Mkuu samahani lakini naona wewe kama ndio umechelewa sanaumechelewa watanzania wameshaamua ni mitano tena kwa MAGUFULI, karibu kwenye sherehe ya kuapiswa rais uwanja wa jamuhuri jijini dodoma.
Ngoja uchaguzi uishe atayaeleza vizuri kama anayafahamu.Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga...
Umedharauliwa kila mahaliUngeendika kesho hii kumfarijii maana anakwenda Kupata kipigo cha mwabwa mwizi hataaminu akioata 13% ya yabkula zote
Mitano kwa mijitu mjinga kama wewe na ukoo.umechelewa watanzania wameshaamua ni mitano tena kwa MAGUFULI, karibu kwenye sherehe ya kuapiswa rais uwanja wa jamuhuri jijini dodoma.
Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga.
Hata baada ya hila za kila aina dhidi yake na wagombea wa CDM, Lissu ameendelea kufanya kampeni zenye mvuto kuliko zote katika kila mkoa na wilaya za nchi yetu.
Tundu Lissu amewafungua watanzania macho, amewafanya wajisikie huru tena amewarudishia matumaini na kuwafanya wajiamini tena na kuthubutu kutumia uhuru wao.
Hatimaye Tundu Lissu amemaliza kampeni zake leo pamoja na kuzuiliwa na kuwekewa mizengwe kila mahali Lissu amemaliza mwendo kwa ufanisi mkubwa!
Hima hima mtanzania usifanye kosa kumchagua mtu ambaye hana maono wala huruma kwa watanzania, sote tumchague Tundu Antipas Lissu awe rais wetu 2020-2025.
Mungu mbariki Tundu Lissu, Mungu ibariki Tanzania. Nawatakia uchaguzi mwema!
Sema wewe umeamua sio watanzania wameamuaumechelewa watanzania wameshaamua ni mitano tena kwa MAGUFULI, karibu kwenye sherehe ya kuapiswa rais uwanja wa jamuhuri jijini dodoma.
Freeedom is coming...View attachment 1613950
Hakuna ubishi kuhusu hilo Mkuu. Jamaa kawahamasisha Watanzania wengi sana katika kupigania uhuru na haki ya kweli.
Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga...
Freeedom is coming...
CCM wamezima Whatsapp wakiamini wanamkomoa Lissu kumbe wanawasumbua CCM wenzaoPamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga...
Shujaa wa kuwatesa watu kama sasa kazima Whatsapp ili afanye unyama wake Duniani wasijue nini kinaendeleaShujaa wa nini aisee...Shujaa wa nchi hii ni Magufuli
Congratulations in advance President Magufuli
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Tume ya uchaguzi isiyo huru imechukua matokeo ya 2015 na kuongezea kura zingine kidogo ndiyo watamtangazia kuwa mshindiMungu ambariki lissu.
Ila taarifa za awali nilizopata zimeniuma sanaaaa, yani uchaguzi ni maigizo,matokeo yametengenezwa tayari.
Eee Mungu wewe wajua CHADEMA yangu ipo ktk namna gani mioyoni mwa watu