Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni toleo jipya la Magufuli with all bugs fixed, mpeni kura zenu

Ukichukua Tundu Lissu ukagawanya na JPM jibu utalopata ni Infinite,undefined etc kwa wale wanaoelewa mahesabu tayari manajua kwamba thamni ya JPM ni nini?
 
Nampa kura yangu kwa sababu nikimuona napata faraja ya moyo akili na mwili nakua na furaha na amani
Wewe kama Mimi du hongera sana kuna mda hadi machozi hunitoka tu nikimuona Lissu huwa nakuwa na amani .
 
Wapiga kura wengi bado hawajitambui, ndio maana wanampigia magoti yesu wa lugola wakisema "baba tunaomba utuletee maendeleo" nae anawapiga mkwara, msipomchagua flani siwaletei!!" hao ndio wale misukule ya fisiem ambao kwao maendeleo ni hisani.
Ameshajibiwa hizo pesa Magufuli si za baba yako.
 
nimekuambia weka link akiongea kutetea ushoga ,mmesimamia kwenye hiyo propaganda ina maana nye ndo mnataka ushoga haiwezekani mtu kitu asichokipenda aishikie kidedea kama wewe ,acha kuongea ushoga na uache kama una hiyo tabia
Duuu jamani aliye na ile clip ya Lissu akihojiwa kule Marekani au Uingereza na akatetea ushoga aishushe hapa haraka kwa ushahidi...jamaa naona mvivu wa ku browse..
 
Mwenye ile clip ya Lissu naomba aishushe hapa akizungumzia suala la ushoga..wakati akiwa kule Marekani au Uongereza
 
Yes, Lissu ameziba madhaifu yote ya Magufuli, kwa vile wakati wa JPM yamepatikana maendeleo ya vitu, kwa Lissu yakipatikana maendeleo ya watu, tunapata complete set! So tumchaguwe Lissu akazibe nyufa!
 
Back
Top Bottom