili hatutapa tabu kufahamu kama 'akina' Lisu ni wazalendo wa kweli au they are just economic hit men agents![/QUOTE]
 
Ukimsoma jasusi aliyeamua kuasi John Perkins katika masimulizi take ya Economic Hit Men utaona wakili msomi muheshimiwa Tundu Lisu ana sifa zote za uwakala wa Economic Hit Men.

Ukimuona Tundu Lisu anavyo present na kutabiri matatizo yanayoweza kuipata Tanzania na mtiririko unavyokwenda unaweza ukamuona Tundu Lisu na mzalendo anayeipenda nchi yake.

Moja ya sifa kubwa ya Economic Hit Men katika kudhoofisha uchumi Wa nchi zilizokataa mirija ya ubeberu in kupandikiza migogoro ya kiuchumi na mitafaruku ya siasa.

Economic Hit Men wana vyanzo vya habari kutoka katika serikali Katibu zote zenye rasilimali nyingi kwani hata viongozi wengi wakubwa huwa mawakala wao.

Economic Hit Men ni recruitment ya wasomi waliobobea wanaotumika kuhujumu nchi zenye misimamo mikali dhidi ya unyonyaji Wa mabeberu. Bahati mbaya sana ni idadi ndogo sana ya wasomi wanaotumika ndio hufahamu kuwa wanatumika. Idadi kubwa hawafahamu kuwa wanatumika na wao huamini kuwa sana fight for right cause!

Economic hit men (EHMs) are highly paid professionals
who cheat countries around the globe out of trillions of
dollars. They funnel money from the World Bank, th e
U.S. Agency for International Development ( USAID),
and other foreign "aid" organizations into the coffers of
huge corporations and the pockets of a few wealthy fami-
lies who control the planet's natural resources. Their tools
incefraudulent financial reports, rigged elections,
pay() s, extortion, sex, and murder. They play a game as
old as empire, but one that has taken on new and terrify-
ing dimensions during this time ofglobalization.
Ishould know; I was an EHM.

I wrote that in 1982, as the beginning of a book with the working
title, Conscience of an Economic Hit Man . The book was dedicated to
the presidents of two countries, men who had been my clients ,
whom I respected and thought of as kindred spirits -- Jaime Roldos ,
president of Ecuador, and Omar Torrijos, president of Panama . Both
had just died in fiery crashes. Their deaths were not accidental . They
were assassinated because they opposed that fraternity of corporate ,
government, and banking heads whose goal is global empire . We
EHMs failed to bring Roldos and Torrijos around, and the other typ e
of hit men, the CIA-sanctioned jackals who were always right behin d
us, stepped in.

Ufahamu kamili wa hawa Economic Hit Men unaweza ukatupa fahamu kamili ya kuwafahamu maadui zetu walio ji camouflage ni akina nani na wazalendo ni akina nani?

Tukilifahamu hili hatutapa tabu kufahamu kama 'akina' Lisu ni wazalendo wa kweli au they are just economic hit men agents!

Simple answer lissu ni shujaa

2020 muwe makini
 
Alichokifanya Lissu ni kuweka wazi serikali inachofanya sirini!, yaani kuwalipa wale jamaa kimyakimya!.
Siyo Lissu aliyewaambia wale jamaa waikamate ndege! Na wala siyo Lissu aliyeiambia serikali miaka hiyo ivunje mkataba wa kandarasi na hao jamaa!

Unajuaje? Unawafahamu wanasheria wa wale wajamaa ni akina nani hapa nchini? Mi nafikiri tujipe maarifa kwanza kuwafahamu economic hit men ni akina nani na wanafanyaje kazi kisha tutakuwa na uwezo binafsi wa kuchambua na hata kupata hamu ya kufanya japo uchunguzi mdogo.

Kuwafahamu kwanza hawa economic hit men ni akina nani, tunaweza kugundua pengine Lisu kumbe ndiye mzalendo nambari wani, au hata sisi tunaopiga kelele kujifanya wazalendo kuliko Lisu tukajikuta ni mawakala wa ubeberu pasipo kujitambua. Tusiache wala kuchoka kutafuta maarifa.
 
Simple answer lissu ni shujaa

2020 muwe makini

Inawezekana kweli ni shujaa, usiache kutafuta maarifa ya kuwafahamu economic hit men ili tupate maarifa ya kuthibitisha ushujaa au ukuwadi wa Lisu.
 
Ukimsoma jasusi aliyeamua kuasi John Perkins katika masimulizi take ya Economic Hit Men utaona wakili msomi muheshimiwa Tundu Lisu ana sifa zote za uwakala wa Economic Hit Men.

Ukimuona Tundu Lisu anavyo present na kutabiri matatizo yanayoweza kuipata Tanzania na mtiririko unavyokwenda unaweza ukamuona Tundu Lisu na mzalendo anayeipenda nchi yake.

Moja ya sifa kubwa ya Economic Hit Men katika kudhoofisha uchumi Wa nchi zilizokataa mirija ya ubeberu in kupandikiza migogoro ya kiuchumi na mitafaruku ya siasa.

Economic Hit Men wana vyanzo vya habari kutoka katika serikali Katibu zote zenye rasilimali nyingi kwani hata viongozi wengi wakubwa huwa mawakala wao.

Economic Hit Men ni recruitment ya wasomi waliobobea wanaotumika kuhujumu nchi zenye misimamo mikali dhidi ya unyonyaji Wa mabeberu. Bahati mbaya sana ni idadi ndogo sana ya wasomi wanaotumika ndio hufahamu kuwa wanatumika. Idadi kubwa hawafahamu kuwa wanatumika na wao huamini kuwa sana fight for right cause!

Economic hit men (EHMs) are highly paid professionals
who cheat countries around the globe out of trillions of
dollars. They funnel money from the World Bank, th e
U.S. Agency for International Development ( USAID),
and other foreign "aid" organizations into the coffers of
huge corporations and the pockets of a few wealthy fami-
lies who control the planet's natural resources. Their tools
incefraudulent financial reports, rigged elections,
pay() s, extortion, sex, and murder. They play a game as
old as empire, but one that has taken on new and terrify-
ing dimensions during this time ofglobalization.
Ishould know; I was an EHM.

I wrote that in 1982, as the beginning of a book with the working
title, Conscience of an Economic Hit Man . The book was dedicated to
the presidents of two countries, men who had been my clients ,
whom I respected and thought of as kindred spirits -- Jaime Roldos ,
president of Ecuador, and Omar Torrijos, president of Panama . Both
had just died in fiery crashes. Their deaths were not accidental . They
were assassinated because they opposed that fraternity of corporate ,
government, and banking heads whose goal is global empire . We
EHMs failed to bring Roldos and Torrijos around, and the other typ e
of hit men, the CIA-sanctioned jackals who were always right behin d
us, stepped in.

Ufahamu kamili wa hawa Economic Hit Men unaweza ukatupa fahamu kamili ya kuwafahamu maadui zetu walio ji camouflage ni akina nani na wazalendo ni akina nani?

Tukilifahamu hili hatutapa tabu kufahamu kama 'akina' Lisu ni wazalendo wa kweli au they are just economic hit men agents!
ruhusu demokrasia itmalaki,
fuata utawala wa sheria ili hao economic hitmen wakose mlango wa kuingilia. kama hao economic hitmen waliweza kumdoofisha Mwalimu (akilikubwa) sembuse Huyo kilaza tuliye naye
 
Acheni kumsakama Lissu aliyetufumbua macho, waulizeni Serikali kwa nini walifanya siri na nani aliyetufikisha hapa, hao ndiyo wa kuadhibiwa
Lisu pamoja na wafuasi wake hawana nia njema na Taifa hili kabisa...Haihitaji elimu kubwa kuweza kutambua hili...Ni mtu ambaye furaha yake ni kuona Taifa linapata majanga, vikiwemo vikwazo vya kiuchumi....
Kumbuka tupo ktk vita ya uchumi, kama ilivyo vita nyingine yoyote taarifa za kuvunja moyo hata kama zina ukweli kamwe hazitakiwi kuwekwa public...
Hata kama kikosi kizima kimeuawa, mtaambiwa mapambano ni makali, vijana wanasonga mbele.Twendeni tukaongeze nguvu.
Yeyote atakaye jaribu kutoa habari za kuvunja moyo, ziwe za upelelezi au za ktk uwanja wa mapambano hajawahi baki hai/salama.

Kumbuka habari za wapelelezi waliotumwa na Musa kuuchunguza mji wa Yeriko akiwemo Joshua na wenzake....

Ninawasihi Watanzania wote, tuungane ktk vita hivi vya uchumi alivyovianzisha Rais wetu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Tuwapuuze wote wanaeleta taarifa zinazo katisha tamaa aidha kwa makusudi au kwa kutokujua. Mungu yupo upande wetu, tutashinda tu.
 
Nina shaka kama hicho kitabu cha John Perkins ulikielewa vizuri. Hebu Google youtube film iiitwayo "end of poverty" umsikie John Perkins anavyofafanua kwenye baadhi ya mambo.
 
When are we going to stop talking nonsense? Hata Tundu Lissu angekaa kimya, deni lisingefutika na Tanzania ingelazimika kulipa tu deni hilo. Let's be sensible.
 
Nina shaka kama hicho kitabu cha John Perkins ulikielewa vizuri. Hebu Google youtube film iiitwayo "end of poverty" umsikie John Perkins anavyofafanua kwenye baadhi ya mambo.

Hakuna mahali niliposema nimemuelewa vipi Perkins. Nimetoa rai kwa watanzania wenzangu wamsome Perkins, halafu watafakari wenyewe nani mzalendo na nani economic hitman. Kama una hoja nyingine tuijadili.
 
Ukimsoma jasusi aliyeamua kuasi John Perkins katika masimulizi take ya Economic Hit Men utaona wakili msomi muheshimiwa Tundu Lisu ana sifa zote za uwakala wa Economic Hit Men.

Ukimuona Tundu Lisu anavyo present na kutabiri matatizo yanayoweza kuipata Tanzania na mtiririko unavyokwenda unaweza ukamuona Tundu Lisu na mzalendo anayeipenda nchi yake.

Moja ya sifa kubwa ya Economic Hit Men katika kudhoofisha uchumi Wa nchi zilizokataa mirija ya ubeberu in kupandikiza migogoro ya kiuchumi na mitafaruku ya siasa.

Economic Hit Men wana vyanzo vya habari kutoka katika serikali Katibu zote zenye rasilimali nyingi kwani hata viongozi wengi wakubwa huwa mawakala wao.

Economic Hit Men ni recruitment ya wasomi waliobobea wanaotumika kuhujumu nchi zenye misimamo mikali dhidi ya unyonyaji Wa mabeberu. Bahati mbaya sana ni idadi ndogo sana ya wasomi wanaotumika ndio hufahamu kuwa wanatumika. Idadi kubwa hawafahamu kuwa wanatumika na wao huamini kuwa sana fight for right cause!

Economic hit men (EHMs) are highly paid professionals
who cheat countries around the globe out of trillions of
dollars. They funnel money from the World Bank, th e
U.S. Agency for International Development ( USAID),
and other foreign "aid" organizations into the coffers of
huge corporations and the pockets of a few wealthy fami-
lies who control the planet's natural resources. Their tools
incefraudulent financial reports, rigged elections,
pay() s, extortion, sex, and murder. They play a game as
old as empire, but one that has taken on new and terrify-
ing dimensions during this time ofglobalization.
Ishould know; I was an EHM.

I wrote that in 1982, as the beginning of a book with the working
title, Conscience of an Economic Hit Man . The book was dedicated to
the presidents of two countries, men who had been my clients ,
whom I respected and thought of as kindred spirits -- Jaime Roldos ,
president of Ecuador, and Omar Torrijos, president of Panama . Both
had just died in fiery crashes. Their deaths were not accidental . They
were assassinated because they opposed that fraternity of corporate ,
government, and banking heads whose goal is global empire . We
EHMs failed to bring Roldos and Torrijos around, and the other typ e
of hit men, the CIA-sanctioned jackals who were always right behin d
us, stepped in.

Ufahamu kamili wa hawa Economic Hit Men unaweza ukatupa fahamu kamili ya kuwafahamu maadui zetu walio ji camouflage ni akina nani na wazalendo ni akina nani?

Tukilifahamu hili hatutapa tabu kufahamu kama 'akina' Lisu ni wazalendo wa kweli au they are just economic hit men agents!
Economic hitmen wamejaa ccm,kuanzia yule Nyoka mwenye makengeza,Rostam aziz,Mkono,Mpungwe,Mkapa,Mboma,Jitu patel,Manji,Mo,Shubhash patel,Noni,Rwegamalira etc etc,hawa wote kwa namna moja au nyingine wamekuwa wanachama,viongozi na wafadhili wa ccm. Tundu Lisu umaarufu wake si wa utajiri wala wizi,umaarufu wa Lisu ulianza na kazi ya (taaluma) yake ya sheria akiwa mtetezi wa mazingira na haki za binadamu na baadae siasa.
Hacheni hizo manipulations zenu ili kulinda ukanda na mtu wenu. The guy has messed up big time sababu ya majivuno,jeuri an kujiona yeye ndiye last resort and an angel who never touched dirty money or played dirty deals.
 
Back
Top Bottom